PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:

UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake

Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.

SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Na hii ndiyo sababu serikali haitaki kuweka mifumo thabiti ya usajili wa line za simu maana wanajua kuwa namba zao bandia ndizo wanazo tumia kutishia watu ili wasijuliane na ndio maana hiyo namba ukiifuatilia utakuta jina ni HAWA KIWEMBE KIKALI 🤣🤣🤣
 
Serikali isipomfuatilia aliyetuma huu ujumbe na kumtia hatiani, sasa ndio tutahitimisha rasimi kuwa serikali ya Samia inahusika kwa 100% kwenye matukio yote machafu ya utekaji na mauaji yanayohusishwa na siasa kipindi hiki.

Na pia pia vile tutatambua rasimi sasa kuwa Serikali ndio adui mkubwa wa usalama wa raia.
Serikali ipi hiyo mkuu,ya Zanzibar au Tanganyika?
 
Kinachoshangaza haya mauaji, vitisho, utekaji, na kupotezwa; tunafanyiwa raia wa Tanganyika tu! Huku Rais aliyeko madarakani akiwa na asili ya nchi jirani ya Zanzibar! Na binafsi sijawahi kumsikia akikemea au kuchukua hatua za kukomesha haya mauzauza!

Je, ndiyo kusema hana uchungu? Wangekuwa wanafanyiwa hivi Wazanzibari, angeendelea pia kufumba macho na kuziba masikio? Je, ni wakati sasa kwa Watanganyika kuamka na kukomesha haya maovu, au tuendelee kulala usingizi wa pono?
Ikiwa Pdri Kitima alishambuliwa vile na hajatia neno wala kumjulia hali unategemea nini ndugu yangu?
 
Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:

UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake

Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.

SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.

Vitisho vimeanza kwa BAK Mwabukusi.

SIKUJUA ELIAS ndio jina la line

But also ni fake id, anaetumia si jina hilo
Wakishirikisha mitandao ya simu, anadakwa fasta. Sema nini, wasiojulikana
Mara nyingi huwa wanatumia line zilizosajiliwa na watu, wengine.

Huwa wanatengenezewa SIM Card fake kwenye Missions kama hizi. Kamwe, huwa hawatumii Utambulisho wao halisi.
Hata magari yao na Pikipiki zao wanazotumia kwenye Operesheni zao huwa zinakuwa na Usajili fake pia.

Usajili wa SIM Card hii 092705831 unaonyesha kwamba Mmiliki wake aliyesajiliwa jina lake ni:-
SIKUJUA YOLAM ELFAS.

Moja kwa moja usajili wa line hii ya Simu unaonekana kuwa ni fake, umetumia 'neutral mames' kwa majina yote matatu yaliyosajiliwa.
 
Na hii ndiyo sababu serikali haitaki kuweka mifumo thabiti ya usajili wa line za simu maana wanajua kuwa namba zao bandia ndizo wanazo tumia kutishia watu ili wasijuliane na ndio maana hiyo namba ukiifuatilia utakuta jina ni HAWA KIWEMBE KIKALI 🤣🤣🤣

Jina la line ya Simu hiyo ni:
SIKUJUA YOLAM ELFAS.

All are the neutral names
 
Wauaji wa kweli huwa hawasemi. Wakishaua, hujifanya kumuonea huruma mhanga wao. Angalia serikali ya watekaji inavyofanya hapa na kule Kenya.

Siyo kweli siku zote.

Watu wengi waliouawa waliwahi kutumiwa Watu au kutumiwa ujumbe kwanza Siku chache kabla ya kuuawa kwao, mara nyingi sana Watu hao wanaotumwa huwa ni 'Askari wa Siri,' waliiojivika kuwa ni Makada wa chama 'pendwa' Cha Siasa.
 
Truecaller ndio haidanganyi
Inaweza kudanganya endapo kama mtumiaji aliweka taarifa za uwongo tangu Siku ya kwanza alipoanza kutumia SIM Card hiyo.

Aidha, kama SMS hiyo ilitumwa kwa mhusika kwa kutumia Teknolojia ya 'Phone Spoofing,' basi pia utapata matokeo yasiyokuwa sahihi kwenye hiyo True Caller
 
Truecaller si inaleta hata hiyo namba imeseviwaje na watu wake WA karibu? Nimeangalia imeandikwa 'work'. Kwahyo inawezaka kuna MTU kamsave work na ndio anampa hizo kazi za Israel mtoa roho
 
Back
Top Bottom