KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 2,456
- 3,274
Uongo, Watanganyika walivyo waoga na wanafiki haiwezeekanMimi natabiri mwisho wa haya mambo itakuwa mwaka huu na ataangushwa mtu mmoja ambaye watu hawatatarajia.
Uongo, Watanganyika walivyo waoga na wanafiki haiwezeekanMimi natabiri mwisho wa haya mambo itakuwa mwaka huu na ataangushwa mtu mmoja ambaye watu hawatatarajia.
Ukabila Hatutaki , acheni kauli zenuKinachoshangaza haya mauaji, vitisho, utekaji, na kupotezwa; tunafanyiwa raia wa Tanganyika tu! Huku Rais aliyeko madarakani akiwa na asili ya nchi jirani ya Zanzibar! Na binafsi sijawahi kumsikia akikemea au kuchukua hatua za kukomesha haya mauzauza!
Je, ndiyo kusema hana uchungu? Wangekuwa wanafanyiwa hivi Wazanzibari, angeendelea pia kufumba macho na kuziba masikio? Je, ni wakati sasa kwa Watanganyika kuamka na kukomesha haya maovu, au tuendelee kulala usingizi wa pono?
Sim card imesajiliwa kwa hilo jina la SIKUJUA ELFAS. alinunua kijoti huyo. Ni mfanyakazi ofisi ya mkuu wa mkoa. Pia ni dereva wa task force mkoani humo.Jina lake ni SIKUJUA ELFAS.
Na data zinaonesha huyu ni mwenyeji wa mkoa wa Mbeya.
Tunamtahadharisha kuwa yeye na watekaji/wauaji wenzake pamoja na familia zao hawatadumu milele.
Amina.
Mzanzibar hataki kusikia Watanganyika wanapodai haki yeye amefumba macho na kukaza moyo ili wale wote wenye maono ya kweli wapotezwe libaki kundi la wajinga ambalo kazi yake ni kuabudu na kusifu.Ukabila Hatutaki , acheni kauli zenu
Aisee.Hivi Mbeya mkuu wa mkoa ni Homela?Sim card imesajiliwa kwa hilo jina la SIKUJUA ELFAS. alinunua kijoti huyo. Ni mfanyakazi ofisi ya mkuu wa mkoa. Pia ni dereva wa task force mkoani humo.
Eti anatafuta kick kwa pikipikiii....Hao kina Mwabukusi wanajitungia wenyewe kutafuta kiki.
Michezo ya kizamani hiyo
Kama wewe.Eti anatafuta kick kwa pikipikiii....
Mwabukusi FALA sana.
Wapuuzi wasijibiwe. Mpuuze yeye na upuuzi wake.Kama wewe.
Asante mkuu.Wapuuzi wasijibiwe. Mpuuze yeye na upuuzi wake.
Mmefika stage mbaya sana vipi wanainch nao wakianza kuchukua hatuamwambukusi, kaa lea wanao, huo mdomo wataupiga kweli, hii kazi waachie vijana wasiokuwa na familia, kufa sio kubadili makazi, hatutaki kuona mkeo akilia hadharani kama umbwa
Bora umemwambia.Mmefika stage mbaya sana vipi wanainch nao wakianza kuchukua hatua
Mara nyingi huwa wanatumia line zilizosajiliwa na watu, wengine.
Kweli ila wanataumia line mpya na wala Truecaller haitasoma na ikisoma ujue ametengeneza Account fake.Truecaller ndio haidanganyi
Acha usenge wakoSasa yeye si anasema haogopi vitisho?
Why hiyo meseji Imshughulishe hadi kufikia hatua ya kushare na community,uoga tuuh...
Anatishia kujamba wakati anaugonjwa wa kuhara,mwabukusi mwehu sana kama Mdude tuh
Hata Omar al Bashir hawakuwahi kufikiri naye siku moja atakuwa mfungwa.Uongo, Watanganyika walivyo waoga na wanafiki haiwezeekan
Wabongo bwana, Bado unawaza polisi?Mapolisi wataanza uchunguzi saa ngapi?au itakuwa kama kwa Lissu alivyopigwa risasi Mapolisi wakakaa kimyaaa!!!! Mpaka leo.
Mbona kama mleta uzi umepaniki au ni weweAnaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:
UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake
Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.
SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Kwasababu tunaimani kuwa Tanzania ni nchi inayoendeshwa kisheria.lakini hiyo imani inazidi kushuka siku tukiona kuwa nchi inaendeshwa kibabe bila kufuata sheria basi nasisi wananchi tutaanza kujichukulia sheria mkononi.Wabongo bwana, Bado unawaza polisi?
Tatzo n kwamba tupo hapa na atapotezwa ila hatuwezi fanya kitu. Kmmk watanganyikaAnaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X: