PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Feki tu hiyo hao vibaka hata number plate za gari wanafoji ije kuwa namba za simu .

Hapo tarajia hakuna chochote polisi watakachosema.
Hapana..

Kama Police wako serious na wanataka kukamata wahalifu hawa na kwa kushirikiana na kampuni ya simu yenye code number hizi, wanaweza tena hata haichukui hata siku Moja...!
 
Ila Police, TCRA na mitandao ya Simu bado wanao uwezo wa kui trace. Hiyo simu aliyoitumia waweza waka trace IME yake, waka trace anawasiliana na akina nani wengine(rafiki, jamaa ama ndugu zake wengine). Pia kwa kupata EMEI ya Simu husika wataweza kupata namba ya lain nyingine tu pindi atakapoiweka kwenye hiyo simu inayotrakiwa. Ambayo inaweza kuwa na utambulisho wake Halisi.
Mtu smart aliezoea hizo dirty jobs, simcard na simu vyote vinachomwa moto.
 
Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:


UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake

Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.

SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Hata Mdudu alikuwa anasema hababaishwi na mtu!
 
Mapolisi wataanza uchunguzi saa ngapi?au itakuwa kama kwa Lissu alivyopigwa risasi Mapolisi wakakaa kimyaaa!!!! Mpaka leo.
 
Hii nchi bhana, kuna muda inabidi ucheke tu. Sijui hata tulifikaje huku
huyo Yezebeli amejaa majini. Majini ni mashetani. Na chakula kikuu cha mashetani ni damu za watu.

tutapiga majeshi majeshi katika ulimwengu wa roho, nusu mlingoti itaendelea. B4 July 2025.
 
Waambieni hawa vijana zipo kazi nyingi sana za kufanya kuliko kutisha, kuumiza na kuua watu bila sababu za msingi.

Mwambie hawa watu, binadamu anakawaida ya kuchoka na kutojali, mnapowaachia hawa wajinga kuendeleza haya mambo maana yake mnawapush watu kwenye kona ya visasi na kuwindana.
Watu wakichoka jamani hakuna atakayekuwa salama haijalishi watu mna ulinzi kiasi gani.

Siasa za Tanzania au kudeal na hawa wakosoaji na wapinzani wa Serikali wala haihitaji nguvu, ni akili Tu ya kujibu hoja zao na kuwaletea watu maendeleo.
 
IMG_20250510_165358.jpg
 
Kinachoshangaza haya mauaji, vitisho, utekaji, na kupotezwa; tunafanyiwa raia wa Tanganyika tu! Huku Rais aliyeko madarakani akiwa na asili ya nchi jirani ya Zanzibar! Na binafsi sijawahi kumsikia akikemea au kuchukua hatua za kukomesha haya mauzauza!

Je, ndiyo kusema hana uchungu? Wangekuwa wanafanyiwa hivi Wazanzibari, angeendelea pia kufumba macho na kuziba masikio? Je, ni wakati sasa kwa Watanganyika kuamka na kukomesha haya maovu, au tuendelee kulala usingizi wa pono?
Usingizi sasa basi
 
NAOMBA UNIAJIRI KAMA MLINZI WAKO NINA BLACK BELT NIMEBOBEA KWENYE KARATE,KUNGFU,TAIKONDO,MATIAL ART,PIA NINA MAFUNZO YA KININJA NINAUWEZO WA KUPOTEA MBELE YA MAANDUI NINA UWEZO WA KUTUMIA AINA YEYOTE YA SILAHA NINAUZOEFU WA KUTUMIA ORGANI ZA MWILI SEHEMU HATARISHI..SINA AJIRA YEYOTE NIPO MTAANI NAGONGA KOKOTO TU UKINIITAJI NI PM...
 
Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:


UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake

Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.

SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
1000101380.jpg
 
Kwanini mama Samia yupo kimya au kwakua yeye sio mtanganyika mwenzetu?

Hatuwezi kufanyiana hivi watanganyika kwa watanganyika haya mambo yanauma Sanaa.

NB.
Kwa Sasa tunaomba mwakubusi awe makini Sana na nyendo ZAKE maana wameanza kumtumia jumbe za vitisho
Wahehe wanasema ana Kidada(kiburi,)
 
huyu mtu kapata wapi namba ya mwambukusi? katumia line liyosajiriwa, huyu mtu hatanii. sasa boss una kazi nzuri tls una mshahara watoto wanasoma shule nzuri, unajiingiza kwenye haya mambo, hawa jamaa wakikukosa watapita hata na mwanao au mdogo wako au mamako, shida yote ya nini, mdude washamalizana nae, kama walimpata fr.kitima wewe watakushindwa kweli? haya komaa
Kizazi kimejaa majaume maogaa..xew
 
Back
Top Bottom