PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:


UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake

Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.

SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Kama kuna mtu au kiongozi anaongoza hiko kikosi kzi cha vitisho hivyo basi ni mjingaa wa mwisho kabisa.
 
Kinachoshangaza haya mauaji, vitisho, utekaji, na kupotezwa; tunafanyiwa raia wa Tanganyika tu! Huku Rais aliyeko madarakani akiwa na asili ya nchi jirani ya Zanzibar! Na binafsi sijawahi kumsikia akikemea au kuchukua hatua za kukomesha haya mauzauza!

Je, ndiyo kusema hana uchungu? Wangekuwa wanafanyiwa hivi Wazanzibari, angeendelea pia kufumba macho na kuziba masikio? Je, ni wakati sasa kwa Watanganyika kuamka na kukomesha haya maovu, au tuendelee kulala usingizi wa pono?

View: https://youtu.be/lxPWLcdDiKE?si=l5Zhf-ekT0OQ4oE_
 
Hii nchi imefikaje huku?
Wazee, viongozi wa mila na dini wako wapi?
Hili genge la watekaji na wauaji linazalishwa na nani na kwanini?
Kitu gani kinaigawa hii nchi na kwanini hivi sasa?
Nani mwenye haki kuliko mwingine?
Je Rais, Waziri Mkuu hawayaoni na kuyasikia haya? Uwepo wao ni kwa maslahi ya nani?
 
Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:


UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake

Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasif au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.

SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Wauaji wa kweli huwa hawasemi. Wakishaua, hujifanya kumuonea huruma mhanga wao. Angalia serikali ya watekaji inavyofanya hapa na kule Kenya.
 
Wakati Mtanganyika Mkappa anaua Wazanzibar ulikuwepo Tanganyika ? Unafikiri Wazanzibar wamesahau ?
Hivi kumbe ni malipizi na visasi kwa Watanganyika. Mbona Kikwete muislam aliwakamata mashehe na wengine wako ndani mpaka leo na hamsemi.
 
Ndiyo maana kwa upande wangu sioni umuhimu wowote ule wa huo muungano wao wa kipuuzi. Tungekuwa na Kiongozi mzalendo, asingekubali kamwe kuiendesha nchi kwa mfumo huu wa sasa.
Unaumia ukiwa wapi mkuu?SAMIA ni mpaka 2030
 
Wauaji wa kweli huwa hawasemi. Wakishaua, hujifanya kumuonea huruma mhanga wao. Angalia serikali ya watekaji inavyofanya hapa na kule Kenya.
Mbona Ben Sanane walimtishia na kumuua kabisa. Mbona Lissu aliripoti mpaka namba ya gari iliyokuwa inamfuatilia na bado wakampiga risasi hadharani. Usiwazuge watu.
 
1746895924108.png

Huyu Kada wetu nampataje nataka nimjengee mnara,
 
Hata Ben Saanane uzi wake wa mwisho humu 2016 ilikuwa ni habari ya kutishiwa kuuwawa na namba iliyomtisha aliiandika , polisi wakakaa kimya hadi alipopotea miezi miwili mbele wakasema wanachunguza leo ni miaka 9 hakuna majibu ya uchunguzi.
Ben saanane hakupotea aliuliwa na kwenda zake Kwa kupigwa bastola,Eric kabendera anasema alishuhudia maiti yake mochwari mwananyamala hospital
 
Watanganyika wa kuamka wako wapi? Hawa wanaosikiliza mpira kuanzia asubuhi mpaka jioni? Are you kidding me?

View attachment 3330086
Tunasikiliza na kuangalia mpira sababu hali sio nzuri,tumeamua kutafuta furaha kinguvu,tumekaribisha Mkoloni mpya yaani Zanzibar bila kujua,wamekufa viongozi muhimu wawili Miaka ya karibuni hatimae hatuna wa kutusemea kwenye Baraza la mawaziri na kwingineko.
Mkapa alikuwa bado mtu muhimu sana katika taifa hili na Mwenzake John Pombe Joseph Magufuli,kidonda cha mwisho ni kifo kisiasa cha Phili Mangula aliamua kujitoa lakini alikuwa mtu wa harmonization,Job Ndungai nae wakampeleka
Lock down.
Haya yote ni mapigo makubwa sana katika nchi yetu,ewe mora simama nasi biashara haziendi,maisha magumu tunaomba Mungu ufanye jambo hatujakukosea kuzaliwa Tanzania ni kwa mapenzi yako mora,na wala watesi wetu sio Bunge la ulaya bali ni kupokwa kwa haki zetu mchana kweupe.Na iwe hivyo.
 
Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:


UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake

Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.

SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Ni kwa ni wanasheria msioambane kwa vyovyote vile hadi kupata chanzo cha sms hizo badala ya kuendelea tu kulalamika?
 
Kwa mkwara wa juzi tunaimani haogopi mtu yoyote kwahiyo anaweza kupambana nae.
 
Back
Top Bottom