Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wakili Mwakubusi amesema kuwa kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika ilibakwa, muungano ilikuwa ni ndoa ya utotoni. Amesema aina ya muungano uliopo sio muungano uliohitajika na watanganyika.
Aidha amesema hoja za kuwamba anachochea ubaguzi hazina mantiki kwa kuwa mambo mengi Zanzibar huwa inapata mgao. Amesema Tanzania ilinunua meli na Zanzibar ilipata mgao, hivyo amehoji kwa nini Zanzibar haipewi mgao huu unaoonekana kuwa wa neema wa DPW.
Amesema hayo akiwa kwenye press conference, leo Julai 12, 2023
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka