Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Swali fikirishi ulimbaka mwanamke bila watu kujua na baadae akawa mke wako na mnaendelea kuishi kwa sasa mna wajukuu, imekaaje hiyo?
Mwanamke gani huyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali fikirishi ulimbaka mwanamke bila watu kujua na baadae akawa mke wako na mnaendelea kuishi kwa sasa mna wajukuu, imekaaje hiyo?
Kuwa mwanasheria na wakili kwa Ndugu Mwambukusi haimaanishi kuwa ndio anajua kila kitu kuhuhu muungano. Anaweza akafikiri anajua kumbe ni maamuma.Wakili Mwakubusi amesema kuwa kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika ilibakwa, muungano ilikuwa ni ndoa ya utotoni. Amesema aina ya muungano uliopo sio muungano uliohitajika na watanganyika.
Aidha amesema hoja za kuwamba anachochea ubaguzi hazina mantiki kwa kuwa mambo mengi Zanzibar huwa inapata mgao. Amesema Tanzania ilinunua meli na Zanzibar ilipata mgao, hivyo amehoji kwa nini Zanzibar haipewi mgao huu unaoonekana kuwa wa neema wa DPW.
Amesema hayo akiwa kwenye press conference, leo Julai 12, 2023
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Zanzibar mgao wa dp world wanautaka ila mujue tu Bandari za zanzibar tayari washapewa MakaburuKwanini Zanzibar hawataki mgao wa DP world?