Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hawa wahaini watiwe ndani kama Mashehe wa Uamsho,kwamba Mlibakwa au?Wakili Mwakubusi amesema kuwa kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika ilibakwa, muungano ilikuwa ni ndoa ya utotoni. Amesema aina ya muungano uliopo sio muungano uliohitajika na watanganyika.
Aidha amesema hoja za kuwamba anachochea ubaguzi hazina mantiki kwa kuwa mambo mengi Zanzibar huwa inapata mgao. Amesema Tanzania ilinunua meli na Zanzibar ilipata mgao, hivyo amehoji kwa nini Zanzibar haipewi mgao huu unaoonekana kuwa wa neema wa DPW.
Amesema hayo akiwa kwenye press conference, leo Julai 12, 2023
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Wakristo huwa hawakamatwi na kuambiwa magaidi ni Mbowe tu ndiye alikuwa gaidiHawa wahaini watiwe ndani kama Mashehe wa Uamsho,kwamba Mlibakwa au?
Wakili Mwakubusi amesema kuwa kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika ilibakwa, muungano ilikuwa ni ndoa ya utotoni. Amesema aina ya muungano uliopo sio muungano uliohitajika na watanganyika.
Aidha amesema hoja za kuwamba anachochea ubaguzi hazina mantiki kwa kuwa mambo mengi Zanzibar huwa inapata mgao. Amesema Tanzania ilinunua meli na Zanzibar ilipata mgao, hivyo amehoji kwa nini Zanzibar haipewi mgao huu unaoonekana kuwa wa neema wa DPW.
Amesema hayo akiwa kwenye press conference, leo Julai 12, 2023
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Mama asiwachekee Hawa wapuuziWakristo huwa hawakamatwi na kuambiwa magaidi ni Mbowe tu ndiye alikuwa gaidi
si unaona hamna hoja hapo zaidi ya chukiMama asiwachekee Hawa wapuuzi
Upeo wako ni finyu sana. Unasema wakristo huwa hawakamatwi isipokuwa Mbowe pekee, kwani huyo Mbowe ni mpagani!.Wakristo huwa hawakamatwi na kuambiwa magaidi ni Mbowe tu ndiye alikuwa gaidi
Kuambiwa ukweli sio chuki, hivi nyie mliokotwa wapi na hizi fikra zenu za hovyo kama mnaishi kwenye shimo la choo?Ni dhahiri hizo ni chuki, sioni hoja askofu anajua nn kuhusu bandari
Hamna hoja tangu mwanzo zaidi ya majungu kama na mipasho .
Sasa huyo askofu wako ni huko kanisani na hana mamlakd mbele ya Raisi na kundi lenu ndo mnasikiliza sisi hatuhusu wala hatumjui.Kuambiwa ukweli sio chuki, hivi nyie mliokotwa wapi na hizi fikra zenu za hovyo kama mnaishi kwenye shimo la choo?
Swali fikirishi ulimbaka mwanamke bila watu kujua na baadae akawa mke wako na mnaendelea kuishi kwa sasa mna wajukuu, imekaaje hiyo?Hawa wahaini watiwe ndani kama Mashehe wa Uamsho,kwamba Mlibakwa au?
Kama hujui basi jua leo kwamba hata mama mwenyewe haupendi kabisa huu muungano bandia na anauchukia haswaa!Mama asiwachekee Hawa wapuuzi
Mwambukusi labda aliwahi kubakwa na waarabu...asituhusishe watanganyika woteKwahiyo Zenji ndio Kidume!
Unaonesha dhahiri kuna kundi hii nchi limekosa elimu kabisa, na ujinga wenu ndio mtaji wa CCM!Sasa huyo askofu wako ni huko kanisani na hana mamlakd mbele ya Raisi na kundi lenu ndo mnasikiliza sisi hatuhusu wala hatumjui.
Askofu mimi hanihusu wala simsikilizi so usinilizimishs kuunga mkono viongzi wako .Unaonesha dhahiri kuna kundi hii nchi limekosa elimu kabisa, na ujinga wenu ndio mtaji wa CCM!
Tutawakomboa tu kifikra, wewe endelea kushindilia ugali ujaze tumbo.
Aiseeee !!Wakili Mwakubusi amesema kuwa kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika ilibakwa, muungano ilikuwa ni ndoa ya utotoni. Amesema aina ya muungano uliopo sio muungano uliohitajika na watanganyika.
Aidha amesema hoja za kuwamba anachochea ubaguzi hazina mantiki kwa kuwa mambo mengi Zanzibar huwa inapata mgao. Amesema Tanzania ilinunua meli na Zanzibar ilipata mgao, hivyo amehoji kwa nini Zanzibar haipewi mgao huu unaoonekana kuwa wa neema wa DPW.
Amesema hayo akiwa kwenye press conference, leo Julai 12, 2023
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Hicho ulichokiandika unakijuwa?Upeo wako ni finyu sana. Unasema wakristo huwa hawakamatwi isipokuwa Mbowe pekee, kwani huyo Mbowe ni mpagani!.