Nakwambia hukijui unachotetea, wala madhara yake. Kama unapenda pesa, siasa sio mahala pake kafanye biashara.Sio kufeli wewe unaweza ishi bila ela nijibu hili swali
Siasa ni kazi na career kama zilivyo nyingine wanastaili kupata chochote kile unafikiri kusimama majukwaani na kushawishi watu ni kazi rahisi jaribu uone
Mada za namna hii, kijumla jumla, bila ya uchambuzi wowote chini yake unakwa hauna msaada sana kwa wanaozisoma.HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI
Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku kwetu kwenye upinzani
Hakuna mtu yuko tayari kumwambia kiongozi wake kwamba anayoyafanya hayako sawa, hatuna hata mgambo lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani, tunaogopana kuambiana ukweli, sisi na CCM hatuna tofauti kabisa.
Najiuliza kwanini wapinzani tunashindwa kuonyesha msimamo?
kwanini twende kushiriki uchaguzi bila katiba mpya?
Nilishasema kuna biashara ya Demokrasia inafanyika hapa nchini"
Chanzo : Jambo Tv
Afadhali umejua kwamba wapinzani ni wabaya kuliko ccm, sasa nimsikie mtu anasem ccm ni wabayaHAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI
Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku kwetu kwenye upinzani
Hakuna mtu yuko tayari kumwambia kiongozi wake kwamba anayoyafanya hayako sawa, hatuna hata mgambo lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani, tunaogopana kuambiana ukweli, sisi na CCM hatuna tofauti kabisa.
Najiuliza kwanini wapinzani tunashindwa kuonyesha msimamo?
kwanini twende kushiriki uchaguzi bila katiba mpya?
Nilishasema kuna biashara ya Demokrasia inafanyika hapa nchini"
Chanzo : Jambo Tv
Umekuwa mkali sana mpaka huioni mantiki ya kile alichokisema Adv. Mwabukusi.Mkuu, Mwabukusi anatokea Mbeya. Kwenye uchaguzi mdogo wa mbarali viongozi wa CHADEMA wa wilaya na hata mkoa wakiwemo wanachama waliimba chama kishiriki, CHADEMA kikagoma kishiriki. Leo anatokea mtu wa Mbeya hapo hapo na kuanza kubeza hata hicho kidogo. Juzi CHADEMA wametukanwa na Rais Samiah kwa kugomea mkutano wa vyama vya siasa , halafu hata kuapriciate hakuna. Mwabukusi hapana, anafanya kazi ya Makonda. Aende zake huko.
Watu wa aina hiyo, (huyo uliye mjibu), ndio waliojaa tele kwenye kinachoitwa "siasa" hapa Tanzania. Hakuna mwenye 'conviction" yoyote juu ya anacho kisimamia katika siasa, bali manufaa yake binafsi.Nakwambia hukijui unachotetea, wala madhara yake. Kama unapenda pesa, siasa sio mahala pake kafanye biashara.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sasa Mkuu kwa maoni yako Adv.Mwabukusi anatoa hoja zenye kujenga ili kuimarisha Upinzani au anatoa Hoja za kubomoa ili kudhoofisha Upinzani??Usipoziba nyufa zenu kama wapinzani ni vigumu sana kuwashinda CCM mkiwa hampo organised, na hii inasababishwa na tamaa ya ubunge anayoilaumu Adv. Mwabukusi, kuwa na msimamo usioyumba wa kile unachopigania ni muhimu sana,hapo ndipo CCM hushtuka.
Lakini uliona Samia anasema kule ndani kwao hapajatulia, ujue ameshawapima uzito akajua kilo zenu, hamumtishi tena, ndio maana Adv. Mwabukusi anawataka kurudi kwenye drawing board muangalie mnakosea wapi, yuko sahihi kabisa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Natamani sana uliyemjibu hoja zake akusome kwa makini na akuelewe ulicho kiandika hapa.Umekuwa mkali sana mpaka huioni mantiki ya kile alichokisema Adv. Mwabukusi.
Kwani hujawasikia baadhi ya viongozi wa Chadema wakiwa tayari kuwaondoa wabunge wa CCM majimboni licha ya kujua chama chao kilisema hakitashiriki uchaguzi mpaka Katiba Mpya ipatikane?
Wapo hao watu, ndio maana nakwambia alichokisema Adv. Mwabukusi kina ukweli.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hili nililisema mapema. Sisi wengine tunajuana vema. Lililobaki ni ubabaishaji tu. Hata haya maneno nayaona ni kutafuta visingizio tu. Maskini Tanzania.Najiuliza kwanini wapinzani tunashindwa kuonyesha msimamo?
Kwa taarifa yako hao wapiga kura wachache ndio huwa wa ccm, Bali hupora za wapinzani. Kwakuwa wapinzani kuendelea kushiriki hizo chaguzi kunawapa ccm uhalali baada ya kupora kuwa wanaaungwa mkono na watu wengi, ni Bora waende hao wachache ili ifahamike ccm haikubaliki.Wapiga kura kidogo sio tu wanaonesha raia hawaiungi mkono CCM bali hata upinzani pia hauungwi mkono, mana kama wangeupenda upinzani basi wangejitokeza kwa wingi sanaaaaaaa kwenda kuwapa kura
Kwangu Adv. Mwabukusi anatoa hoja za kujenga upinzani, kwasababu anawaonesha makosa yao ili wayarekebishe then wasonge mbele, usiogope kuambiwa ukweli kwa kuhofia upinzani utayumba, kwangu hizo ni siasa za kuviziana na za kiuoga, zisizo na maana.Sasa Mkuu kwa maoni yako Adv.Mwabukusi anatoa hoja zenye kujenga ili kuimarisha Upinzani au anatoa Hoja za kubomoa ili kudhoofisha Upinzani??
Kwa maoni yangu Mimi ni kwamba kwenye Timu ya mpira, Mwenzenu akipiga mkwaju wa penalty bahati mbaya mpira ukapaa na kutoka nje hupaswi kumshambulia mpigaji wala wale waliompendekeza awe mpigaji. Bali mnamtia moyo kisha mnasonga mbele. Kwa kufanya hivyo anaweza kuja kufunga goli zuri bila kupitia mkwaju wa penalty.
Adv. Mwabukusi anakosea sana kwa kuwashambulia wenzake wanaohangaika kwa kutumia mbinu mbali mbali ikiwemo majadiliano kuhakikisha wanapata mabadiliko ya kweli kwenye Siasa za Nchi yetu.
Kasema wapinzani, hajawataja kwa majina,Hivi CHADEMA imeshiriki uchaguzi gani?. Tuwe serious kidogo. Wanaoshiriki so wanajulikana?. Kwanini asiwaseme moja kwa moja?
Nimekuelewa.kwamba kwenye Timu ya mpira, Mwenzenu akipiga mkwaju wa penalty bahati mbaya mpira ukapaa na kutoka nje hupaswi kumshambulia mpigaji wala wale waliompendekeza awe mpigaji. Bali mnamtia moyo kisha mnasonga mbele. Kwa kufanya hivyo anaweza kuja kufunga goli zuri bila kupitia mkwaju wa penalty.
Adv. Mwabukusi anakosea sana kwa kuwashambulia wenzake wanaohangaika kwa kutumia mbinu mbali mbali ikiwemo majadiliano kuhakikisha wanapata mabadiliko ya kweli kwenye Siasa za Nchi yetu.
Kama watu wa aina hiyo ndio wapo kwenye siasa zetu, basi tunapotezeana muda. Tumeigeuza siasa kama kijiwe cha wacheza karata.Watu wa aina hiyo, (huyo uliye mjibu), ndio waliojaa tele kwenye kinachoitwa "siasa" hapa Tanzania. Hakuna mwenye 'conviction" yoyote juu ya anacho kisimamia katika siasa, bali manufaa yake binafsi.
Mkuu hayo ni matatizo ya Mtu moja mmoja na sio msimamo wa Upinzani kununuliwa na chama cha Mapinduzi baada ya kushinda uchaguzi.Yuko sahihi, na hii tabia imedhohofisha sana upinzani na kuwakatisha tamaa wapiga kura.
Kwa hii tabia CCM Itatawala milele yote.
Wapinzani wangekuwa siriaz hadi leo hii CCM ingekuwa Chama cha upinzani.
Unampigia kura leo mpinzani kwa lengo la kuimarisha demokrasia kesho anahamia CCM.
Ndio maana CCM inatumia viruzuku tu kuwamaliza Wapinzani.
RIP. Christopher Mtikila, kidogo alikuwa siriaz.
Inaonekana njia ya kuwaondoa watanzania kwenye huu mkwamo ni kuanzisha chama kipya [ maoni ya wengi humu ndani].Mada za namna hii, kijumla jumla, bila ya uchambuzi wowote chini yake unakwa hauna msaada sana kwa wanaozisoma.
Sote sasa tunaelewa kuna matatizo huko CHADEMA (ndio upinzani pekee uliokuwa umebaki). Uchambuzi wa kina kuhusu matatizo yaliyoingia kwa ghafla ndani ya chama hicho na kuzima matumaini ya kuiondoa CCM kwenye madaraka ungefaa sana, kuliko hivi vipande vya ulalamishi pekee.
Je, sasa kwa kuwa CHADEMA nao wamekuwa sehemu ya CCM, waTanzania wafanye nini kupambania taifa lao?
Hizi ndizo mada zinazotakiwa kujadiliwa humu wakati huu; tena kwa haraka, maana muda ndio huo unakatika sasa.
Maoni yangu juu ya hili ni kwamba, huko ndani ya Upinzani (CHADEMA); kama ilivyo ndani ya CCM yenyewe, kuna waTanzania wanaoumia sana kuona mwelekeo wa taifa letu unavyokwenda sasa hivi.
Je, kuna njia yoyote ya kuwatia moyo hawa wote ili ndio kiwe chanzo cha ukombozi wa nchi yetu?
Wewe huku unalipwa mshahara, unataka wanaume wenzako wakupiganie bureNakwambia hukijui unachotetea, wala madhara yake. Kama unapenda pesa, siasa sio mahala pake kafanye biashara.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app