Nimeona nimuache tu.Duh!
Hii kazi ya kuwa 'tutor' unaiweza kweli? Naona huyo jamaa hana hata chembe ya 'concept' inayohusu siasa.
Kuliwahi kuwepo kwenye vyuo vyetu vikuu takwa la kusomwa na kila mwanafunzi katika fani zote, lililo itwa 'Developmeny Studies', naona mpango huo ulikufa wenyewe baada ya "walaji na wenye maslahi binafsi" kushika hatamu za uongozi wa nchi yetu.
Matokeo yake ndiyo kama ya huyu unayejibishana naye hapa.
Wapinzani wenyewe wako waaapi bongo?? Hawa wanaonunuliwa kisha wanavunga kujiudhuru halafu wanachaguliwa tena, rejea awamu iliopitaKauli za kinafiki. Unamlinganishaje CCM na upinzani?. Be serious. CCM tangu inaitwa imekaa madarakani miaka 62, halafu unailinganisha na vyama ambavyo havijawahi kudhika madaraka hata kwa siku moja?
Kwa unafiki huu ndio maana serikali ya CCM na bunge la CCM wameamua kuwalipa kiinua mgongo wenzi wa viongozi huku bima ya mtoto ikitolewa na mama mja mzito kufa kwa kukosa lakini moja na nusu.
Wakiitisha uko tayari kuandamana au ni keyboard warriorHizo ni saccos na nguvu ya ccm inasababishwa na huu upinzani wa kiupigaji tulio nao
Vyama vya upinzani hapa nchini ni walamba asali wakuu na wazee wa fursa
Wakiitisha maandamano wenyewe wanayaangalia kupitia tv.
Tatizo watanzania ni mazoba mnataka haki zenu apiganie mtu mwingine huku nyie mkiwa nyuma ya keyboard maisha sio marahisi haki yako unataka wanaume wengine waumie na kukupigania kwa niaba yakoWapinzani wenyewe wako waaapi bongo?? Hawa wanaonunuliwa kisha wanavunga kujiudhuru halafu wanachaguliwa tena, rejea awamu iliopita
Wapinzani hawa wanagombea madaraka kwenye taasisi zao,
Wapinzani hawa wanaopeana madaraka, kwa wake na mademu zao, bungeni viti maalum
Narudia tena Bongo siasa ajira wanasiasaa wa sisihemu na upinzani akili mojaa
Mbona juzi mwabukusi kwenye maandamano alioitisha hukumsupport na hapo tena utamlaumu mboweTusiwe wanafiki Mwabukusi yupo vizuri kichwani. Mimi pia nimekuwa nikijiuliza wapinzani utofauti wao na ccm ni upi? Maana siku za Nyuma walipokuwa wabunge ukienda kwenye majibo yao hakuna kitu kipya au ubinifu wowote walioufanya , pesa ya ruzuku ya jimbo sijui walikuwa wanapeleka wapi.
Sio kama wapinzani wazuri hawapo laahasha! Ila upinzani wetu umetengenezwa kutumikia chama zaidi kuliko wananchi na hapo ndipo hoja ya mgombea binasfi inapoanza kuwa na umuhimu. Ukitizama kwa jicho makini upinzani wetu na mwenendo wao utagundua ni bora ccm waendele kutawala tu.
Kijana huoo upumbavu wa kuandamana nlishaufanya saaana enzi hizo, hao viongozi wako unaowataja wao huwa wanaandamana wakiwa makwao wanakichek wanaondamana kwenye TV,Tatizo watanzania ni mazoba mnataka haki zenu apiganie mtu mwingine huku nyie mkiwa nyuma ya keyboard maisha sio marahisi haki yako unataka wanaume wengine waumie na kukupigania kwa niaba yako
Mwabukusi juzi kaitisha maandamano mbona hamkutokea kumsupport na hapo tena mtaamlaumu mbowe
Sio tu kuandamana huo ni mfanoKijana huoo upumbavu wa kuandamana nlishaufanya saaana enzi hizo, hao viongozi wako unaowataja wao huwa wanaandamana wakiwa makwao wanakichek wanaondamana kwenye TV,
Halafu wakipata madaraka wananunuliwa halafu wanakuja kutusema tuliovuja jasho tukiwatetea na kulinda kura zao
Mbona wapo weengi nimekwambia mfano mzuri rudi awamu iliopitaa
Sio tu kuandamana huo ni mfano
Sawa hawafai anzisha wewe harakati za upinzani kwanini unalaumu watu kwa jambo unaloweza
Hii nchi ya hovyo sana kuna-group kubwa la wanaume wanataka wanaume wengine kwa niaba yao mkuu maisha sio marahisi hivyo
Ndo maaana nikasema mwanasiasa wa kuja kumkomboa mbongo kizazi hiki hayupooo,Sio tu kuandamana huo ni mfano
Sawa hawafai anzisha wewe harakati za upinzani kwanini unalaumu watu kwa jambo unaloweza
Hii nchi ya hovyo sana kuna-group kubwa la wanaume wanataka wanaume wengine kwa niaba yao mkuu maisha sio marahisi hivyo
Eti hawafai kwa kukujiamini kabisa ingia front kwenye harakati za upinzani kwani umenyimwa uone zilivyo unafikiri ni lele-mama
Ndiyo unatambua leo!!HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI
Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku kwetu kwenye upinzani
Hakuna mtu yuko tayari kumwambia kiongozi wake kwamba anayoyafanya hayako sawa, hatuna hata mgambo lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani, tunaogopana kuambiana ukweli, sisi na CCM hatuna tofauti kabisa.
Najiuliza kwanini wapinzani tunashindwa kuonyesha msimamo?
kwanini twende kushiriki uchaguzi bila katiba mpya?
Nilishasema kuna biashara ya Demokrasia inafanyika hapa nchini"
Chanzo : Jambo Tv
Wakati wanapitia maumivu wao na familia zao wewe ulikua na msaada gani kwao wakati mbowe mali zake zinaharibiwa ulikua na msaada gani kwake, lisu kapigwa risasi tulikua na msaada gani kwao hamnaNdo maaana nikasema mwanasiasa wa kuja kumkomboa mbongo kizazi hiki hayupooo,
Mie sio mwanasiasa na nawachukia wanasiasa hususani wa kibongo wanaowatumia vijana kwa maslahi yao binafsi
Kama weweee ni mwanasiasa na inakulipa endelea kujipatia ugali wako kupitia siasaa
Na wakati vijana wakiuliwa na wengine kupata ulemavu wa kudumu hao wanasiasa wako huwa wana msaada gani kwa hizo familiaWakati wanapitia maumivu wao na familia zao wewe ulikua na msaada gani kwao hukua na msaada wowote sasa usiwalaumu wakiwa-wananufaikw ndo wao
pssy sellerNanunuaga tu... nipe yako na mama'ko ninunue.
Kwahela yangu sishindwi ila siyo kwa ruzuku ya chamaMipaja na Kilimanjaro kwani hata wewe unashindwa kununua?
Sasa mbona unaumia ukiona Lissu akila unaona kama anakula kitu kikubwa sana ambacho hawezi kumudu bila ruzuku ya chama?Kwahela yangu sishindwi ila siyo kwa ruzuku ya chama
Sasa si ale bila kutumia ruzuku? Hela ya umma hata kama ni mia 500 ina thamaniSasa mbona unaumia ukiona Lissu akila unaona kama anakula kitu kikubwa sana ambacho hawezi kumudu bila ruzuku ya chama?
Hao unawaona Bora kwakuwa ndio waliopata hiyo nafasi, kwa taarifa yako ni wa kawaida sana.Huo upande ambao upo hakuna hata anastahili kufunga viatu vya JK or JPM, these guys are the LEGENDS!! Ni kichaa pekee anaweza fananisha CVs za akina JK kwenye nchi hii na waganga njaa akina Lema, Mbowe, Sugu, Msigwa, Lissu, Sugu na WAHUNI wa aina hiyo. Bora CCM waongoze milele na siyo kuwapa nchi hao waganga njaa
Wewe unajuaje ni hela ipi anatumia?Sasa si ale bila kutumia ruzuku? Hela ya umma hata kama ni mia 500 ina thamani
Ninazo taarifa za kiintelijensia .Wewe unajuaje ni hela ipi anatumia?
Mkuu usilaumu wapinzani wenzako, laumu wananchi au jamii unayoitetea ndiyo imeshindwa kusimama na wewe! Kwani unatetea wapinzani au wananchi?HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI
Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku kwetu kwenye upinzani
Hakuna mtu yuko tayari kumwambia kiongozi wake kwamba anayoyafanya hayako sawa, hatuna hata mgambo lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani, tunaogopana kuambiana ukweli, sisi na CCM hatuna tofauti kabisa.
Najiuliza kwanini wapinzani tunashindwa kuonyesha msimamo?
kwanini twende kushiriki uchaguzi bila katiba mpya?
Nilishasema kuna biashara ya Demokrasia inafanyika hapa nchini"
Chanzo : Jambo Tv