Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

Mgawanyiko huu huko upinzani, ni kwa sababu ya afya njema na uchapa kazi hodari wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi katika kuyashughulikia matatizo ya wananchi...

Wapinzani hawana hoja yenye mashiko, hawaelewani, hawana diria wala hawana uelekeo kabsaa....
 
Kumbe huyu ni kichaa, mwambie akaandamane, kama ni kila kitu kinafanyika anavyotaka. mbona alishindwa kuandamana. kumbe takataka tupu.

Hawa ni wapinzani wenzako, tumia busara kutoa hoja yako...mpumbavu mkubwa kumbe!
 
Na anataka chadema wafuate kile anachoongea yeye anaishi kwenye dunia yake alafu anaona maisha ni marais sana akaanzishe chama chake alafu aanze kukijenga tokea chini
 
Kumbe huyu ni kichaa, mwambie akaandamane, kama ni kila kitu kinafanyika anavyotaka. mbona alishindwa kuandamana. kumbe takataka tupu.
Hawa ni wapinzni wenzako, tumia busara kutoa hoja yako...mpumbavu mkubwa kumbe!
peleka mambo taratibu mkuuu dah 😅
 
sasa mwabukusi yeye 2025 atagombea wapi? nccr haipo tena imenunuliwa na ccm na yeye ameichamba, ACT zitto hawezi kumpokea kwasababu ...., ccm hawezi kuingia, chadema ndio hii anaichamba. au ameshakata tamaa kugombwa?
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ni mtu mjinga au mwenye maslahi binafsi anaweza kuendelea kushiriki ama kujitokeza kupiga kura katika chaguzi hizi za kishenzi.
 
sasa mwabukusi yeye 2025 atagombea wapi? nccr haipo tena imenunuliwa na ccm na yeye ameichamba, ACT zitto hawezi kumpokea kwasababu ...., ccm hawezi kuingia, chadema ndio hii anaichamba. au ameshakata tamaa kugombwa?
Slaa anamdanganya sana huyu jamaa
Kwenye maisha hamnaga short-cut hasa kwenye mambo yanayohusu itikadi kama siasa

Kama anajiamini aanzishe chama chake asitake kutumia watu kama mgongo wa kufikia malengo yake maisha sio marahisi hivyo yaani chadema waache agenda zake wamfuate yeye mbona ni kituko na kichekesho
 
wasajili hawatasajili chama chochote kuanzia sasa, sio rahisi kama unavyofikiri.
 
Yaani huu mgao wa umeme ndio usambaratishe wapinzani? Au kuuza bandari ndio kunaweza kusambaratisha wapinzani? Ukitaka kujua watu wamepuuza hilo zoezi liitwalo uchaguzi, subira chaguzi zijazo uone jinsi wapiga kura watakavyokuwa wachache. Na sababu hasa ya watu kupuuza uchaguzi, ni kitendo Cha ccm kulazimisha kutangazwa washindi kwa shuruti bila ridhaa ya wananchi.
 
lazima kuunganisha nguvu, sasa unapo wa dispise wenzako, unadhani utafanya lolote wewe na Mdude bila nguvu ya wote ambao wanaona CCM ni "adui" wa watanzania? Lipuuzi likubwa sana
Calm down Commander,
jamaa bado si mzoefu ktk siasa nchini, anadhani anachofikiri yeye na wenzie wanafikiri ivo ivo, badala ya kuwaconsalt then apate fursa ya kupropose uelekeo anaofikiri ni mwema kwa wenzie, yeye analeta ujuaji na kubwekabweka aise 🤣
 
kwahiyo anachofanya mwabukusi ni kuunganisha nguvu upinzani 😅
 
Kumbe na wewe ni hao hao! On the list to be blocked to save time and MBs

Huzuni Tanga: Mjamzito afariki kwa kukosa Pesa, DC atoa kauli hii​



CCM: Mama mjamzito, Mariam Zahoro (30) Mkazi wa Kijiji cha Mumbwi Wilayani Handeni, Tanga amefariki dunia akiwa kwenye Kituo cha Afya Kabuku kilichopo Wilayani humo ikidaiwa kuwa alikosa huduma ya upasuaji baada ya kushindwa kulipa Tsh. 150,000 alizotakiwa kutoa kwa ajili ya huduma hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…