Gentleman,
Tz requires vibrant, united and very focused opinions, to checkmate and oversight the government policy, actions, plans and programmes towards wanainchi...
Sasa kwa hali hii anayoleta mwabukusi kweli mtaishia kutukana tu ili ipatikane tume huru ya uchaguzi au Katiba mpya? Kwamba matusi itazuia au kuibabaisha Serikali kuwatumikia wanainchi?
Friends,
Kwani hua mnatumia nini kufikiri? mathalani mchakato wa Katiba uanzishwe leo, itaundwa katiba itapitishwa na walio wengi ambao ni CCM vizur sana, na mtaishia kususa tu and nothing will happen...
Unganisheni nguvu, elewaneni , aminianeni, walau muwe na nguvu na sauti moja ndrugu zango....
I demand vibrant and united opposition in Tz.