Kwa majira haya Lissu hakupaswa kuwa CHADEMA
Mbowe hana nia ya dhati kwasasa kuinua upinzani.
Bora hata Lema alimchana kuwa asiwaamini ccm
mumewe yule anaitwa mrema?nikimkumbuka mbunge flani wa viti maalum alivyompiga mumewe chini baada ya kuwa mbunge alafu kaolewa tena na kigogo wa chama chao ndiyo ninaamin ni maslay tu!
Kama wasiposhiriki chaguzi za 2024/25 na kuiachia CCM unafikiri wao watabaki salama tena? Najua ndiyo matamanio ya CCM kuufuta upinzani kwa staili hii.Lakini kuna nini cha uongo kasema? Mbona hata Lissu huwa anasema haya hasa kushiriki uchaguzi bila katiba mpya? Je ni wangapi wanakubaliana na Lissu?
sikiliza bunge kuna vifungu vingi vya sheria ya uchaguzi vimerekebishwaNarudia tena, hakuna mtu mwenye akili timamu ataendelea kushiriki hizi chaguzi za kipuuzi. Serekali kutumikia wananchi ni wajibu hata ingeingia serekali ya kijeshi itatumikia wananchi, as long as wanakusanya Kodi. Hapa tunazungumzia legitimacy ya umma. Unaweza kukaa madarakani bila ridhaa ya umma.
Tunapiga kura na kuwapa watu tuwatakao na sio hao wanaochomekwa na ccm kwa kunajisi uchaguzi. Kama issue ni serekali kutumikia wananchi, uchaguzi ni wa nini wakati hata mkoloni alikuwa na serekali?
Slaa anamdanganya sana huyu jamaa
Kwenye maisha hamnaga short-cut hasa kwenye mambo yanayohusu itikadi kama siasa
Kama anajiamini aanzishe chama chake asitake kutumia watu kama mgongo wa kufikia malengo yake maisha sio marahisi hivyo yaani chadema waache agenda zake wamfuate yeye mbona ni kituko na kichekesho
Kashaanza kuchanganyikiwa...anaanza kuona joto la sirikali...uwakili ukienda na mishe za kusaka ugali zitaathirika pakubwa!sasa mwabukusi yeye 2025 atagombea wapi? nccr haipo tena imenunuliwa na ccm na yeye ameichamba, ACT zitto hawezi kumpokea kwasababu ...., ccm hawezi kuingia, chadema ndio hii anaichamba. au ameshakata tamaa kugombwa?
Sidhani kama yupo anayejielewa atautilia shaka msimamo wa Adv. Mwabukusi, na ni ngumu sana kwa mtu mwenye msimamo wa aina ile, aliyeiweka mpaka nafsi yake rehani, kuchanganywa kundi moja na wapinzani maslahi wanaoutafuta utajiri kupitia siasa, hiyo ni sawa na kuchanganya maji na mafuta.Yeye mwenyewe mwabukuzi ameona upinzani ulivyo mgumu, kashindwa kufanya maanadamano. Nadhani anapanic kwa ugumu uliopo.
Ukweli mtupu!Chadema ni CCM iliyochangamka
uchaguzi chadema itashiriki ,na itashindwa kihalaliNasema hivi hakuna sifa yoyote ya kuungana wapinzani ili kupewa nafasi za hisani. Kama ushindani wa sera ndio ungekuwa unatoka mshindi hapa kwetu, Leo hii ccm isingekuwa madarakani, na hata kama ingekuwa isingekuwa na uwezo kufanya maamuzi itakavyo. Hilo neno sera mnalitumia kama fashion, lakini ccm haiko madarakani kutokana na sera, Bali sababu za kihistoria, na hasa hasa katiba mbovu ya chama kimoja.
Hizi chaguzi za kihayawani unazoziona, ni ili kuhakikisha ccm inaendelea kukaa madarakani huku kizazi kikiwa kimeichoka. Huo usanii kuwa mko madarakani kwa ajili ya sera, kawaambieni wale wajinga mnaowasomba kwenye malori. Zama za ccm kuendelea kukaa madarakani zilishapita na kizazi chake. Hivyo hizo chaguzi mnazolazimisha kukaa madarakani, fanyeni/shirikini na wenye huo mda mchafu. Na ukitaka kuamini hiki si kizazi Cha ccm, subiri uone idadi ndogo ya wapiga kira watakaojitokeza, kama ishara kuwa hamkubaliki na kizazi hiki tena.
Kivipi alikuwa a anaburuzwa tu wakati Mtei hakuwa na mamlaka yoyote au nguvu zozote??Mtei, Muhammad bob nyanga Makani alikua anaburuzwa tu
Sasa ataanzisha Chama kipi wakati yeye mwenyewe kashasema Upinzani ni kubaya kuliko CCM??Si akaanzishe chama chake
Mgawanyiko huu huko upinzani, ni kwa sababu ya afya njema na uchapa kazi hodari wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi katika kuyashughulikia matatizo ya wananchi...
Wapinzani hawana hoja yenye mashiko, hawaelewani, hawana diria wala hawana uelekeo kabsaa....
sasa mwabukusi yeye 2025 atagombea wapi? nccr haipo tena imenunuliwa na ccm na yeye ameichamba, ACT zitto hawezi kumpokea kwasababu ...., ccm hawezi kuingia, chadema ndio hii anaichamba. au ameshakata tamaa kugombwa?
Focus na kile alichosema Adv. Mwabukusi wacha kumlaumu kwa kutoa maoni yake, au hutaki upinzani usemwe hata wakikosea? kufanya hivyo huoni ndio unazidi kuthibitisha ubinafsi walionao wapinzani anaousema Adv. Mwabukusi!.Na hiki ndicho anachotaka Mwabukusi, kuwachanganya wapinzani kwa kuwatukana kila siku. Mpinzani gani unadai CCM ni Wazuri kuliko upinzani?. Yeye CCM hiyo hiyo imezuia maanadamano yake , Leo anadai ni wazuri. Shauri zake
Aamue kufa au akae kimya aache kubweka bweka kama mbwakokoSasa ataanzisha Chama kipi wakati yeye mwenyewe kashasema Upinzani ni kubaya kuliko CCM??
Chadema ni CCM iliyochangamka
Siasa za kutishana zilishapitwaga na wakati bwasheeMnafiki Sana wewe , ila siku yako inakuja
Kweli kabisa, wote wachumia tumbo tu.