SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
huku upinzani nako kuna machawa huku kwetu kwenye upinzani
hatuna hata mgambo lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani,
Sauti ya Watanzania!kuna biashara ya Demokrasia inafanyika hapa nchini"
Ni pandikizi ndo maana mbowe alimwambia afanye movement zake hakuna ambaye anamzuiaMimi namuona mwabukusi Kama pandikizi. Maana kaikuta CHADEMA inapambana, kaanzsha movement yake. Cha ajabu kila akiamka asubuhi matusi kwa upinzani ikiwemo CHADEMA. Mwabukusi anajua kuwa wananchi na wanachama wa CHADEMA waliotaka chama kishiriki uchaguzi mdogo wa mbarali, viongozi wakagoma. Sasa unamlaumuje CHADEMA kwa nafasi hiyo?. Mumshauri aache kelele za kuishambulia upinzani ana ajikiye kwenye movement yake.
Ukiwa na hii mindset ndio umefeli rasmi, kama unaenda kwenye siasa kwasababu ya njaa na CCM wakajua hili, umekwisha.Ukweli upi wewe unaweza fanya kazi bila mshahara kama unaweza unahaki ya kuwalaumu ambao wanatafuta ela kwenye siasa
Kama unafamilia jaribu uone kufanya kazi bila mshahara kwa kisingizio ni mzalendo
Mbeya wanazalisha Mitume na Manabii.Naamini Mbeya wanaweza kuanzisha chama cha ziada chenye mafanikio kwenye upinzani, isiwe kila muda vyama vyenye upinzani vianzishwe na watu wa Kilimanjaro (Ilianza Tlp, ikaja Nccr, sasa ni Chadema)
Daaaaaaaaaah yeee ndo kajua leoo?? Siasa Bongo ni ajira, wa sisihemu na upinzani akili ni moja,
Huwa nawashangaa vijana hohe hahe kutumiwa na wanasiasaa mpaka wanapoteza maisha wengine ulemavu wa kudumu
Kiufupi mwanasiasa wa kuja kumkomboa mtanzania kizazi hiki bado hayupooo
Mtu anatokea huko anakuambia wakina mbowe na chadema wanaangalia fedhaIla wanaowalipia wenzi wa wastaafu zaidi ya bilioni kwa mwaka hawana tamaa. Huku mama mjamzito anakufa kisa lakini moja. Nyie endeleeni kufocus na wapinzani ambao hawana madaraka Wala bajeti.
Subirini Nusu Mkate baada ya Tume Mpya ya Uchaguzi kuundwa na mh Rais
Sio kufeli wewe unaweza ishi bila ela nijibu hili swaliUkiwa na hii mindset ndio umefeli rasmi, kama unaenda kwenye siasa kwasababu ya njaa na CCM wakujua hili, umekwisha.
Kama shida yako pesa kafanye biashara, wachana na siasa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Nchi za Africa Magharibi nyingi zipo kwny mikono ya Wanajeshi na Raia wanapigania zirudi kwa Raia japp hapo awali waliona bora Mapinduzi ya kijeshi yatokeeAnasema ukweli, kuwa ni ukhanithi kwa wapinzani kuendelea kushiriki chaguzi hizi kwa mazingira haya ya kihanithi. Na hao wapinzani watakaokubali kushiriki huo uhuni uitwaa uchaguzi, watashangaa jinsi kutakakavyokua na wapiga kura wachache.
Wananchi wameshastuka hawana muda wa kufanywa mafala kwenye mstari wa kura, wakati ccm wamekuja na matokeo yao mfukoni. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataletaa mabadiko ya kweli kwenye chaguzi za nchi hii.
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na Mwakubusi, siasa za upinzani hazina mashiko tena.
Mfano kwenye hizi operation mtu anazunguka almost miezi miwili na chama mna-pumzika alafu baada ya mda mnaanza tena ni kazi gani utapewa ruhusa za kila mara ukakinadi chamaUkiwa na hii mindset ndio umefeli rasmi, kama unaenda kwenye siasa kwasababu ya njaa na CCM wakujua hili, umekwisha.
Kama shida yako pesa kafanye biashara, wachana na siasa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Tazama maudhui ya kile kilichomfanya akatamka hayo maneno, kisha jiulize ni ya kweli au uongo.
Usimgombeze.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Siyo mchaga!?..sijauliza makazi
Guys,Mimi namuona mwabukusi Kama pandikizi. Maana kaikuta CHADEMA inapambana, kaanzsha movement yake. Cha ajabu kila akiamka asubuhi matusi kwa upinzani ikiwemo CHADEMA. Mwabukusi anajua kuwa wananchi na wanachama wa CHADEMA waliotaka chama kishiriki uchaguzi mdogo wa mbarali, viongozi wakagoma. Sasa unamlaumuje CHADEMA kwa nafasi hiyo?. Mumshauri aache kelele za kuishambulia upinzani ana ajikiye kwenye movement yake.
Usipoziba nyufa zenu kama wapinzani ni vigumu sana kuwashinda CCM mkiwa hampo organised, na hii inasababishwa na tamaa ya ubunge anayoilaumu Adv. Mwabukusi, kuwa na msimamo usioyumba wa kile unachopigania ni muhimu sana,hapo ndipo CCM hushtuka.
Lakini uliona Samia anasema kule ndani kwao hapajatulia, ujue ameshawapima uzito akajua kilo zenu, hamumtishi tena, ndio maana Adv. Mwabukusi anawataka kurudi kwenye drawing board muangalie mnakosea wapi, yuko sahihi kabisa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Swala ni kwamba chadema mnashiriki uchaguzi au hamshiriki? Mnyika ameshiriki jana kwenye kikao cha maandalizi ya uchaguzi na uandikishaji wa wapiga kura! Msimamo wa chama unatakiwa ueleweke kabisa kuwa hatutishiriki chochote kinachofanana au kushahabiana na uchaguzi mpaka tupate tume huru au katiba mpya!Mkuu, Mwabukusi anatokea Mbeya. Kwenye uchaguzi mdogo wa mbarali viongozi wa CHADEMA wa wilaya na hata mkoa wakiwemo wanachama waliimba chama kishiriki, CHADEMA kikagoma kishiriki. Leo anatokea mtu wa Mbeya hapo hapo na kuanza kubeza hata hicho kidogo. Juzi CHADEMA wametukanwa na Rais Samiah kwa kugomea mkutano wa vyama vya siasa , halafu hata kuapriciate hakuna. Mwabukusi hapana, anafanya kazi ya Makonda. Aende zake huko.
Wote sawa sawa maana wote wachumia tumbo.Ahamie CCM aache kelele. Kila siku kusema upinzani anazidiwa hadi na Makonda ambaye anashughulika na mawaziri vilaza.
Ni uchaguzi upi chadema wameshiriki baada ya 2020Chadema lazima wajue ukweli ni kwamba hawana msimamo na hata mwenye msimamo tofauti na Mbowe ni mbaya kwao!
Lissu alishasema kuwa wasikubali kushiriki uchaguzi wowote bila katiba mpya lakini wanamuona mjinga na sasa Mwambukusi anawambia ukweli wanamuona anataka ubunge….
Chadema wanashida na ubunge kila mmoja wao kuliko hiyo katiba mpya kwa hiyo Lissu na Mwambukusi wanapoteza muda wao…
Chadema hadi sasa walitakiwa kutangaza kuwa hawatoshirikiana na CCM au Serikali kwenye chochote hadi katiba mpya ipatikane au kuwepo na tume huru ya uchaguzi…lakini nani kati yao ana msimamo huo zaidi ya Lissu!
Chadema lazima wajue kila kitu kinakuja kwa sacrifice wanatakiwa kugomea kila kitu na waendeshe operation ya kuwasahawishi wananchi kugomea uchaguzi mpaka itakapo patikana tume huru au katiba mpya…
Na wanatakiwa kuiambia dunia nzima kuwa hawatoshiriki na movement hii wanaiweza shida ni matumbo kama anavyosema Mwambukusi!
Chadema haitoweza kubadilika hadi watakapo elewa kuwa Lissu anafaa kuwa mwenyekiti kwa nyakati hizi na Lissu ni mtu sahihi kwa siasa hizi za CCM maana hayumbishwi na juice wala hela wala huruma!
Watu wanakata tamaa kuunga mkono chadema kwakuwa hawapo tayari kuacha chakula ili kupambana wakikute baadae …