Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

Mimi namuona mwabukusi Kama pandikizi. Maana kaikuta CHADEMA inapambana, kaanzsha movement yake. Cha ajabu kila akiamka asubuhi matusi kwa upinzani ikiwemo CHADEMA. Mwabukusi anajua kuwa wananchi na wanachama wa CHADEMA waliotaka chama kishiriki uchaguzi mdogo wa mbarali, viongozi wakagoma. Sasa unamlaumuje CHADEMA kwa nafasi hiyo?. Mumshauri aache kelele za kuishambulia upinzani ana ajikiye kwenye movement yake.
Ni pandikizi ndo maana mbowe alimwambia afanye movement zake hakuna ambaye anamzuia
 
Ukweli upi wewe unaweza fanya kazi bila mshahara kama unaweza unahaki ya kuwalaumu ambao wanatafuta ela kwenye siasa

Kama unafamilia jaribu uone kufanya kazi bila mshahara kwa kisingizio ni mzalendo
Ukiwa na hii mindset ndio umefeli rasmi, kama unaenda kwenye siasa kwasababu ya njaa na CCM wakajua hili, umekwisha.

Kama shida yako pesa kafanye biashara, wachana na siasa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Naamini Mbeya wanaweza kuanzisha chama cha ziada chenye mafanikio kwenye upinzani, isiwe kila muda vyama vyenye upinzani vianzishwe na watu wa Kilimanjaro (Ilianza Tlp, ikaja Nccr, sasa ni Chadema)
Mbeya wanazalisha Mitume na Manabii.
 
Daaaaaaaaaah yeee ndo kajua leoo?? Siasa Bongo ni ajira, wa sisihemu na upinzani akili ni moja,
Huwa nawashangaa vijana hohe hahe kutumiwa na wanasiasaa mpaka wanapoteza maisha wengine ulemavu wa kudumu
Kiufupi mwanasiasa wa kuja kumkomboa mtanzania kizazi hiki bado hayupooo

Kauli za kinafiki. Unamlinganishaje CCM na upinzani?. Be serious. CCM tangu inaitwa imekaa madarakani miaka 62, halafu unailinganisha na vyama ambavyo havijawahi kudhika madaraka hata kwa siku moja?

Kwa unafiki huu ndio maana serikali ya CCM na bunge la CCM wameamua kuwalipa kiinua mgongo wenzi wa viongozi huku bima ya mtoto ikitolewa na mama mja mzito kufa kwa kukosa lakini moja na nusu.
 
Yuko sahihi, na hii tabia imedhohofisha sana upinzani na kuwakatisha tamaa wapiga kura.

Kwa hii tabia CCM Itatawala milele yote.
Wapinzani wangekuwa siriaz hadi leo hii CCM ingekuwa Chama cha upinzani.

Unampigia kura leo mpinzani kwa lengo la kuimarisha demokrasia kesho anahamia CCM.

Ndio maana CCM inatumia viruzuku tu kuwamaliza Wapinzani.

RIP. Christopher Mtikila, kidogo alikuwa siriaz.
 
Ila wanaowalipia wenzi wa wastaafu zaidi ya bilioni kwa mwaka hawana tamaa. Huku mama mjamzito anakufa kisa lakini moja. Nyie endeleeni kufocus na wapinzani ambao hawana madaraka Wala bajeti.
Mtu anatokea huko anakuambia wakina mbowe na chadema wanaangalia fedha
Ukweli ni kwamba sisi wanadamu wote tunaangalia maslahi sio kosa ni maisha kikubwa tusimamie kwenye principal

Kuna mwamba anaitwa dennoo nimemwambia afanye kazi bure huku anafamilia aone joto lake ameingia mitini
 
Ukiwa na hii mindset ndio umefeli rasmi, kama unaenda kwenye siasa kwasababu ya njaa na CCM wakujua hili, umekwisha.

Kama shida yako pesa kafanye biashara, wachana na siasa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sio kufeli wewe unaweza ishi bila ela nijibu hili swali
Siasa ni kazi na career kama zilivyo nyingine wanastaili kupata chochote kile unafikiri kusimama majukwaani na kushawishi watu ni kazi rahisi jaribu uone
 
Anasema ukweli, kuwa ni ukhanithi kwa wapinzani kuendelea kushiriki chaguzi hizi kwa mazingira haya ya kihanithi. Na hao wapinzani watakaokubali kushiriki huo uhuni uitwaa uchaguzi, watashangaa jinsi kutakakavyokua na wapiga kura wachache.

Wananchi wameshastuka hawana muda wa kufanywa mafala kwenye mstari wa kura, wakati ccm wamekuja na matokeo yao mfukoni. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataletaa mabadiko ya kweli kwenye chaguzi za nchi hii.
Nchi za Africa Magharibi nyingi zipo kwny mikono ya Wanajeshi na Raia wanapigania zirudi kwa Raia japp hapo awali waliona bora Mapinduzi ya kijeshi yatokee

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na Mwakubusi, siasa za upinzani hazina mashiko tena.

Si mbaki CCM kwenye siasa zenye mashiko. Mnahangaika na upinzani usiokuwa na madaraka Wala nguvu za kimamlaka. Mnataka upinzani wenye nguvu wakati juzi mwabukusi kaitusha maanadamano mmemkimbia?. Upinzani utakuwepo na hauta anguka kwa kauli za kinafiki.
 
Ukiwa na hii mindset ndio umefeli rasmi, kama unaenda kwenye siasa kwasababu ya njaa na CCM wakujua hili, umekwisha.

Kama shida yako pesa kafanye biashara, wachana na siasa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mfano kwenye hizi operation mtu anazunguka almost miezi miwili na chama mna-pumzika alafu baada ya mda mnaanza tena ni kazi gani utapewa ruhusa za kila mara ukakinadi chama

Ndo maana nikakuambia ile kazi unatakiwa uende huko vijijini ukafanye mikutano ukanadi sera za chama na sio kukaa kwenye mitandao kwa sababu inahitaji commitment ya asilimia 100

Mtu unazungumka naye miezi minne yeye anafamilia unataka aishije kama humlipi mshahara
 
Tazama maudhui ya kile kilichomfanya akatamka hayo maneno, kisha jiulize ni ya kweli au uongo.

Usimgombeze.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

Mkuu, Mwabukusi anatokea Mbeya. Kwenye uchaguzi mdogo wa mbarali viongozi wa CHADEMA wa wilaya na hata mkoa wakiwemo wanachama waliimba chama kishiriki, CHADEMA kikagoma kishiriki. Leo anatokea mtu wa Mbeya hapo hapo na kuanza kubeza hata hicho kidogo. Juzi CHADEMA wametukanwa na Rais Samiah kwa kugomea mkutano wa vyama vya siasa , halafu hata kuapriciate hakuna. Mwabukusi hapana, anafanya kazi ya Makonda. Aende zake huko.
 
Chadema lazima wajue ukweli ni kwamba hawana msimamo na hata mwenye msimamo tofauti na Mbowe ni mbaya kwao!

Lissu alishasema kuwa wasikubali kushiriki uchaguzi wowote bila katiba mpya lakini wanamuona mjinga na sasa Mwambukusi anawambia ukweli wanamuona anataka ubunge….

Chadema wanashida na ubunge kila mmoja wao kuliko hiyo katiba mpya kwa hiyo Lissu na Mwambukusi wanapoteza muda wao…

Chadema hadi sasa walitakiwa kutangaza kuwa hawatoshirikiana na CCM au Serikali kwenye chochote hadi katiba mpya ipatikane au kuwepo na tume huru ya uchaguzi…lakini nani kati yao ana msimamo huo zaidi ya Lissu!

Chadema lazima wajue kila kitu kinakuja kwa sacrifice wanatakiwa kugomea kila kitu na waendeshe operation ya kuwasahawishi wananchi kugomea uchaguzi mpaka itakapo patikana tume huru au katiba mpya…
Na wanatakiwa kuiambia dunia nzima kuwa hawatoshiriki na movement hii wanaiweza shida ni matumbo kama anavyosema Mwambukusi!

Chadema haitoweza kubadilika hadi watakapo elewa kuwa Lissu anafaa kuwa mwenyekiti kwa nyakati hizi na Lissu ni mtu sahihi kwa siasa hizi za CCM maana hayumbishwi na juice wala hela wala huruma!

Watu wanakata tamaa kuunga mkono chadema kwakuwa hawapo tayari kuacha chakula ili kupambana wakikute baadae …
 
Mimi namuona mwabukusi Kama pandikizi. Maana kaikuta CHADEMA inapambana, kaanzsha movement yake. Cha ajabu kila akiamka asubuhi matusi kwa upinzani ikiwemo CHADEMA. Mwabukusi anajua kuwa wananchi na wanachama wa CHADEMA waliotaka chama kishiriki uchaguzi mdogo wa mbarali, viongozi wakagoma. Sasa unamlaumuje CHADEMA kwa nafasi hiyo?. Mumshauri aache kelele za kuishambulia upinzani ana ajikiye kwenye movement yake.
Guys,
Muda bado upo,
You have to deal with this gentleman swiftly, decisively and technically, yapo mambo muhimu yanafaa kuwa impacted within him, kutoka kwa wazoefu huko oppositions, hususan chadema, and for sure anaweza kuwa menterd and shaped very well na akawa very significant in political sphere in Tz, politically speaking......
 
Usipoziba nyufa zenu kama wapinzani ni vigumu sana kuwashinda CCM mkiwa hampo organised, na hii inasababishwa na tamaa ya ubunge anayoilaumu Adv. Mwabukusi, kuwa na msimamo usioyumba wa kile unachopigania ni muhimu sana,hapo ndipo CCM hushtuka.

Lakini uliona Samia anasema kule ndani kwao hapajatulia, ujue ameshawapima uzito akajua kilo zenu, hamumtishi tena, ndio maana Adv. Mwabukusi anawataka kurudi kwenye drawing board muangalie mnakosea wapi, yuko sahihi kabisa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

Nani anatamaa ya Ubunge?. Si awataje?. 2025 ikifika na CHADEMA wakashiriki kwa sheria hii iliyopo basi hata Mimi nitaachana na CHADEMA na upinzani kwa ujumla.
 
Mkuu, Mwabukusi anatokea Mbeya. Kwenye uchaguzi mdogo wa mbarali viongozi wa CHADEMA wa wilaya na hata mkoa wakiwemo wanachama waliimba chama kishiriki, CHADEMA kikagoma kishiriki. Leo anatokea mtu wa Mbeya hapo hapo na kuanza kubeza hata hicho kidogo. Juzi CHADEMA wametukanwa na Rais Samiah kwa kugomea mkutano wa vyama vya siasa , halafu hata kuapriciate hakuna. Mwabukusi hapana, anafanya kazi ya Makonda. Aende zake huko.
Swala ni kwamba chadema mnashiriki uchaguzi au hamshiriki? Mnyika ameshiriki jana kwenye kikao cha maandalizi ya uchaguzi na uandikishaji wa wapiga kura! Msimamo wa chama unatakiwa ueleweke kabisa kuwa hatutishiriki chochote kinachofanana au kushahabiana na uchaguzi mpaka tupate tume huru au katiba mpya!

Hivi ulimsikiliza Lissu? Msimamo wa chama unaunga mkono manenonyake? Wewe unafikiri wanachadema wengi mnatofautiana na Lissu kwenye nini?

Lissu ana msimamo kuliko viongozi wenu mnao watukuza …
 
Chadema lazima wajue ukweli ni kwamba hawana msimamo na hata mwenye msimamo tofauti na Mbowe ni mbaya kwao!

Lissu alishasema kuwa wasikubali kushiriki uchaguzi wowote bila katiba mpya lakini wanamuona mjinga na sasa Mwambukusi anawambia ukweli wanamuona anataka ubunge….

Chadema wanashida na ubunge kila mmoja wao kuliko hiyo katiba mpya kwa hiyo Lissu na Mwambukusi wanapoteza muda wao…

Chadema hadi sasa walitakiwa kutangaza kuwa hawatoshirikiana na CCM au Serikali kwenye chochote hadi katiba mpya ipatikane au kuwepo na tume huru ya uchaguzi…lakini nani kati yao ana msimamo huo zaidi ya Lissu!

Chadema lazima wajue kila kitu kinakuja kwa sacrifice wanatakiwa kugomea kila kitu na waendeshe operation ya kuwasahawishi wananchi kugomea uchaguzi mpaka itakapo patikana tume huru au katiba mpya…
Na wanatakiwa kuiambia dunia nzima kuwa hawatoshiriki na movement hii wanaiweza shida ni matumbo kama anavyosema Mwambukusi!

Chadema haitoweza kubadilika hadi watakapo elewa kuwa Lissu anafaa kuwa mwenyekiti kwa nyakati hizi na Lissu ni mtu sahihi kwa siasa hizi za CCM maana hayumbishwi na juice wala hela wala huruma!

Watu wanakata tamaa kuunga mkono chadema kwakuwa hawapo tayari kuacha chakula ili kupambana wakikute baadae …
Ni uchaguzi upi chadema wameshiriki baada ya 2020
 
Back
Top Bottom