Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kabisa, ni kupotezeana muda. Tuache wajinga waendelee kupiga kura, Hadi tutakapojitambua yafanyike mabadiliko ya kweli.Hakuna haja ya kujisumbua
Kupiga kura
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, ni kupotezeana muda. Tuache wajinga waendelee kupiga kura, Hadi tutakapojitambua yafanyike mabadiliko ya kweli.Hakuna haja ya kujisumbua
Kupiga kura
Ova
Hawana msaada kama wewe ulivyokua huna msaada kwao usiwalaumu kila mtu aishi anavyojuaNa wakati vijana wakiuliwa na wengine kupata ulemavu wa kudumu hao wanasiasa wako huwa wana msaada gani kwa hizo familia
Tuone yeye mwabukusi atafika wapi na harakati zake ambazo godfather wake ni msaliti dr slaalilikuwa ni suala la muda tu, huwezi kuungana na wanasiasa kupigania haki za raia.
Zipi hizoNinazo taarifa za kiintelijensia .
Haihitaji mtu kuwa na "njaa" kutaka kukusanya zaidi na zaidi ya alicho nacho.Mbowe familia yake ni tajiri kabla hata ya uhuru hana njaa kama hizo unazoziongolea
Siwezi kutumia fursa za matatizo ya watu ku capitalize kwa faida binafsi bora niendelee kupambania hizi hizi senti. Siasa isipoleta matokeo tarajiwa siku moja tutashangazwa.Siasa ni kazi ambayo hata wewe uko eligible kugombania
Acha kulalamika na majungu changamkia fulsa
Mtei, mrema, mbatiaChama gani cha siasa kimetokea Moshi?
Makampuni yote duniani yana-solve matatizo ya watu ndo yanapata fedha we wawapiSiwezi kutumia fursa za matatizo ya watu ku capitalize kwa faida binafsi bora niendelee kupambania hizi hizi senti. Siasa isipoleta matokeo tarajiwa siku moja tutashangazwa.
Naunga mkono hoja, niliwahi kusema CCM ni zimwi, na wapinzani ni mazimwi, Watanzania wanaamua bora kulichagua zimwi likujualo!. Swali la Ugomvi: CCM ni kama nini?HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani, tunaogopana kuambiana ukweli, sisi na CCM hatuna tofauti kabisa.
Chanzo : Jambo Tv
Elewa maana ya opposition itakusaidia zaidi kujibu hojaChadema wanatatuaje changamoto za Tanzania kwani wao ni serekali wanakusanya kodi
Sisi watanzania ni wajinga, ndiyo maana Nyerere mwaka 95 alisema kama Ccm watangangania kumsimamisha Malecela, yeye hatokaa kimya ataweka tajiri mpya ktk landrova yake atazungumza kuwaambia wananchi wasiichangue Ccm, kwani wananchi hawaelewi!HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI
Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku kwetu kwenye upinzani
Hakuna mtu yuko tayari kumwambia kiongozi wake kwamba anayoyafanya hayako sawa, hatuna hata mgambo lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani, tunaogopana kuambiana ukweli, sisi na CCM hatuna tofauti kabisa.
Najiuliza kwanini wapinzani tunashindwa kuonyesha msimamo?
kwanini twende kushiriki uchaguzi bila katiba mpya?
Nilishasema kuna biashara ya Demokrasia inafanyika hapa nchini"
Chanzo : Jambo Tv
Na wewe unatosha.CDM haikuanzishwa na Mtei, ni Bob Makani ambaye ni msukuma