Kumbe Bunge limetudanganya kwamba wao wamepitisha makubaliano na sio mkataba wakati Huku wenzetu Wana sema iga ni nkatabaNgoma inogile:
View attachment 2677538
Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.
View attachment 2677540
Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
Wakili anajua fika kua kujiuzulu sio utaratib wa CCM!!Ngoma inogile:
View attachment 2677538
Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.
View attachment 2677540
Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
Shangazi naye ni baba.Wajombaaa ni mama jamani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katiba mbovu snNimekubalia walioko segerea wameonewa.
Saa100, majaliwa, Tulia , mbarawa na wale wa majimboni wote walitakiwa kuwepo Segerea ili kutenda haki.
Kuwapa wananchi maji ni kazi ya Serikali. Au nalo wanataka afanye DP World?upuuzi mtupu.
hizo pesa wanazo tumia mawakili ni bora wange chimba visima wananchi wapate maji kuliko kupoteza muda na pesa.
Serikali haiwezi kufanya kila kitu, unataka Seriakali ije ikuchimbe choo?Kuwapa wananchi maji ni kazi ya Serikali. Au nalo wanataka afanye DP World?
Safi sanaNgoma inogile:
View attachment 2677538
Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.
View attachment 2677540
Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
Kila kitu kama nini?Serikali haiwezi kufanya kila kitu, unataka Seriakali ije ikuchimbe choo?
Kuandika kwenyewe tia maji tiamaji, mambo makubwa kama hayo ya kisheria utayaelewa bwashee!?Uho Muda wanapoteza bure wanaacha kupambana na kATIBA wapo na bandari mawakili uchwara
Kosoa maandish ila we are differ from thinking capacity and attitude and making decisionsKuandika kwenyewe tia maji tiamaji, mambo makubwa kama hayo ya kisheria utayaelewa bwashee!?
kwa wasiomjua mwabukusi,ni mwanasheria mzuri sana, zamani alikuwa mwanasheria serikalini huko mawizarani, akafungua firm za kupractice na wenzake Arusha kwa miaka mingi, akahamia mbeya ambako ni nyumbani kwao chini ya chadema na amegombea ubunge busokelo au mbeya mjini (kama sikosei) mara kadhaa na kura hazikutosha. kama anataka kumwondoa Tulia Mbeya mjini, ashikilie hapohapo kwenye dipiwedi, asiachie hadi wananchi wamwelewe.Ngoma inogile:
View attachment 2677538
Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.
View attachment 2677540
Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
Watu wamechafukwa, tatizo wanasiasa wanawachukulia poa WatanzaniaMsikilize Wakili Dkt Nshala Rugemeleza,yeye anasema Rais ametenda uhaini kwa kutaka kuiuza Tanganyika.
Very good points, I advise you to join the people to oppose our ports being given DPword for an endless contractKosoa maandish ila we are differ from thinking capacity and attitude and making decisions
Wewe ni kichwa maji fulani. Linaitwa azimio la makubaliano. Kwa ukubwa wa mradi mzima wa DP ililazimu bunge liwe ndio mdhamini wa nchi. Taasisi kubwa inapokuja kufanya biashara na nchi ni bunge linalokuwa mdhamini.Wengi ni wajinga, hasa vijana na ndio maana hata viongozi wanapata nguvu ya kuwadanganya eti walichosaini sio mkataba ni makubaliano tu, mikataba inafuata. Tangu lini Bunge likawa na mamlaka ya kuridhia makubaliano?
Mnapoteza muda kuamini hao wanasheria, kesi yao inakwenda kutupiliwa mbali. Dr Tulia ni mbobezi wa sheria za nchi.Toka lini Bunge likaridhia makubaliano Someni ibara ya 63 ya katiba ya Tanzania, tupo mahakamani kufanya kazi waliyoshindwa Wabunge, Mali za Tanganyika zimehatarishwa.