Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Uelewa mdogo halafu unataka kupotosha wengine. Iwapo katika hiyo mikataba watakayoingia kutotakea kutoelewana ndio watapelekana South Africa. Na hii ni taratibu ya kawaida kwenye masuala ya mikataba ya kimataifa.Makubaliano yenye vifungu vya kufungana hadi kupelekana mahakamani South Africa na kesi kuendeshwa kwa kiingereza, makubaliano tu hadi kupelekana kwa koti, hii hata mtoto wa chekechea ngumu kumdanganya.
Kuna tija gani kujifunga kwenye mkataba wa kipuuzi kwa jambo dogo la kuendesha bandari, hopeless!!Uelewa mdogo halafu unataka kupotosha wengine. Iwapo katika hiyo mikataba watakayoingia kutotakea kutoelewana ndio watapelekana South Africa. Na hii ni taratibu ya kawaida kwenye masuala ya mikataba ya kimataifa.
Waachane na kesi wakakuchimbie visima ? You are a freaking retard ...upuuzi mtupu hizo pesa wanazo tumia mawakili ni bora wange chimba visima wananchi wapate maji kuliko kupoteza muda na pesa.
Halina udogo kwa serikali labda kwako wewe usiye na uelewa wa ulimwengu mpana wa biashara ya bandari.Kuna tija gani kujifunga kwenye mkataba wa kipuuzi kwa jambo dogo la kuendesha bandari, hopeless!!
Kampuni binafsi haiwezi kuingia mkataba wa kuifunga nchi, huu ni uhuni........tuwekee hapa mkataba wa TICTS tuone kama na wenyewe waliweka masharti lukuki ya kudhalilisha nchi na kuifanya mateka kama haya ya mwarabu.Halina udogo kwa serikali labda kwako wewe usiye na uelewa wa ulimwengu mpana wa biashara ya bandari.
DPW anamiliki mali huko DRC na Rwanda hivyo anakamata the whole logistic chain kuanzia huko kwenye mali mpaka zinapokwenda kuuzwa.
Hii ni biashara iliyosababisha kwa kiasi kikubwa ikajengwa reli ya SGR na hayati JPM.
Mkataba wa TICTS kautafute katika archives za serikali. Nenda huko serikalini kautafute. Au kwa mwanasheria mkuu.Kampuni binafsi haiwezi kuingia mkataba wa kuifunga nchi, huu ni uhuni........tuwekee hapa mkataba wa TICTS tuone kama na wenyewe waliweka masharti lukuki ya kudhalilisha nchi na kuifanya mateka kama haya ya mwarabu.
Mkuu kinachokusumbua sana ni Usukuma gang au umasikini wakoKama wew unatokea familia ya kawaida, na siyo hizo za mafisadi, wanafiki, wenye kujifanya Wazalendo wa Taifa ungekuwa na akili yenye kutathimin mambo kwa kina., ila kama unatokea hizo familia endelea na mteremko ila kaa ukijuwa mbele kidogo kuna mlima.
Toka kuzaliwa sijawahi kuwa MASIKINI mpaka kufa kwangu., ila tafuta kazi uache uchawa kwa watawala na elimu yako yakuungaunga hiyo..,Mkuu kinachokusumbua sana ni Usukuma gang au umasikini wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hixi ndio zake[emoji116][emoji116]
HaswaaahShangazi naye ni baba.
Wewe ni kichwa maji fulani. Linaitwa azimio la makubaliano. Kwa ukubwa wa mradi mzima wa DP ililazimu bunge liwe ndio mdhamini wa nchi. Taasisi kubwa inapokuja kufanya biashara na nchi ni bunge linalokuwa mdhamini.
Fanya kazi, hakuna serikali itakuja kukugawia hela.Cha ajabu wananchi bado wanaamini CCM ndio chama kinachoweza kuwavusha ktk bahari ya umaskini...hakika watanzania tumelishwa limbwata!!
hilo li kinyago tu halina uwezo wowote wanabwabwaja ili apate umaarufuNgoma inogile:
View attachment 2677538
Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.
View attachment 2677540
Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
Hela za serikali zinafanya nnupuuzi mtupu.
hizo pesa wanazo tumia mawakili ni bora wange chimba visima wananchi wapate maji kuliko kupoteza muda na pesa.
Tulia amedhalilisha bunge kwa kutokutimiza wajibu wake kama kiongozi wa mhimili wa pili wa utawala. Ameshirikiana na utawala kuficha na kupotosha taarifa ambayo wabunge walipaswa kupata muda kuielewa kabla ya kuijadili. Pia aliwanyanyasa wabunge waliyohoji dhidi ya muswada wa kuridhia bandari na miundombi yake nchini kudhibitiwa na serkali ya dubai kwa masharti ambapo nchi inapoteza uhuru wake.Ngoma inogile:
View attachment 2677538
Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.
View attachment 2677540
Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
Mkuu wakati sisi tunapoteza muda kwenye ujuaji wa kinachandikwa, Zambia jirani yetu kaamua kupitisha mzigo wake katika bandari ya Lobito ya Angola.Ukisoma tena ulichoandika, kama una watu wanaokutegemea huko kwenu, utaanza kuwaonea huruma mwenyewe.
Uelewa wako wa mambo uko chini...Fanya kazi, hakuna serikali itakuja kukugawia hela.
Sasa mimi na elimu ya kuungaunga wapi na wapi, elimu yenyewe sina na wala siyo hitaji langu. Hivi kama umgekuwa hata na 10 million ungeandika huo ujinga?Toka kuzaliwa sijawahi kuwa MASIKINI mpaka kufa kwangu., ila tafuta kazi uache uchawa kwa watawala na elimu yako yakuungaunga hiyo..,
Sagia kunguni😅😅Ngoma inogile:
View attachment 2677538
Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.
View attachment 2677540
Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!