Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Uelewa mdogo halafu unataka kupotosha wengine. Iwapo katika hiyo mikataba watakayoingia kutotakea kutoelewana ndio watapelekana South Africa. Na hii ni taratibu ya kawaida kwenye masuala ya mikataba ya kimataifa.Makubaliano yenye vifungu vya kufungana hadi kupelekana mahakamani South Africa na kesi kuendeshwa kwa kiingereza, makubaliano tu hadi kupelekana kwa koti, hii hata mtoto wa chekechea ngumu kumdanganya.