Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Kumbe ameanzia Certificate ya SHERIA.
Walimu tunawalaumu bure tu Kama hawajasoma ila wako wengine wana magamba mazuri tu kuliko hao mawakili wasomi
 
Umeamua kupambana na mbwa bali sio mfuga mbwa mkuu. Wewe ungefanyaje ungekuwa kwenye nafasi ya Katuga?
 
Katuga ni mtu mdogo sana na wala hana chochote anachofanya yeye nikusikiliza tu akiambiwa hata kesho futa kesi na walio ileta anafuta.Tena atafurai kwa sababu kesi za namna hii kuziendesha zina mateso sana kwani pamoja ni kazi na unapata malipo mazuri lakini pia bado ubinadamu upo.
 
Sisi tumemwachia Mungu
 
Linaniudhi lije lijamaa yani unaona halina utu na hutuma,Ipo siku yeye na familia yake yatawakuta maumivu ambayo hawatapata faraja.
 
Karma
 
Sio kwamba hawana akili bali wanashikiwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…