hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
🤣🤣Niko salama saaaana, njoo unuteke Illinois -USA
🤣🤣Niko salama saaaana, njoo unuteke Illinois -USA
Furani ni kitu gani? Neno ni fulaniMtuga Kati ya mawakili wapumbavu walioinajisi mahakama. Amefanya mahakama ionekane ni ya kipumbavu. Polisi na magareza nao wameonyesha mahakama ni takataka furani hivi na wanaweza kufanya chochote wanachokitaka
Huwa ananishangaza anapokuwa anamwambia Tundu Lissu kwamba "anataka huruma ya mahakama." Lissu anataka kesi isikilizwe Mahakama Kuu. Yeye na jopo lake (sasa siku 112 zimepita) bado kesi inahairishwa tu, je ni nani kati yao na Tundu Lissu anataka huruma ya mahakama? According to me, he projects his own feelings onto Tundu Lissu.Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.
Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University.
Huyu Katuga alisikika siku Moja anaropoka Kwa Lissu kuwa safari hii atakoma. Ndo wakili mkuu wa serikali kwenye hii kesi. Kila akija na hairisho unaona anavyosoma hairisho Kwa majivuno na dharau Ili kumkomoa Lissu.
Nakukumbusha Katuga hao wanaokutuma ipo siku utakuwa mwenyewe.
Uko Iraq Sadam Hussein alishitakiwa Kwa bogus charges kama Lissu, akawekwa ndani Kwa mizengwe, jaji aliyeendesha kesi Jaji Rauf Rashid Rahman bila kuwa na ushaidi wa kutosha akamuhukumu Sadam Hussein kunyongwa Hadi kufa.
Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.
Nassoro Katuga Sahivi unafurahia maumivu ya mwenzako, ata kama unatumwa unaonekana kufurahia utesaji, ipo siku yaja utalipa siku Moja.
Funzo.tutende Mwema coz no one know tomorrow
Hii haifai......Visasi sio uungwanaHawa ni ku deal nao one after one
Yaani Mahakama haina cha kufanya......Hata wakiahirisha kwa miaka 20+, Mahakama haina namnanya kufanya inabidi mahakama ifate tu wanachotaka wao. Hii Mahakama ni Mahakama kweli kweli.Huwa ananishangaza anapokuwa anamwambia Tundu Lissu kwamba "anataka huruma ya mahakama." Lissu anataka kesi isikilizwe Mahakama Kuu. Yeye na jopo lake (sasa siku 112 zimepita) bado kesi inahairishwa tu, je ni nani kati ya Lissu na yeye anayetaka huruma ya mahakama, kama siyo yeye?
Mkuu ni Miaka mitano tu imepita akina Cypirian Musiba na wenzake walikuwa na jeuri kuliko wewe ni vema ukachunga mienendo yakoMfano wako ni wa kipumbavu sana usioendana kabisa. Kajipange uje uandike upya.
Jifunze kuandikA bintiWewe dada mbona una kiherehere, au umenye--geka kwenye kihara---gwe
Kwani anekwambia hasitekereza majukumu yake au amemuhasa tu.
Akili yangu inajua kukupiga pumb.u tu.inamaana akili yako inajua njia ya chooni tu
Naona hakimu alisisitiza zaidi upande wa mashtaka waje na jibu linaloeleweka Agosti 13. Tusubiri tuone kama hakutakuwa na ahirisho tena.Yaani Mahakama haina cha kufanya......Hata wakiahirisha kwa miaka 20+, Mahakama haina namnanya kufanya inabidi mahakama ifate tu wanachotaka wao. Hii Mahakama ni Mahakama kweli kweli.
Umenena vyema, mtu makini hujifunza kutokana na makosa ya wenzake,Bali mpumbavu hujifunza kutoka kwa makosa yake mwenyewe!Anayedhani amesimamaa imara, akaangalie asije kuanguka ghafla!Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.
Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University.
Huyu Katuga alisikika siku Moja anaropoka Kwa Lissu kuwa safari hii atakoma. Ndo wakili mkuu wa serikali kwenye hii kesi. Kila akija na hairisho unaona anavyosoma hairisho Kwa majivuno na dharau Ili kumkomoa Lissu.
Nakukumbusha Katuga hao wanaokutuma ipo siku utakuwa mwenyewe.
Uko Iraq Sadam Hussein alishitakiwa Kwa bogus charges kama Lissu, akawekwa ndani Kwa mizengwe, jaji aliyeendesha kesi Jaji Rauf Rashid Rahman bila kuwa na ushaidi wa kutosha akamuhukumu Sadam Hussein kunyongwa Hadi kufa.
Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.
Nassoro Katuga Sahivi unafurahia maumivu ya mwenzako, ata kama unatumwa unaonekana kufurahia utesaji, ipo siku yaja utalipa siku Moja.
Funzo.tutende Mwema coz no one know tomorrow
Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.
Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University.
Huyu Katuga alisikika siku Moja anaropoka Kwa Lissu kuwa safari hii atakoma. Ndo wakili mkuu wa serikali kwenye hii kesi. Kila akija na hairisho unaona anavyosoma hairisho Kwa majivuno na dharau Ili kumkomoa Lissu.
Nakukumbusha Katuga hao wanaokutuma ipo siku utakuwa mwenyewe.
Uko Iraq Sadam Hussein alishitakiwa Kwa bogus charges kama Lissu, akawekwa ndani Kwa mizengwe, jaji aliyeendesha kesi Jaji Rauf Rashid Rahman bila kuwa na ushaidi wa kutosha akamuhukumu Sadam Hussein kunyongwa Hadi kufa.
Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.
Nassoro Katuga Sahivi unafurahia maumivu ya mwenzako, ata kama unatumwa unaonekana kufurahia utesaji, ipo siku yaja utalipa siku Moja.
Funzo.tutende Mwema coz no one know tomorrow
Kajiweka mbele nani Mkuu,huyu bwege katuga?Uzuri si kajiweka mbele yeye! Hata akikimbilia ulaya kuna diaspora tutadili naye! Endeleeni kumjaza bichwa huyo mjinga mwenzenu, hatumuachii Mungu kwa wajinga kama hawa!
Umecopy na kupaste!Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana,📌🔨👌🏿
Ndio! Nimempa heshima mtoa mada.. Kwangu hiyo ni nukuu bora kabisa inayobeba msingi wa madaUmecopy na kupaste!
Ndio maisha yalivyo, Mungu husimama kwa Haki, ndivyo Historia ilivyo,ubaya hulipwa na Mungu mwenyewe!MMboN
Mbona mnawatisha wanasheria ?
Na mahakama kiujumla
Na kububujikwa na machozi ya Huzuni!Muda huwa ni hakimu mzuri, leo wanacheka lakini kesho watalia
Cheka Leo,ulie miaka yote!Katuga Shujaa wa Nchi yetu. Mawakili 31 wakilipwa dongenono na mabeberu, yeye yuko peke yake na Research Assistants wawili. Nimehesabu pingamizi 7 huku na huku tangu tuanze, ikadhinda 7-0. Ni kweli Tundu anaomba hurums mara hooo Niko jela na Mapito mara hoo nilipigwa risasi 16. Mabeberu EU wanahudhuria kwa winginkufuatilia hela zao, waangalie hata sura zao zinatia imani zimenyong'onyea.
Tena bila haya mwanaume mzima,anajiita mama s!Mkuu ni Miaka mitano tu imepita akina Cypirian Musiba na wenzake walikuwa na jeuri kuliko wewe ni vema ukachunga mienendo yako
Huo ushauri wako wape wanafamilia yako. Kwangu unapoteza mudaMkuu ni Miaka mitano tu imepita akina Cypirian Musiba na wenzake walikuwa na jeuri kuliko wewe ni vema ukachunga mienendo yako