Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.

Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University.

Huyu Katuga alisikika siku Moja anaropoka Kwa Lissu kuwa safari hii atakoma. Ndo wakili mkuu wa serikali kwenye hii kesi. Kila akija na hairisho unaona anavyosoma hairisho Kwa majivuno na dharau Ili kumkomoa Lissu.

Nakukumbusha Katuga hao wanaokutuma ipo siku utakuwa mwenyewe.

Uko Iraq Sadam Hussein alishitakiwa Kwa bogus charges kama Lissu, akawekwa ndani Kwa mizengwe, jaji aliyeendesha kesi Jaji Rauf Rashid Rahman bila kuwa na ushaidi wa kutosha akamuhukumu Sadam Hussein kunyongwa Hadi kufa.

Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.

Nassoro Katuga Sahivi unafurahia maumivu ya mwenzako, ata kama unatumwa unaonekana kufurahia utesaji, ipo siku yaja utalipa siku Moja.

Funzo.tutende Mwema coz no one know tomorrow
Wewe unaogopa kufa? Unajua wewe utakufa lini na kwa mateso gani?
 
ndomana Hii kesi kumbe wote pale mawakili hairisho wote vilaza

Job mrema nae ndo nn
 
Utamnyosha mama yako mzazi. Uwezo wenyewe huna wewe ni sawa na nguruwe unayesubiri kuchinjwa! 🤣
Sicheki kama wewe ila within 6 months ntaufufua huu Uzi Ili ujue, kuwa bongo Kila mtu ni rahisi kumfikia
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Huyo wakili kilaza acha kumpa airtime humu, huyu siku zake zinahesabika. Stay tuned.
Akili anazo ila anahitaji kufinywa kidogo akae sawa hata kama anapokea maelekezo anaonesha anayafurahia , anaongea kwa kujivuna
 
Atekeleze kwa haki. Ila kama ni kwa kutumwa, sio sawa. Anapanda laana na mikosi kwa familia yake.
 
Wewe acha kutishia watu nyau. Kwani wewe unajiona ndo uko salama salimini kwa kutumia hiyo ID fake hapa JF?
Kwanza jifunze kiswahili, neno sahihi hapo ni "ahirisho", siyo 'hairisho' kama ulivyoandika!
Tunakumbusha huyo shemeji yAko katugA
 
Katuga Shujaa wa Nchi yetu. Mawakili 31 wakilipwa dongenono na mabeberu, yeye yuko peke yake na Research Assistants wawili. Nimehesabu pingamizi 7 huku na huku tangu tuanze, ikadhinda 7-0. Ni kweli Tundu anaomba hurums mara hooo Niko jela na Mapito mara hoo nilipigwa risasi 16. Mabeberu EU wanahudhuria kwa winginkufuatilia hela zao, waangalie hata sura zao zinatia imani zimenyong'onyea.
Ng'ombe wa mama mna matatizo sana, unaandika kwa kuwakebehi mabeberu halafu hao hao kesho mama yenu anaenda kutega bakuli wampe msaada.
 
Back
Top Bottom