Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Hivi ni kwa Nini watu walio unga unga elimu wengi wao wakpata vyeo wanakuwaga wapuuzi Fulani hivi!?
 
Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.

Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University.

Huyu Katuga alisikika siku Moja anaropoka Kwa Lissu kuwa safari hii atakoma. Ndo wakili mkuu wa serikali kwenye hii kesi. Kila akija na hairisho unaona anavyosoma hairisho Kwa majivuno na dharau Ili kumkomoa Lissu.

Nakukumbusha Katuga hao wanaokutuma ipo siku utakuwa mwenyewe.

Uko Iraq Sadam Hussein alishitakiwa Kwa bogus charges kama Lissu, akawekwa ndani Kwa mizengwe, jaji aliyeendesha kesi Jaji Rauf Rashid Rahman bila kuwa na ushaidi wa kutosha akamuhukumu Sadam Hussein kunyongwa Hadi kufa.

Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.

Nassoro Katuga Sahivi unafurahia maumivu ya mwenzako, ata kama unatumwa unaonekana kufurahia utesaji, ipo siku yaja utalipa siku Moja.

Funzo.tutende Mwema coz no one know tomorrow
Huyo jamaa ni mmoja kati ya mawakili bora kabisa wa serikali. Kwa tunaofuatilia kesi jamaa yuko calm and knowledgeable huwa anamwacha Lissu abwabwaje halafu anamtwanga na hoja nzito. Si ajabu nyumbu kuanza kuja na vioja kama hivi.
 
Ishu sio jaji Wala samiah coz kabla ya jaji huyu kuwepo na samiah kushika dola palikuwepo na nchi na taifa liitwalo Tanzania!kwanini hilo taiga na hiyo nchi haikuweka mifumo mizuri ya uwajibikaji kisheria Hadi mtu kutoka makunduchi aje asigine Sheria na asifanywe chochote!!?

Ifike Mahalia tusiwalaumu watu pekee inawezekana tunaowalaumu Wana matatizo ya akili au wamelewa na misingi plus mifumo ingewarudisha kwenye mstari!Sasa Leo hii Tanzania inashindwa kusimamia haki na uhai wa walipa Kodi wake kizembe kabisa kwanini!!?

Wenye kufinyanga siasa zetu,think tank ya taifa wanaotegemewa kama ma genius was taifa hili waitwao Baraza la usalama was taifa hili mpo wapi!!?Nini maana. Ya nyie kukalia viti vyenu!!?

Mungu ibariki Tanzania!
Mkoloni kaburu toka Zanzibar anawamuru Polisiccm magerezaccm mahakamaccm majajiccm Watanganyika wawawtese wawanyanyase Watanganyika wenzao, Watanganyika wanataabika kwa kutekwa kuuawa kubambikiwa kesi za uongo na Watanganyika wenzao kwa Amri toka kwa mkoloni kaburu toka Zanzibar
 
Huyo jamaa ni mmoja kati ya mawakili bora kabisa wa serikali. Kwa tunaofuatilia kesi jamaa yuko calm and knowledgeable huwa anamwacha Lissu abwabwaje halafu anamtwanga na hoja nzito. Si ajabu nyumbu kuanza kuja na vioja kama hivi.
Huyo wakili wenu shetani anajua nini zaidi ya kuahirisha kesi kila mara kwa njia haramu za kishetani, hafanyi kazi kwa mujibu wa sheria bali anafanya kazi kwa Amri haramu toka kwa ibirisi watesi wa ccm, huyo si wakili msomi ni bush Loyer ni Mwanasheria kanjaja tu, hajui kuwa yana mwisho hayo na ipo siku atajutia ushetani wake
 
Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.

Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University.

Huyu Katuga alisikika siku Moja anaropoka Kwa Lissu kuwa safari hii atakoma. Ndo wakili mkuu wa serikali kwenye hii kesi. Kila akija na hairisho unaona anavyosoma hairisho Kwa majivuno na dharau Ili kumkomoa Lissu.

Nakukumbusha Katuga hao wanaokutuma ipo siku utakuwa mwenyewe.

Uko Iraq Sadam Hussein alishitakiwa Kwa bogus charges kama Lissu, akawekwa ndani Kwa mizengwe, jaji aliyeendesha kesi Jaji Rauf Rashid Rahman bila kuwa na ushaidi wa kutosha akamuhukumu Sadam Hussein kunyongwa Hadi kufa.

Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.

Nassoro Katuga Sahivi unafurahia maumivu ya mwenzako, ata kama unatumwa unaonekana kufurahia utesaji, ipo siku yaja utalipa siku Moja.

Funzo.tutende Mwema coz no one know tomorrow
Huwa hawakumbuki kuwa walikuwepo akina Mabutu, Elibashiri, Rungu, Chiluba, Iddy Amin Dada, Bokasa, makaburu wa Africa kusini leo wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake
 
Unamtisha?
Walikuwepo madikiteta hatari akina Bokasa, Hitler , Mabutu, mangistu haile marium, makaburu wa Africa kusini, iddy Amin Dada na wenzao leo hii wapo wapi?
 
Huyo wakili wenu shetani anajua nini zaidi ya kuahirisha kesi kila mara kwa njia haramu za kishetani, hafanyi kazi kwa mujibu wa sheria bali anafanya kazi kwa Amri haramu toka kwa ibirisi watesi wa ccm, huyo si wakili msomi ni bush Loyer ni Mwanasheria kanjaja tu, hajui kuwa yana mwisho hayo na ipo siku atajutia ushetani wake
Acha mihemko kuwa objective. Yeye ameshasema wapo tayari kwa kesi mahakama kuu. Kundi la waropokaji wakaja na pingamizi kuhusu mashahidi wa siri. Ulitaka yeye afanyaje? Mmeshindwa kujibu hoja zake mahakamani mmeanza kuja na vitisho. Huyu wakili ndio kiboko ya waropokaji.
 
Katuga Shujaa wa Nchi yetu. Mawakili 31 wakilipwa dongenono na mabeberu, yeye yuko peke yake na Research Assistants wawili. Nimehesabu pingamizi 7 huku na huku tangu tuanze, ikadhinda 7-0. Ni kweli Tundu anaomba hurums mara hooo Niko jela na Mapito mara hoo nilipigwa risasi 16. Mabeberu EU wanahudhuria kwa winginkufuatilia hela zao, waangalie hata sura zao zinatia imani zimenyong'onyea.
Mahakamaccm majajiccm Polisiccm magarezaccm hawafanyi kazi kwa mujibu wa katiba na sheria bali wanafanya kazi kwa mujibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa ibilisi watesi wa ccm na mshauri wao Mbowe Dalali wa siasa ambaye kwa sasa anatamani lisu afie jela arejee chadema kama Lipumba alivyofanya kwa CUF kipindi kile
 
Acha mihemko kuwa objective. Yeye ameshasema wapo tayari kwa kesi mahakama kuu. Kundi la waropokaji wakaja na pingamizi kuhusu mashahidi wa siri. Ulitaka yeye afanyaje? Mmeshindwa kujibu hoja zake mahakamani mmeanza kuja na vitisho. Huyu wakili ndio kiboko ya waropokaji.
Hoja zipi toka wakili wako? Wamewazuia wakili wa Lisu kuongea nae hawapo free kuongea na mteja wao, wanamwekea vikwazo kibao, kitendo cha kukariri kuwa utetezi wa Lisu ni uropokaji ni Aina ya Ushetani mkubwa uliowaungia huko ccm kiasi cha kuficha sura zenu mahakamani kwa Aibu kwani mnajua kuwa Ule ni Uongo ni Uonevu na ipo siku mtajutia kwani hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake,
 
binafsi binadamu wa hivyo huwa namdharau sana, yeye na familia, yaani unakula maisha kwa kutesa binadamu wenzio?...

Huwa namdharau binadamu wa hivi kwa kiwango cha mwisho kabisa, IS walikuwa sahihi sana kumfanyizia yule mwehu Rauf.

ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan
 
Mahakamaccm haifanyi kazi kwa mujibu wa sheria ikija kesi ya Lisu bali hufanya kazi kwa Amri haramu za kishetani toka kwa Watesi ibilisi wa ccm
 
binafsi binadamu wa hivyo huwa namdharau sana, yeye na familia, yaani unakula maisha kwa kutesa binadamu wenzio?...

Huwa namdharau binadamu wa hivi kwa kiwango cha mwisho kabisa, IS walikuwa sahihi sana kumfanyizia yule mwehu Rauf.

ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Kwa kufuata maekelezo toka juu, badala yakufuata sheria inavyosema.
Mahakamaccm haifanyi kazi kwa mujibu wa sheria bali inafanya kazi kwa mujibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa watesi ibilisi wa ccm
 
Mkuu kwa mujibu wa kalenda ya hapa kwenye kibanda changu cha matope tomorrow it will be saturday.
Au una maana gani kusema no one know tomorrow?
"Tomorrow will be saturday or Tomorrow is saturday" would be correct, fix kwanza hii ndio ujue ya kesho...Yes it's true the future is uncertain . The World is in dynamic, and events unfold in unpredictable ways, Being able to adjust to changing circumstances is crucial in navigating an uncertain future..
 
Katuga is basking in the limelight, his only ambition is to become a judge. Yes Judge of the high court.
He dosent want anybody to stand on his way.
Now you can imaging the type of judges we will have in the near future.
 
Wewe unaogopa kufa? Unajua wewe utakufa lini na kwa mateso gani?
Kwa kuwa wewe umejiandaa kufa ndiyo maana unawateka chadema? Unawateka unawaua unawanyanyasa kwa kuwapora Luzuku kupitia msajiliccm, kuzuia mikutano yao kuwabambikia kesi za uongo
 
Back
Top Bottom