Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Katuga Shujaa wa Nchi yetu. Mawakili 31 wakilipwa dongenono na mabeberu, yeye yuko peke yake na Research Assistants wawili. Nimehesabu pingamizi 7 huku na huku tangu tuanze, ikadhinda 7-0. Ni kweli Tundu anaomba hurums mara hooo Niko jela na Mapito mara hoo nilipigwa risasi 16. Mabeberu EU wanahudhuria kwa winginkufuatilia hela zao, waangalie hata sura zao zinatia imani zimenyong'onyea.
Shujaa wa nini wapi? Lini? Yaani Pambano la Ngumi Bondia wa ccm vs wa chadema lakini Bondia wa ccm yupo free kocha benchi lake yaani Polisiccm,magerezaccm, mahakamaccm, wapo free wanafanya watavyo na kocha wa chadema na Benchi lao hawapo huru, mawakili hawapo huru na mteja wao Lisu, wanafanyiwa figisu figisu wakija watu wa haki za binadamu mnawavamia hotelin mnawabaka kuwanajisi kuwatelekeza mipakani, mashahidi feki wanaficha Sura zao hapa Magerezaccm wanaficha sura zao kwa kuwa wengine ni vijana wa ccm wamevaa nguo za magereza kwa kazi maalum kumdhoofisha Lisu, Wekeni Ulingo sawa muone mechi ichezwe FairPlay Uone kama ibilisi wa ccm mtatoboa, Kunako haki ccm keshafeli mapema wamebakia kuwatesa watanganyika kwa Amri za mkoloni kaburu tokea Zanzibar, ni wakati muungano ufe sasa Tanganyika idai Uhuru wake
 
Jamaa ana haiba yenye kujaa kiburi. Sijui anajikuta ni nani wakati akitoka hapo anaenda kunya mavi na kuchamba kama sisi wengine. Karma ipo.
Uonevu, manyanyaso na ushetani wote wa watesi ibilisi wa ccm vina mwisho wake, hakuna mabaya yasiyo na mwisho Walikuwepo akina Mangistu Haile Marium, Elibashiri, makaburu, Bokasa, mabutu, Rungu, Chiluba, Iddy Amin Dada, Al Asad wa Syria na wenzao leo hii wapo wapi?
 
Huwa ananishangaza anapokuwa anamwambia Tundu Lissu kwamba "anataka huruma ya mahakama." Lissu anataka kesi isikilizwe Mahakama Kuu. Yeye na jopo lake (sasa siku 112 zimepita) bado kesi inahairishwa tu, je ni nani kati yake na anayetaka huruma ya mahakama, kama siyo yeye? According to me, he projects his own feelings onto Tundu Lissu.
Wakili wa Serikali ya ccm ni Mtesi ni ibilisi ccm hana Utu wala ubinadamu hajui kuwa kuna leo na kesho hajui kuwa waliokuwa Jela leo kesha waweza kuwa ikulu kama Zambia na Senegal sasa, Hata Mandela alitoka jela akawa Rais
 
Katuga is basking in the limelight, his only ambition is to become a judge. Yes Judge of the high court.
He dosent want anybody to stand on his way.
Now you can imaging the type of judges we will have in the near future.
Na sisi tunamuaidi atakipata Cha moto
 
binafsi binadamu wa hivyo huwa namdharau sana, yeye na familia, yaani unakula maisha kwa kutesa binadamu wenzio?...

Huwa namdharau binadamu wa hivi kwa kiwango cha mwisho kabisa, IS walikuwa sahihi sana kumfanyizia yule mwehu Rauf.

ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan
Huyu dogo Katuga mpumbavu sana, najua Salamu kazipata, ila tutamnyoosha
 
Hoja zipi toka wakili wako? Wamewazuia wakili wa Lisu kuongea nae hawapo free kuongea na mteja wao, wanamwekea vikwazo kibao, kitendo cha kukariri kuwa utetezi wa Lisu ni uropokaji ni Aina ya Ushetani mkubwa uliowaungia huko ccm kiasi cha kuficha sura zenu mahakamani kwa Aibu kwani mnajua kuwa Ule ni Uongo ni Uonevu na ipo siku mtajutia kwani hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake,
Acha uropokaji. Braza K aliomba ajitetee mwenyewe, kitu ambacho kime backfire kwani anaburuzwa vibaya mno na wakili msomi wa serikali. Kwa kifupi uropokaji hauna nafasi mahakamani.
 
Kutumika ni kubaya sana, unatumiwa as a tool na mwisho unaachwa ujipambanie mwenyewe
 
Back
Top Bottom