nimemtaja nani we mbiga? Acha mambo yako weekend hii ni asubuhi umelewa nini?Weka ushahidi kama anatumika hapo nitakuelewa sio maneno ya uchonganishi
Marekani sio kizimkazi mbwa jike weweKuwa Illinois sio kitu kijana
Marekani sehemu ya kawaida we dada, ingekuwa ya maana tako kama wewe usingekuwa hukoMarekani sio kizimkazi mbwa jike wewe
Hapa anazungumziwa Katuga. Wakili ambaye anawatoa kamasi Lisu na genge lakenimemtaja nani we mbiga? Acha mambo yako weekend hii ni asubuhi umelewa nini?
kwani hatumiki hapo? Atumike tu ila ajue to every action there is reaction which is equal to that action,Hapa anazungumziwa Katuga. Wakili ambaye anawatoa kamasi Lisu na genge lake
Labda hujamfuatilia vizuri. Yeye anachofanya anamuacha Lisu abwabwaje then yeye anatumia vifungu vya sheria kumaliza mchezo. Sioni kosa lake. Kama ni lawama mpeni hakimu maana ndo mwenye maamuzi . Katuga yeye ni wakili tukwani hatumiki hapo? Atumike tu ila ajue to every action there is reaction which is equal to that action,
Tutakuja hapa unatoa povu kwa yatakayo mpata KatugaLabda hujamfuatilia vizuri. Yeye anachofanya anamuacha Lisu abwabwaje then yeye anatumia vifungu vya sheria kumaliza mchezo. Sioni kosa lake. Kama ni lawama mpeni hakimu maana ndo mwenye maamuzi . Katuga yeye ni wakili tu
Katuga kafanyaje yeye si hakimuTutakuja hapa unatoa povu kwa yatakayo mpata Katuga
Tuwe wakweli na kujua kuwa Mungu yupo, na kwa kila tendo jema litalipwa ipasavyo, na kila tendo la dhuluma na kunuia, litalipwa marambili.Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.
Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University.
Huyu Katuga alisikika siku Moja anaropoka Kwa Lissu kuwa safari hii atakoma. Ndo wakili mkuu wa serikali kwenye hii kesi. Kila akija na hairisho unaona anavyosoma hairisho Kwa majivuno na dharau Ili kumkomoa Lissu.
Nakukumbusha Katuga hao wanaokutuma ipo siku utakuwa mwenyewe.
Uko Iraq Sadam Hussein alishitakiwa Kwa bogus charges kama Lissu, akawekwa ndani Kwa mizengwe, jaji aliyeendesha kesi Jaji Rauf Rashid Rahman bila kuwa na ushaidi wa kutosha akamuhukumu Sadam Hussein kunyongwa Hadi kufa.
Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana.
Nassoro Katuga Sahivi unafurahia maumivu ya mwenzako, ata kama unatumwa unaonekana kufurahia utesaji, ipo siku yaja utalipa siku Moja.
Funzo.tutende Mwema coz no one know tomorrow
Huyo dogo katuga ni mwepesi sn hana hoja zenye mashiko zenye mashiko zaidi ya mbeleko za hakimu na kuomba kuhairisha kesi tu.Huyo jamaa ni mmoja kati ya mawakili bora kabisa wa serikali. Kwa tunaofuatilia kesi jamaa yuko calm and knowledgeable huwa anamwacha Lissu abwabwaje halafu anamtwanga na hoja nzito. Si ajabu nyumbu kuanza kuja na vioja kama hivi.
Mpka sasa lisu bado anatandaza ball safi kabisa na anapiga pass zake kwa umaridadi huku akileta misukosuko ktk lango la mpinzani, lkn refarii anaonesha akiwapendelea upande wa upinzani kwani mpira wa kurusha yy anawapa upinzani penati.Acha uropokaji. Braza K aliomba ajitetee mwenyewe, kitu ambacho kime backfire kwani anaburuzwa vibaya mno na wakili msomi wa serikali. Kwa kifupi uropokaji hauna nafasi mahakamani.
Wote tu mashahidi kuwa Katuga ni namba moja. Ajengewe sanamu pale postaMpka sasa lisu bado anatandaza ball safi kabisa na anapiga pass zake kwa umaridadi huku akileta misukosuko ktk lango la mpinzani, lkn refarii anaonesha akiwapendelea upande wa upinzani kwani mpira wa kurusha yy anawapa upinzani penati.
Labda mumjengee kijijini kwenu unless yatakuwa ni matumizi mabaya ya cement na.materials nyingine za ujenzi.Wote tu mashahidi kuwa Katuga ni namba moja. Ajengewe sanamu pale posta
Umpe na mama Yako, ajilieWote tu mashahidi kuwa Katuga ni namba moja. Ajengewe sanamu pale posta