Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Huyo dogo katuga ni mwepesi sn hana hoja zenye mashiko zenye mashiko zaidi ya mbeleko za hakimu na kuomba kuhairisha kesi tu.

First year wa law anamkarisha vizuri tu huyo tarishi.
Huyu ata kuongea English ni tabu,afu ndo kupanga wa serikali
 
Acha uropokaji. Braza K aliomba ajitetee mwenyewe, kitu ambacho kime backfire kwani anaburuzwa vibaya mno na wakili msomi wa serikali. Kwa kifupi uropokaji hauna nafasi mahakamani.
Mpaka analazimika kutaka ajitetee mwenyewe ,, mawakili wake walinyimwa kumuona, kitu kilichosababisha kukwama kwa mawasiliano muhimu ya kisheria.

Ndipo, mkazusha ujinga mwingine eti anadai huruma huruma ya mahakama,, kitu ambacho ni uzushi wenu.

Naye kwa kujiamini akakana hataki huruma yenu ila taratibu na haki vitendeke.

Serikali zote katili hutenda na kutesa kama mnavyotenda, but nothing can last forever.
 
Kwa kuwa wewe umejiandaa kufa ndiyo maana unawateka chadema? Unawateka unawaua unawanyanyasa kwa kuwapora Luzuku kupitia msajiliccm, kuzuia mikutano yao kuwabambikia kesi za uongo
Mungu ndio anaamua ufe au usife na ni lini ufe.
 
Nothing last forever
Hata Makaburu wa Kusini mwa Afrika utawala wao dhalimu ulifika mwisho
 
Huyo dogo katuga ni mwepesi sn hana hoja zenye mashiko zenye mashiko zaidi ya mbeleko za hakimu na kuomba kuhairisha kesi tu.

First year wa law anamkarisha vizuri tu huyo tarishi.
Kama mbobevu wenu Braza K anakalishwa kila siku, huu ujasiri wa kuandika hivyo unautoa wapi? Ndio maana sasa mmechagua vitisho.
Mpaka analazimika kutaka ajitetee mwenyewe ,, mawakili wake walinyimwa kumuona, kitu kilichosababisha kukwama kwa mawasiliano muhimu ya kisheria.

Ndipo, mkazusha ujinga mwingine eti anadai huruma huruma ya mahakama,, kitu ambacho ni uzushi wenu.

Naye kwa kujiamini akakana hataki huruma yenu ila taratibu na haki vitendeke.

Serikali zote katili hutenda na kutesa kama mnavyotenda, but nothing can last forever.
Unasema serikali katiki huku ukiwa nyumbani kwako unaandika ushuzi wako kwa amani. Taifa letu na amani yetu ni muhimu zaidi kuhusu uhuru wa kuropoka wa watu wasiozodi buku 2.
 
Hyu mwana najuwa hii kesi ina mstress tu sema hakuna jinsi

Ova
 
Back
Top Bottom