Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Katuga Shujaa wa Nchi yetu. Mawakili 31 wakilipwa dongenono na mabeberu, yeye yuko peke yake na Research Assistants wawili. Nimehesabu pingamizi 7 huku na huku tangu tuanze, ikadhinda 7-0. Ni kweli Tundu anaomba hurums mara hooo Niko jela na Mapito mara hoo nilipigwa risasi 16. Mabeberu EU wanahudhuria kwa winginkufuatilia hela zao, waangalie hata sura zao zinatia imani zimenyong'onyea.
 
Katuga ni
 
Mtuga Kati ya mawakili wapumbavu walioinajisi mahakama. Amefanya mahakama ionekane ni ya kipumbavu. Polisi na magareza nao wameonyesha mahakama ni takataka furani hivi na wanaweza kufanya chochote wanachokitaka
 
Nani wa kumlipisha huyo wakili??
Ninyi watz au mtalipa kwa namna nyingine?

Au mnamuachia Mungu?
 

Hawa jamaa wenye elimu za kuungaunga ndiyo wamepewa nafasi nyingi na ni wasumbufu kweli kweli. Ndiyo MACHAWA WAKUBWA ndani ya serikali.

By the way inasemekana kuna Bwana anaitwa Nasorro Katuga naye ni lawyer huko USA. Asiwe huyu Bwana katumia vyeti vya mtu kufikia hapo.
 
Sisi tutaruka nae hivyo hivyo na udogo wake
 
Mfano wako ni wa kipumbavu sana usioendana kabisa. Kajipange uje uandike upya.
 
Vaa pedi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…