OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni sehemu ya maisha aliyochangia ,😁Atakuwa hajapata wateja mkuu...nadhani soko ni gumu kwake sababu ya tabia yake ya ukigeugeu na kijikombakomba sana,hasa kwa Serikali.
Wakili siyo lazima ashinde kesi, kinachotakiwa kwa Wakili ni kuingiza helaHabari wana ndugu
Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi.
Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke, Kibatala, Matata hutokea kusaidia jamii ili kuweka mambo sawa na kuondoa uonevu kwa jamii inayoonewa na mafisadi. Lakini kwenye kesi hizi hatumsikii Pasco
Sasa najiuliza, yeye Pasco ameshinda kesi zipi?
Au bado yupo intern sehemu?
Au anaishia kugongesha mihuli tu kwenye mikataba ya mauziano ya mashamba na viwanja, ku certfy vyeti na kutengeneza Affidavit?
Naomba kuuliza Pascal Mayalla
Mimi nakubali Mayalla ametulea toka enzi za ID ya Pasco, ila sio mbaya kumhojiKAka Yangu Pascal Mayalla hebu Njoo huku vijana tuliowalea Leo hii wanakuja Kutuchafua Mitandaoni
Wanahitaji kujua jamboKAka Yangu Pascal Mayalla hebu Njoo huku vijana tuliowalea Leo hii wanakuja Kutuchafua Mitandaoni
Ni kweli kabisa Mkuu na mimi ninasubiri jibu kama weweMimi nakubali Mayalla ametulea toka enzi za ID ya Pasco, ila sio mbaya kumhoji
Hata mimi nilikuwa ninajiuliza mpaka siku nilipokutana na habari kuwa Paskal ni maarufu sana visiwa vya Tonga na huko kwa waeskimo, yeye ni wa kimataifa.Habari wana ndugu
Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi.
Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke, Kibatala, Matata hutokea kusaidia jamii ili kuweka mambo sawa na kuondoa uonevu kwa jamii inayoonewa na mafisadi. Lakini kwenye kesi hizi hatumsikii Pasco
Sasa najiuliza, yeye Pasco ameshinda kesi zipi?
Au bado yupo intern sehemu?
Au anaishia kugongesha mihuli tu kwenye mikataba ya mauziano ya mashamba na viwanja, ku certfy vyeti na kutengeneza Affidavit?
Naomba kuuliza Pascal Mayalla
Hajawahienda hata law schoolModerator msaada rekebisha.....ameshinda kesi zipi.....
Usijali na mtetea Pasco,mambo mazuri hayahitaji haraka P anapiga jaramba,akiibuka mwenyewe utakuja hapa kuwa shuhuda.Ila isiwe tu nanapanga kurudi kuchukua jimbo la Kawe,ikiwa hivyo tujue hamna shughuli tena😂Habari wana ndugu
Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi.
Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke, Kibatala, Matata hutokea kusaidia jamii ili kuweka mambo sawa na kuondoa uonevu kwa jamii inayoonewa na mafisadi. Lakini kwenye kesi hizi hatumsikii Pasco
Sasa najiuliza, yeye Pasco ameshinda kesi zipi?
Au bado yupo intern sehemu?
Au anaishia kugongesha mihuli tu kwenye mikataba ya mauziano ya mashamba na viwanja, ku certfy vyeti na kutengeneza Affidavit?
Naomba kuuliza Pascal Mayalla
Anasubiri kesi zitakazoihusu Chadema na Mbowe.Sijui kama kawahi kusimama mahakamani,😄
Ova
Mhhh!Hajawahienda hata law school
Hata kama angeenda kwa uchawa wake kwa Serikali na Chama asingeweza simama mahakamani kuipinga Serikali kwa kigezo Cha kuwateteea walalahoi
Yuko radhi alambe matako ya wenye madaraka Ili tu kikampuni chake kipsnde za kuhost sherehe za 7/7 au 8/8
Au kufukuzia teuzi za uDC na uRC
He is too coward to stand up for anything
We si unaona hata nyuzi zake humu ni ndeeeeefu kama kitabu Cha Barua Ndefu Kama Hii
Tena ni za kuuma na kupuliza bila ya kuwa msimamo maalumu
Zimejaa question marks ili likitokea la kutokea aseme nilishatabiri
Ndumilakuwili huyo