Wakili Pasco Mayala ameshinda kesi zipi, au anaishia kugongesha muhuri mauziano ya viwanja tu?

Wakili Pasco Mayala ameshinda kesi zipi, au anaishia kugongesha muhuri mauziano ya viwanja tu?

Hajawahienda hata law school

Hata kama angeenda kwa uchawa wake kwa Serikali na Chama asingeweza simama mahakamani kuipinga Serikali kwa kigezo Cha kuwateteea walalahoi

Yuko radhi alambe matako ya wenye madaraka Ili tu kikampuni chake kipsnde za kuhost sherehe za 7/7 au 8/8

Au kufukuzia teuzi za uDC na uRC


He is too coward to stand up for anything


We si unaona hata nyuzi zake humu ni ndeeeeefu kama kitabu Cha Barua Ndefu Kama Hii

Tena ni za kuuma na kupuliza bila ya kuwa msimamo maalumu

Zimejaa question marks ili likitokea la kutokea aseme nilishatabiri


Ndumilakuwili huyo
hahahaha umetema nyongo yote
 
Habari wana ndugu
Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi.
Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke, Kibatala, Matata hutokea kusaidia jamii ili kuweka mambo sawa na kuondoa uonevu kwa jamii inayoonewa na mafisadi. Lakini kwenye kesi hizi hatumsikii Pasco

Sasa najiuliza, yeye Pasco ameshinda kesi zipi?
Au bado yupo intern sehemu?
Au anaishia kugongesha mihuli tu kwenye mikataba ya mauziano ya mashamba na viwanja, ku certfy vyeti na kutengeneza Affidavit?

Naomba kuuliza Pascal Mayalla
labda za hapa JF.
Nakumbuka JPM alitafsiri jina la mayala ni njaa
GSY2ZwAWwAAXivk.jpg
 
Msomi mayala yeye alishasema kuwa yeye ni wakili wa haki za binadamu...


 
Msomi mayala yeye alishasema kuwa yeye ni wakili wa haki za binadamu...
No

Sijaona haki yeyote ya mtu aliyoitetea

Kama Kuna ushaidi leta hapa
 
Back
Top Bottom