Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

Msijisumbue na hao Polishishiemu , kwanza muda wake unahesabika juzi alijitia kuchoma yale maji ya Marekani yaani hawana muda hawa wataanza kupukutika mmoja mmoja , muda ni mwalimu tosha sana ndugu zangu mtakuja kuikumbuka hii thread na tarehe ya leo
Amina
 
Sirro atulie astaafu kwa amani aache mihemko isiyo na kichwa wala miguu. Tena tunahitaji igp mpya
 
Mbona naye huyo anaiongelea sasa, na mbona hao CDM wanaiongelea kila siku tena kwenye press?!
Mi siipendi michadema kwa sababu inapendaga kupindisha ukweli.
 
Lawyers, Lawyers, Lawyers: your professional standing is in tatters since you agreed to be represented by terrorists amongst your brethren. Right now I cannot see Kibatala or tundulissu or fatmakarume being a neutral expert in these matters, you are so beholden to these activists with terrorist inclinations. They pay you, they feed you, they give you reputation for the next terrorist defence. Remember the makenikia legal advisors? All are were Presidents of the TLS, billionaires, a complete traversity, conflict of interest. You are not neutral, you cannot be neutral, you are biased. Please give the defence to another Lawyer. You probably know everything about the charge and his guilt, the terrorism, but you are hiding behind the evil veil of client relationships. All other Professions have departed from this practice, even CAG, you cannot represent the same accused more than 3 years continuous.
 
Please give the defence to another Lawyer. You probably know everything about the charge and his guilt, the terrorism, but you are hiding behind the evil veil of client relationships
You must be crazy, man!
 
Mbona naye huyo anaiongelea sasa, na mbona hao CDM wanaiongelea kila siku tena kwenye press?!
Mi siipendi michadema kwa sababu inapendaga kupindisha ukweli.
ameona polisi tu ndio wameongea, amesahau kuwa kina Hilda newton na cdm wote wanaongelea kesi hii na kuingilia mahakama kila siku. cdm huwa wanaamini kila mtanzania ni cdm, wamesahau kwamba wao ni minority, hivyo mawazo yao sio mawazo ya watanzania wote. hata wazungu wanaowasapoti wanakuwa biased kiasi kwamba utafikiri tz yote ni cdm, kumbe kuna vyama vingine hawasapoti mambo yanayoombwa au kufanywa na cdm.
 
all in all huwezi pata cheo kikubwa nchi hii kama siyo kada kindakindaki wa chama cha mapoyoyo na hapo ndipo wanapoharibu hii nchi... bull crap, they always think we were, are....will remain fools all the time, na ndiyo maana hwataki wananchi wa kawaida wapatiwe elimu bora ya kijitambua na kujipa value ila kwa watoto wao ni tofauti ambao ni minority ( et vieitee... hii kitu inawachanganya sana) lakini wakumbuke miaka 30 inayokuja hii nchi itakuwa na democrasia ya kweli maana wataenda kupewa kazi kule mbinguni na msaidizi wa malaika mkuu aliyetangulia mwaka huu. Intellectual mmoja nguli alituambia 60% ya watumishi ni mambumbu akatokea mbumbumbu mmoja akamshambulia na kumtishia badala ya kujibu hoja, yes 80% ni mambumbu na masnitch including me. Leo mjinga mmoja anaenda ku copy mambo ya nchi tajiri analeta huku kwenye nchi masikini... well .. sasa nawaomba wa copy kubana matumizi kutoka nchi ya India ili twende sawa... mwawaziri wapewe magari ya mahindra na wengine wapewe tata double cabin full stop
 
I love this dude max Halle he status quo

however, Kwa kujibu… na yeye ameuvaa the same mkenge
 
Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Kama ni mwanasheria basi si mzuri. Kwa maneno ya Lissu ni mwanasheria uchwara! Huwezi kumimplicate mtu wakati unajua mahakama ndiye muamuzi. Wewe kazi yako ni kupeleka hoja mahakamani plus all evidence. Pia huwezi kuizungumzia kesi ambayo tayari iko mahakamani. Unaharibu mwenendo wa kesi! Sasa huyu ni mwanasheria gani? Mwanasheria mzuri hawezi kutoka hadharani na kuanza kuropoka. Kwanza who is Mbowe kwa IGP? Mbowe ni mtu mdogo sana kwa IGP. IGP anamuogopa mtu mdogo kama Mbowe? Kwanini anataka kutuaminisha watanzania kuwa Mbowe ni gaidi hali sisi tunasubiri mahakama itoe hukumu tujue ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…