Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo yapo kila nchi na hayatakaa yaishe Duniani.
Wewe utakuwa ni sukuma gang, siyo kwa ujinga huuHaya mambo yapo kila nchi na hayatakaa yaishe Duniani.
Kumbukia Julian Assange wa wikileaks ambaye alizeekea ubalozini Uingereza.
Na Yule mmarekani mwingine aliyetoa siri za CIA mpaka sasa yuko ukimbizini.
Cha msingi watanzania hasa nyinyi mnaotafuta umaarufu kupitia hizo Club houses na Twitter.
Muelewe kuongea kwa kuwa na mipaka,maana uhuru bila utii ni sawa na uendawazimu.
Kuna njia nyingi za kuongea na kujenga hoja bila kutumia lugha zenye maudhi au kejeli kwa wengine.
Hao Diaspora mnaokutana huko na kufanya mijadala yenu,wengi wana stress zao kimaisha huko ughaibuni na huko club house inakuwa sehemu za kuja kutolea nyongo zao.
Madeleka anaugomvi wake binafsi kumtetea mkewe huko uhamiaji na sasa anajisahau na kuona kama anagombana na mtu mmoja kumbe sivyo.
Hizo ndio Consequence zenyewe!
Duh! Unapewa mtihani wa hisabati unajibu historia! Tunakazi kwelikweli nchi hii!Magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Dikteta
Kwani huyu alikamatwa na wasukuma?Wewe utakuwa ni sukuma gang, siyo kwa ujinga huu
Anakosea kuita Sukuma GangKwani huyu alikamatwa na wasukuma?
Nyie siku hizi mna mtag nani baada ya jiwe kukata moto?Kulikuwa kuna haja gan ya kumtag Maria sarungi bora hata angemtag Amsterdam
Kwani ni tafsiri kutokea wapi? Wabongo kwa kubumba watu!Anakosea kuita Sukuma Gang
Ila anamaanisha ni wale watu wanaoamini katika siasa za kibabe za kutumia vyombo vya dola kutesa wapinzani wako, ambazo ndio Magufuli na watetezi wake walizikuza sana
Ila haihusiani na Wasukuma
Wamekukomesha
Vijana wa hovyo imekuaje kwani,hivi mama yenu kutokea mlango wa taka kuna uhusiano wowote na sisi wamitandaoni?!Haya mambo yapo kila nchi na hayatakaa yaishe Duniani.
Kumbukia Julian Assange wa wikileaks ambaye alizeekea ubalozini Uingereza.
Na Yule mmarekani mwingine aliyetoa siri za CIA mpaka sasa yuko ukimbizini.
Cha msingi watanzania hasa nyinyi mnaotafuta umaarufu kupitia hizo Club houses na Twitter.
Muelewe kuongea kwa kuwa na mipaka,maana uhuru bila utii ni sawa na uendawazimu.
Kuna njia nyingi za kuongea na kujenga hoja bila kutumia lugha zenye maudhi au kejeli kwa wengine.
Hao Diaspora mnaokutana huko na kufanya mijadala yenu,wengi wana stress zao kimaisha huko ughaibuni na huko club house inakuwa sehemu za kuja kutolea nyongo zao.
Madeleka anaugomvi wake binafsi kumtetea mkewe huko uhamiaji na sasa anajisahau na kuona kama anagombana na mtu mmoja kumbe sivyo.
Hizo ndio Consequence zenyewe!
Uko sahihi kabisa mkuu, sukuma gang haina uhusiano na wasukuma kama kabila. Japo ndani ya Sukuma gang pia kuna wasukuma kama ambavyo kuna makabila mengine kwa wahaya na wagogoAnakosea kuita Sukuma Gang
Ila anamaanisha ni wale watu wanaoamini katika siasa za kibabe za kutumia vyombo vya dola kutesa wapinzani wako, ambazo ndio Magufuli na watetezi wake walizikuza sana
Ila haihusiani na Wasukuma
Nchi hii ingekuwa na wajinga kama wewe enzi za ukoloni tusingepata uhuruHaya mambo yapo kila nchi na hayatakaa yaishe Duniani.