Wakili Peter Madeleka ameachiwa kwa dhamana ya Polisi, ameteswa sana kupata kipigo kisichofaa

Huyu madereka,Kuna tuhuma alifukuzwa kazi polisi kwa utovu wa nidhamu,vile vile tuhuma anazotoa ni kutafuta kiki tu,watu wamehoji huyu madereka hajawahi kushinda kesi hata moja,ni janja janja tu,vile vile kama Kuna mawakili wanaoishinda serikali kwenye kesi nyingi ni Kibatara na Malya,mbona wao hawatishiwi maisha sembuse huyu junior lawyer!!
Huyo jamaa analazimisha tumfahamu.

Kesi zake nyingi anaendeshea twitter.
 
mnaokutana huko na kufanya mijadala yenu,wengi wana stress zao kimaisha huko ughaibuni na huko club house inakuwa sehemu za kuja kutolea nyongo zao.
 
Huyu madereka,Kuna tuhuma alifukuzwa kazi polisi kwa utovu wa nidhamu,vile vile tuhuma anazotoa ni kutafuta kiki tu,watu wamehoji huyu madereka hajawahi kushinda kesi hata moja,ni janja janja tu,vile vile kama Kuna mawakili wanaoishinda serikali kwenye kesi nyingi ni Kibatara na Malya,mbona wao hawatishiwi maisha sembuse huyu junior lawyer!!
Kamfukizisha kazi Hadi mke wake uhamiaji yaani inshort akili hana
 
Back
Top Bottom