Huyu madereka,Kuna tuhuma alifukuzwa kazi polisi kwa utovu wa nidhamu,vile vile tuhuma anazotoa ni kutafuta kiki tu,watu wamehoji huyu madereka hajawahi kushinda kesi hata moja,ni janja janja tu,vile vile kama Kuna mawakili wanaoishinda serikali kwenye kesi nyingi ni Kibatara na Malya,mbona wao hawatishiwi maisha sembuse huyu junior lawyer!!