Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
"Hauwezi ukawa unatajwa wewe ni muuaji alafu tukawa tunakuangalia tu, yani wewe umekuwa Malaika mtoa roho au?? Kila anayepotea akirudi anakutaja wewe aliyetekwa akibahatika kutoka salama anakutaja wewe mashahidi wanakutaja wewe, wewe umekuwa nani haswa??
Kama tumekupa jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao lakini wewe ndo umekuwa wa kwanza kuhatarisha usalama wao eti kwa maslahi ya fulani ni lazima uwajibike uwapishe watu wengine wakae kwenye hiyo nafasi"
~Wakili Peter Madeleka