Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Wakili Robert Amsterdam ni nani?

You don’t know the meaning of a CV, wewe unadhani cv inahusu elimu ya darasani pekee, there are some people have never seen a class but have got strong CV.
CV contains is the induced knowledge only. Not more than that.

Let him come in with his academic knowledge and we will come out with our natural knowledge.

No body can fight against the nature.
 
Namuona Mwanasheria nguli kwa sasa anapambana kufa na kupona na Raisi wa Kameruni na kule kwa sasa kuna maandamano watu walisha choka na utawala wa Dikiteta Biya.

Ila huyu Jamaa kuna sehemi niliona amewalima Barua Ufaransa kwamba wana msaport Biya.

Huku kwetu ngoja tume iendelee kuibeba CCM tu.

View attachment 1581778
Hawa dawa yao ni Sanctions. Unaweza kujiuliza kwani sanction sii wanyonge zitatusaidia ni i ikiwa madikteta bado wapo?? Iko hivi....madikitatea hufanya maonevu yote wakitegemea kukimbilia na kuishi nchi zingine. Familia zao hufichwa huko kwenye majini matamu duniani zinakula raha huku raia wakiteseka kwa njaa, umaskini na vita. Sanctions zinazuia wasijifiche na kuficha famiilia zao huko. So vita ikianza sote tunakiona cha mtema kuni na hapo ndio inakuwa adhabu kali kwa madikiteta. Maana hawawezi kuona familia zao zinahangaika. They evwntually step down.
 
Watu wamepigwa mapanga msikitini siku mbili tatu zilizopita huko Pemba, naona Polisi wapo kwenye uchunguzi.
Walikwenda na kuwapiga raia wa kawaida bila kuwa na ushahidi wowote dhidi yao. Wahusika hawajakamatwa kwa sababu ni mipango yao wenyewe kuleta machafuko.
 
Ushahidi gani wanataka, hawa wazungu saa nyingine sijui ni ujinga au nini. Saudi Arabia wamemuua Jamal Khashoggi Ubalozini, hao kina Amsterdam wamefanya nini? Tatizo la kushikiliwa akili na wazungu ndio hilo. Atatishia mataifa dhoofu hapa kwetu hawezi kufanya lolote sisi ndio baba lao. Tuliwaambia wazungu tutakomboa Africa na tumefanya hivyo. Sasa ni wakati wa kujenga uchumi wetu, na tunafanya hivyo kama hawajui kilichomtoa kanga manyoya wajaribu.
Kulize Mugabe kaburini. Alikufa siku si zake sabab ya hayo unaowabeza. Uchimi wa Zimbabwe kinunua mkate wa buku Tz kwako Zimbabwe ina lazomika kubeba gunia la hela ndo ipate mkate. Wakubwa wale si wa kutekenya wala kubipu, wakikupigia unakuwa kama Gadaf au Sadam. Ogopa wakikuchukia
 
Walikwenda na kuwapiga raia wa kawaida bila kuwa na ushahidi wowote dhidi yao. Wahusika hawajakamatwa kwa sababu ni mipango yao wenyewe kuleta machafuko.
Mipango ya nani Polisi/raia waliohojiwa na kupigwa?
 
Kulize Mugabe kaburini. Alikufa siku si zake sabab ya hayo unaowabeza. Uchimi wa Zimbabwe kinunua mkate wa buku Tz kwako Zimbabwe ina lazomika kubeba gunia la hela ndo ipate mkate. Wakubwa wale si wa kutekenya wala kubipu, wakikupigia unakuwa kama Gadaf au Sadam. Ogopa wakikuchukia
Wewe na akili zako za ushikiliwa ndio unishauri mimi pamoja na Tanzania? Tulikuwa na watemi wetu na sisi ndio chimbuko la binadamu ulimwenguni. Inaonekana hujui historia yako, hao unaowakumbatia ni wezi tu wa kisasa.
 
Mbona bado mnategemea wasanii kuita watu kwenye kampeni
Tatizo lako hufahamu historia ya babu zako. Afrika ni utamaduni wetu wa kawaida kabisa mtu anapokufa, mtoto anapozaliwa, wakati wa kupiga kampeni, wakati wa mavuno, baada ya kwenda kuwinda nk. Umekulia wapi wewe? madongo Kwinama? Naona hilo limekuuma sana hiyo ni sanaa katika utamaduni wa mwafrika. Soma Historia na ufahamu kwamba sisi ndio chimbuko la mwanadamu, karibu Olduvai Gorge.
 
Out of points,mkimaliza kampeni mkumbuke kuwalipa pia
 
  • Dislike
Reactions: Ole
Ushahidi gani wanataka, hawa wazungu saa nyingine sijui ni ujinga au nini. Saudi Arabia wamemuua Jamal Khashoggi Ubalozini, hao kina Amsterdam wamefanya nini? Tatizo la kushikiliwa akili na wazungu ndio hilo. Atatishia mataifa dhoofu hapa kwetu hawezi kufanya lolote sisi ndio baba lao. Tuliwaambia wazungu tutakomboa Africa na tumefanya hivyo. Sasa ni wakati wa kujenga uchumi wetu, na tunafanya hivyo kama hawajui kilichomtoa kanga manyoya wajaribu.
Wakili Hadi umuite, kweli akili zako ziko vizuri kweli?
 
Ushahidi gani wanataka, hawa wazungu saa nyingine sijui ni ujinga au nini. Saudi Arabia wamemuua Jamal Khashoggi Ubalozini, hao kina Amsterdam wamefanya nini? Tatizo la kushikiliwa akili na wazungu ndio hilo. Atatishia mataifa dhoofu hapa kwetu hawezi kufanya lolote sisi ndio baba lao. Tuliwaambia wazungu tutakomboa Africa na tumefanya hivyo. Sasa ni wakati wa kujenga uchumi wetu, na tunafanya hivyo kama hawajui kilichomtoa kanga manyoya wajaribu.
Umeongea vzr lakin hujui unachokiongea..! Hao wazungu ndio wamekupa nafasi ya kuandika ulichokiandika hapa
 
What is CV by the way? Bro. don't confuse education with intelligence. You can have a degree and still be an idiot
It's very unfortunate that these days we have a legion of those idiots in Tanzania.
 
Kuna watu humu wakiongea unaweza sema ni wanaume haswa majasiri kumbe vioga mno mnayosema hapa kwann hadharani hamuyawez kuyanena? Achaneni na maswala ya mtandao ingia mtaani Fanya kwa Uhuru usiogope kufa

Mwanaume ujasiri

Hata majina yenu tu mnyaogopa ndo mtaweza kupanbambana na Magufuli?

Tuachieni rais wetu
 
Baada ya makesi ya ndege madini niliamini Tanzania kuna watu vichwa sana

Kuliko tunavyoweza kudhani
 
Baba Jesca watampata wapi wakati hela zake zote zipo kwenye mpesa na NMB Bank huko nje haweki hela na huwa haendi.Majengo yake yote yapo Bongo na hasa Chato .waje sasa wachukue huku
 
Back
Top Bottom