Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Joined Sep 12, 2020, njaa inakusumbua kwanini usiingie na jina lako la kawaida>
Hiyo ndio ilani ya CCM?
Screenshot_20200926-193701.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: Ole
Umunyoshe nani? Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe, eti uninyoshe
Ndiyo ulichobaki nacho! Mimi kama kutukana naweza sana lakini sitaki leo Moderator aniban lasivyo ningekunyosha! Thank u very much!
 
Mods wamepewa instructions kufungia members bila sababu zozote za msingi. Amri kutoka kwa mlevi wa konyagi.
Ooh kumbe! Ndiyo maana mimi nikirudisha tusi tu kwa hao wanaufipa napigwa ban. Itafika tutawaachia JF yao ili wawe wanashangilja wao kwa wao wakifikiri wameshinda kumbe intelligence people wameshaamua kutoka nje ya JF
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Hawajielewi hao ujue amsterdam anafile kesi moja kwa moja The Hague
Jiwe angelazwa kidogo kule angalau 5 yrs hivi ili nae asikie uchungu wa kulaza wenzie 5 yrs nao huku mafile yao akiyachoma Moto kabisa ushahidi usikamilike
 
Sasa afrika imekomboka nn
Unaifahamu nchi ilikuwa inaitwa Rhodesia au Mozambique vipi Angola, Sud Africa, Namibia hizo nchi tuliwasaidia kupata uhuru wa bendera sasa tunajikwamua kuwa na uhuru wa kiuchumi na JPM ndio yupo ngangari hadi kieleweke.
 
  • Thanks
Reactions: UCD

Uchumi upi kwa mawazo ya kijima,kwa falsafa zilizofeli kila sehemu duniani.Uliona wapi kusomesha watu namba,kukaza vyuma,kuuwa sekta binafsi,kuzuia mzunguko wa pesa,kuuwa diplomasia kukauza uchumi
 
Uchumi upi kwa mawazo ya kijima,kwa falsafa zilizofeli kila sehemu duniani.Uliona wapi kusomesha watu namba,kukaza vyuma,kuuwa sekta binafsi,kuzuia mzunguko wa pesa,kuuwa diplomasia kukauza uchumi
Huwezi jua mpaka utakapo barehe kwenye kichwa chako!
 
Jiwe kwenye box anapigwa saa tatu asubui labda atumie plan b
 
  • Masikitiko
Reactions: Ole
Back
Top Bottom