Kumtoa Adolf Hitler wa Ujerumani dunia nzima ilibidi iungane katika kumpiga ingawa kwenye uchaguzi nchini mwake angeweza kushinda kwa asilimia 80% na zaidi.Hakuna kuwaacha mkuu ,tz nisehemu ya dunia, ukifanya yasiyo dunia haiwezi kuchekea ,eti nchi huru kwani kuwa huru ndo ufanye Mambo yasiyostahimilika alafu dunia ikuchekee.
Kuna mazuri mengi ya Magufuli, na mabaya yake kiasi katika uongozi wake. Ila bahati mbaya kwa TL na vibaraka wake kuwa, uRais watausikia tu kwenye bomba.My advice!!
It’s too late, you had a chance to advice magufuli to respect human rights and democracy but you didn’t!! Now just wait and enjoy the show
A lot is coming[emoji116]
View attachment 1590104
Hata Sadam Hussein alikuwa akishinda chaguzi zoteKumtoa Adolf Hitler wa Ujerumani dunia nzima ilibidi iungane katika kumpiga ingawa kwenye uchaguzi nchini mwake angeweza kushinda kwa asilimia 80% na zaidi.
Mabaya ya mtukufu magufuli ni mengi kuliko mazuri kiduchu wewe ni mnufaika wa mfumo kandamizi wa kidikteta, umeshiriki kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani lazima utetee ushetani wenuKuna mazuri mengi ya Magufuli, na mabaya yake kiasi katika uongozi wake. Ila bahati mbaya kwa TL na vibaraka wake kuwa, uRais watausikia tu kwenye bomba.
I wish I could say a F word.My advice!!
It’s too late, you had a chance to advice magufuli to respect human rights and democracy but you didn’t!! Now just wait and enjoy the show
A lot is coming👇
View attachment 1590104
Ingekuwa hivyo jeuri asingepigia magoti watoto wa shule ya msingiMtapigwa tatu bila ushindi wa Ccm ni 98%
Uenguaji wa wagombea wa upinzani hujuma katoka uchaguzi wa serikali za mitaa kafanya nani. Nakubaliana na wewe.Mimi ni mtanzania halis, kwa ujinga unaofanywa na tume ya taifa ya uchaguzi wakishirikiana na jeshi La polis, vurugu tunazikaribisha wenyewe.Kwa mtazamo wangu wale wajumbe wa tume sio wazalendo kwa taifa letu.
Asante kwa kukiri kwamba magufuli ana mabaya.kwa watu wenye akili,hayo mabaya yake ilikuwa ni sababu tosha ya kumng'oa maana hayamo kwenye JD yake kama raisKuna mazuri mengi ya Magufuli, na mabaya yake kiasi katika uongozi wake. Ila bahati mbaya kwa TL na vibaraka wake kuwa, uRais watausikia tu kwenye bomba.
Wewe mwenyewe ni mbumbumbu juha zuzu kilaza huna chembe ya Akili unawezaje kujua chochote juu ya Lisu? Mpaka ukiacha kuvuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba ndipo utajua Lisu yupo vizuri kuliko ulivyokaririshwa na wanufaika wa mfumo kandamizi wa kidiktetaLissu na hizo risasi ndio zimemharibu kabisaaa akili yake hawazii kizazi kingine mbele kitaishije,anaona bora kuivuruga nchi, lakini pia ukimwangalia ni mtu aliyejikinai na kujidhili
Asante kwa kukiri kwamba magufuli ana mabaya.kwa watu wenye akili,hayo mabaya yake ilikuwa ni sababu tosha ya kumng'oa maana hayamo kwenye JD yake kama rais
Acha hizo Lisu kaingia Ulingoni apambane kutikomeza udikiteta uchwara ushetani wenu woteKwahiyo CV jamaa anaweza kuwa CIA,
Lisu kaingia kwenye mambo ambayo hayafahamu vyema.
Pamoja na kujifanya mjanja lakini hatambui kuwa keshaingia mkataba na shetani .Acha hizo Lisu kaingia Ulingoni apambane kutikomeza udikiteta uchwara ushetani wenu wote
Yaani unataka mtukufu aendelee kuwapiga risasi kuwabambikia kesi wapinzani na wafanyabiashara wakubwa? unataka trilion 1.5 ipigwe bure bila maswali? unataka ajenge uwanja wa Ndege kijijini kwao polepole kama alivyojenga ule wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? unataka aendelee kupiga 10% ununuzi wa Ndege kwa cash? wewe lazima ni mmojawapo wa wanufaika wa mfumo kandamizi wa kidikteta ndiyo maana umejitoa fahamu kiasi hichoMbona hata mabaya huvumilika mzee! Yeye ni nani hata atende mazuri ya kumfurahisha kila mtu? Najua utakubaliana na ukweli kuwa, mabaya yake ni kama robo tu ya mazuri yake. Ni bora mara 100 kumpa aendelee kuliko kumpa huyo jamaa wa CDM. Maana ataharibu zaidi.
Una habari kwamba hiyo tume Chadema walikuwepo na kukiri makosa? Wacheni majungu!Mimi ni mtanzania halis, kwa ujinga unaofanywa na tume ya taifa ya uchaguzi wakishirikiana na jeshi La polis, vurugu tunazikaribisha wenyewe.Kwa mtazamo wangu wale wajumbe wa tume sio wazalendo kwa taifa letu.
Kufanya nini??Hii ni nchi huru watuache! Nasema tena watuache