Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Wakili Robert Amsterdam ni nani?

To easy to be predictable you are just a lost case i would say as a diaspora with an exposure you should fight for justice and free and fair election we are not buying your stupid propaganda
 
Asubuhi asubuhi dictator tutamgeuza kitoweo October 28!
Hafai hata kidogo na hatumtaki.
 
Andiko la kipuuzi kabisa. Eti from credible sources - crap. Mention them. Then it is us who will judge whether the source is credible or not.

In general this a very low thread from a poor mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ya sasa imejaa vitendo haramu vya kishamba na kishetani ni vigumu wabadilike bila kuwashitua na ICC kwa nguvu, IGP na mkurugenziccm wa Tumeccm wakifikishwa ICC kujibu tuhuma zao ndipo CCM wataanza kuzinduka kuacha ushetani wao
 
Hii ni nchi huru watuache! Nasema tena watuache
Hakuna kuwaacha mkuu ,tz nisehemu ya dunia, ukifanya yasiyo dunia haiwezi kuchekea ,eti nchi huru kwani kuwa huru ndo ufanye Mambo yasiyostahimilika alafu dunia ikuchekee.
 
Asubuhi asubuhi dictator tutamgeuza kitoweo October 28!
Hafai hata kidogo na hatumtaki.
Mda huu atakuwa busy kuomba hifadhi kwa kagame maana akisalia chato atakuwa mgeni wa mahakamani kila siku kujibu tuhuma za kuwapora wafanyabiashara wakubwa mali pesa zao kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi unyanyasaji uonevu uovu wa kuwapiga risasi wapinzani kuwanyima pesa za matibabu kuwapora ubunge na mengineyo mengi mabaya
 
Uchaguzi utakuwa huru na haki, ila hakuna panya wa kutufunfindisha cha kufanya

Kama Chadema mliwadanganya mtashinda Uchaguzi poleni, kuleni hayo mabilion ya Uchaguzi mliopewa mrudi ubeligiji
Mkuu ustaarabu wa magufuli na ccm unatia shaka sana,yaani huwa sipati picha huyo mtu wenu asinge soma angekuwaje.pamoja na uroho wake wa madaraka mwambieni akifanya ujinga sawa na ule aliofanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa atawafanya wanyonye Yazidi kunyongeka
 
Hakuna kuwaacha mkuu ,tz nisehemu ya dunia, ukifanya yasiyo dunia haiwezi kuchekea ,eti nchi huru kwani kuwa huru ndo ufanye Mambo yasiyostahimilika alafu dunia ikuchekee.
Kuwa Nchi huru siyo kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani na watu wanaokukosoa hakuna Nchi huru iliyo nje ya jumuia za kimataifa
 
Bora tuwe koloni la Canada kuliko kuendeleza unyonyaji wa CCM
 
Mkuu ustaarabu wa magufuli na ccm unatia shaka sana,yaani huwa sipati picha huyo mtu wenu asinge soma angekuwaje.pamoja na uroho wake wa madaraka mwambieni akifanya ujinga sawa na ule aliofanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa atawafanya wanyonye Yazidi kunyongeka
Ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania lazima CCM kiwe chama cha upinzani kama Kanu ya kenya
 
Back
Top Bottom