Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Wakili Robert Amsterdam ni nani?

orodhesha wafikie 80,000
Kweli wewe ni limbukeni! Kwahiyo huyo Dictator wenu ana uhalali wa kufanya anavyotaka mpaka asweke ndani watu 80,000 ndio achukuliwe hatua?

Safari hii tutawazalisha bila ganzi
 
Kabla ya kuingilia siasa za Tanzania ni vyema ndugu Robert Amsterdem amshawishi Rais Erdogan wa Uturuki kuwaachia wafungwa wa kisiasa zaidi ya 80,000 waliopo kizuizini huko uturuki.
Rais Magufuli hajaweka kifungoni hata mwanasiasa mmoja as we speak.
ni vyema mfanyabiashara huyu akawa na hulka ya kusimama katika haki.
ajiulize kwanza haki ya raia wa uturuki wakiwemo wanajeshi,walimu n.k ipo wapi huko uturuki?
Kwa upande wa mshirika wake hapa Tanzania je anaridhia raia wa uturuki zaidi ya 80,000 kuendelea kukaa lupango?kama ni hivyo yeye anatarajia kufunga watu wangapi?
Tuambie wasiojulikana walipo
 
Tupe source ya hao wafungwa 80000 wa kisiasa.?
 
Ningeshauri Moderator taarifa zinazoandikwa humu angalau ziwe na uthibitisho otherwise tuambiwe ni tetesi hii tabia mtu anakurupuka tu kwa anavyojua yeye kwa utashi wake tunashusha hadhi ya jukwaa.
 
1. 16/38 risasi, sep/7
2. Ben Saanane
3. Azory
4. Mawazo
5. Mkiru...over 1,000 people dead
6. Uncountable Coco beach sandarusi maitii
7. and many any other atrocities due to be identified when time is ripe!

...Orodha inaendelea

8. Offisi ya Fatma Karume kupigwa mabomu
9. Akwilina Aquilin
10. Makonda kuvamia kituo za Clouds
11. Ubambikizaji wa kesi
12. Kuwanyima maendeleo wasiochagua CCM
13. Dotto James
14. Mayanga Construction
15. Utumiaji wa watumishi na mali za serikali kwenye kampeni za CCM
16. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na polisi
17. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na wanachama wa CCM
 
Kabla ya kuingilia siasa za Tanzania ni vyema ndugu Robert Amsterdem amshawishi Rais Erdogan wa Uturuki kuwaachia wafungwa wa kisiasa zaidi ya 80,000 waliopo kizuizini huko uturuki.
Rais Magufuli hajaweka kifungoni hata mwanasiasa mmoja as we speak.
ni vyema mfanyabiashara huyu akawa na hulka ya kusimama katika haki.
ajiulize kwanza haki ya raia wa uturuki wakiwemo wanajeshi,walimu n.k ipo wapi huko uturuki?
Kwa upande wa mshirika wake hapa Tanzania je anaridhia raia wa uturuki zaidi ya 80,000 kuendelea kukaa lupango?kama ni hivyo yeye anatarajia kufunga watu wangapi?
Hana huo ubavu watamla kichwa fasta. Amuulize shogi
 
...Orodha inaendelea

8. Offisi ya Fatma Karume kupigwa mabomu
9. Akwilina Aquilin
10. Makonda kuvamia kituo za Clouds
11. Ubambikizaji wa kesi
12. Kuwanyima maendeleo wasiochagua CCM
13. Dotto James
14. Mayanga Construction
15. Utumiaji wa watumishi na mali za serikali kwenye kampeni za CCM
16. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na polisi
17. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na wanachama wa CCM
fikisha 80000 ili tupime wapi kwenye tatizo na wapi tatizo linakuwa exagerrated kwa maslahi ya kifedha
 
...Orodha inaendelea

8. Offisi ya Fatma Karume kupigwa mabomu
9. Akwilina Aquilin
10. Makonda kuvamia kituo za Clouds
11. Ubambikizaji wa kesi
12. Kuwanyima maendeleo wasiochagua CCM
13. Dotto James
14. Mayanga Construction
15. Utumiaji wa watumishi na mali za serikali kwenye kampeni za CCM
16. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na polisi
17. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na wanachama wa CCM
Ni mwenye upungufu wa akili tu ndiye anaweza kuamini huu upupu. Na mtu ambaye si mtanzania ndiye anaamini hayo. Lisu risasi alipigwa na mbowe na inajulikana hivyo, na mbowe aliamua kumhonga lisu ugombea ila bado lisu atataka na uenyekiti na ndipo hapo lisu atakapomaliziwa na mbowe ili kuondoa upinzani wa kiti cha uenyekiti wa kikundi
 
Ukiwa ccm unakuwa kama mataga sio!
 
Ni mwenye upungufu wa akili tu ndiye anaweza kuamini huu upupu. Na mtu ambaye si mtanzania ndiye anaamini hayo. Lisu risasi alipigwa na mbowe na inajulikana hivyo, na mbowe aliamua kumhonga lisu ugombea ila bado lisu atataka na uenyekiti na ndipo hapo lisu atakapomaliziwa na mbowe ili kuondoa upinzani wa kiti cha uenyekiti wa kikundi

Watanzania wengi hawaamini huu upuuzi wako.
 
Sorry.. umeandika upumbavu
Kabla ya kuingilia siasa za Tanzania ni vyema ndugu Robert Amsterdem amshawishi Rais Erdogan wa Uturuki kuwaachia wafungwa wa kisiasa zaidi ya 80,000 waliopo kizuizini huko uturuki.
Rais Magufuli hajaweka kifungoni hata mwanasiasa mmoja as we speak.
ni vyema mfanyabiashara huyu akawa na hulka ya kusimama katika haki.
ajiulize kwanza haki ya raia wa uturuki wakiwemo wanajeshi,walimu n.k ipo wapi huko uturuki?
Kwa upande wa mshirika wake hapa Tanzania je anaridhia raia wa uturuki zaidi ya 80,000 kuendelea kukaa lupango?kama ni hivyo yeye anatarajia kufunga watu wangapi?
 
Hii ni nchi huru watuache! Nasema tena watuache
Wale mbaowadhulumu haki zao hii siyo nchi yao? Wao waende wapi? Kwa nini wewe ujione ni raia zaidi wa nchi hii kuliko wengine? Angalia dhuluma aliyofanyiwa Lissu tokea apigwe risasi mpaka kuvuliwa ubunge je yeye haki yake ataipata wapi? Wewe una nini hasa ulichoufanyia nchi hii kumzidi Lissu??
 
Back
Top Bottom