Wakili Sweetbert Alipopatwa na Kigugumizi kuhusu Kukubali matokeo Inakupa Picha na Redflag kwamba Lazma angepinga matokeo ya Uchaguzi Hata kama utakuwa wa Haki..
Kasoro alizozitaja kisheria zinaitwa "de minimis non curat lex," ni kasoro ndogo ambazo haziwezi kubatilisha Uchaguzi hata kidogo..
Maybe zingekuwa Fundamental error kama fraud, Intimidation,Disenfranchisement au Corruption..
Nkuba akubali kuwa kashindwa maisha yasonge mbele..