Wakili wa Ashraf Hakimi: Hiba atapaswa kulipia gharama za kesi na kugawana 50/50 ya mali anazomiliki

Hamna mwanaume ametuheshimisha wanaume kama ASHRAF HAKIMI

ile kauli ya wanawake wana akili kuliko mwanaume,HAKIMI kaitengua vibaya mno

Genious of All time,mutu mwenye akili zake,Mutu kichwa ya juu inafanya kazi 24hrs
Ltakua ni wazo la bimkubwa hili sila Hakimi plus his legal team. ..kuna mambo hatuyajui hapa maybedemu alicheat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…