Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Hata kwenye vita ya Uganda, baada ya kuntoa idi amini Kagera, jeshi la Tz lilimfwata Iddi amini mpaka nchini kwake Uganda!!HAKIMI na wakili wake makatili sn,
Dada wa watu haamini anachofanyiwa[emoji16]
Hamna shida tutamkaribisha chaputa na uwenyekiti tutampa kabisaAnakoelekea huyu dogo atakosa demu
Lakini mbele ya Allah naona kama haki haikutendekea kabisa, ushindi ulikuwa ni technical tuu kutokana na ujanja ujanja wa Hakimi na mama yake, theres a pay back kwa vitu kama hiviKwa kutambua mchango wa Hakimi, cha cha wanaume bahili Tanzania Uwabata kupitia Raisi wake wameamua picha ya Hakiki itumike ramsi kama Logo ya chama hiko na kumpa Hakimi urais wa heshima.
Imepita hiyo bila pingamiziKwa kutambua mchango wa Hakimi, cha cha wanaume bahili Tanzania Uwabata kupitia Raisi wake wameamua picha ya Hakiki itumike ramsi kama Logo ya chama hiko na kumpa Hakimi urais wa heshima.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]eti wasimbe.Subiri wasimbe wa JF waje
Kitambulisho chake tayari na kapewa uenyekiti [emoji16]Kwa kutambua mchango wa Hakimi, cha cha wanaume bahili Tanzania Uwabata kupitia Raisi wake wameamua picha ya Hakiki itumike ramsi kama Logo ya chama hiko na kumpa Hakimi urais wa heshima.
Naunga hoja ila wao wanakuwaga makatili sana.Kwa sababu amezaa naye, atie ubinadamu kidogo, Ashraf ana mpunga mrefu ampe mali kidogo kama nyumba na matumizi kidogo, mtoto akija kusikia umemfanyia mama yake wema atakuja kukuelewa sana
π
Wee jamaa hauko sawa kabisa unapiga iaje upande wa wanawake sasa nawe?Lakini mbele ya Allah naona kama haki haikutendekea kabisa, ushindi ulikuwa ni technical tuu kutokana na ujanja ujanja wa Hakimi na mama yake, theres a pay back kwa vitu kama hivi
πππ Acheni kumpa mungu mambo ya ajabu kusaidia.Nothing is Funny .Mwanamke mwenzangu Mungu atakusaidia
Itamsaidia kupata demu mwenye mapenzi ya dhati sio tapeli usifikiri kila mwanamke anatabia za utapeliAnakoelekea huyu dogo atakosa demu
Hakimi anatoa fundisho hata wewe ulitakiwa uunge mkono kwa mazingira ya ulaya sheria umempa nguvu kubwa Sana mwanamke hasa kwenye masuala ya divorce na mgawanyo wa mali na bahati mbaya wanawake wengi wa uko wanatumia mianya hiyo kufanya utapeli wa ndoa na Wanaume wengi wameathirika Sana na hizo sheria wapo maarufu na ambao sio maarufu mfano Ebouer yeye alifilisiwa lila kitu na demu wa kizungu kupitia hizo hizo sheria bila ubinadamu kutumika mwanadada alichukua mpaka nyumba waliokuwa wanaishi pamoja. So Hakimi katoa fundisho na litawasaidia watu wengi kukomesha wadada matapeli wanaongia kwenye ndoa kwa lengo la kuvuna maliNothing is Funny .Mwanamke mwenzangu Mungu atakusaidia