Wakili wa Ashraf Hakimi: Hiba atapaswa kulipia gharama za kesi na kugawana 50/50 ya mali anazomiliki

Wakili wa Ashraf Hakimi: Hiba atapaswa kulipia gharama za kesi na kugawana 50/50 ya mali anazomiliki

Kwa kutambua mchango wa Hakimi, cha cha wanaume bahili Tanzania Uwabata kupitia Raisi wake wameamua picha ya Hakiki itumike ramsi kama Logo ya chama hiko na kumpa Hakimi urais wa heshima.
Lakini mbele ya Allah naona kama haki haikutendekea kabisa, ushindi ulikuwa ni technical tuu kutokana na ujanja ujanja wa Hakimi na mama yake, theres a pay back kwa vitu kama hivi
 
Kwa kutambua mchango wa Hakimi, cha cha wanaume bahili Tanzania Uwabata kupitia Raisi wake wameamua picha ya Hakiki itumike ramsi kama Logo ya chama hiko na kumpa Hakimi urais wa heshima.
Kitambulisho chake tayari na kapewa uenyekiti [emoji16]
20230417_211720.jpg
 
Jamaa kafanya vizuuuuuuri sana🤣🤣🤣🤭🤭
 
Lakini mbele ya Allah naona kama haki haikutendekea kabisa, ushindi ulikuwa ni technical tuu kutokana na ujanja ujanja wa Hakimi na mama yake, theres a pay back kwa vitu kama hivi
Wee jamaa hauko sawa kabisa unapiga iaje upande wa wanawake sasa nawe?
 
Nothing is Funny .Mwanamke mwenzangu Mungu atakusaidia
😂😂😂 Acheni kumpa mungu mambo ya ajabu kusaidia.
Huyo mwanamke ni li mbwa kabisa she got wat she dserves.

Ila dah hakimi katusaidia saa hii demu akikupiga kibomu unamwambia subiri nimuombe mama akatie hela kwenye account 🤣🤣🤣🤣🤣 hayo matusi unayo poromoshewa hadi raha
 
Uhalisia wa hili jambo ni kama muvi vile,kumbe ni real.Daaah inafurahisha kiumeni na inaumiza kikeni.
Let the show go on.
 
Wakili si mwamuzi wa mwisho. Mwamuzi wa mwisho ni mahakama tu. So far tumekuwa tunasikia ghilba za mawakili tu
 
Nothing is Funny .Mwanamke mwenzangu Mungu atakusaidia
Hakimi anatoa fundisho hata wewe ulitakiwa uunge mkono kwa mazingira ya ulaya sheria umempa nguvu kubwa Sana mwanamke hasa kwenye masuala ya divorce na mgawanyo wa mali na bahati mbaya wanawake wengi wa uko wanatumia mianya hiyo kufanya utapeli wa ndoa na Wanaume wengi wameathirika Sana na hizo sheria wapo maarufu na ambao sio maarufu mfano Ebouer yeye alifilisiwa lila kitu na demu wa kizungu kupitia hizo hizo sheria bila ubinadamu kutumika mwanadada alichukua mpaka nyumba waliokuwa wanaishi pamoja. So Hakimi katoa fundisho na litawasaidia watu wengi kukomesha wadada matapeli wanaongia kwenye ndoa kwa lengo la kuvuna mali
DeepPond
Dr. Mariposa
Numbisa
To yeye
mzabzab
Nuzulati
binti kiziwi
 
Back
Top Bottom