Wakili wa Ashraf Hakimi: Hiba atapaswa kulipia gharama za kesi na kugawana 50/50 ya mali anazomiliki

Ni kweli mkuu
 
Sawa.Jipigieni makofi sasa
 
Sijakataa ila sidhani kama ni kosa kumuonea huruma huyo mwanamke .
 
Sijakataa ila sidhani kama ni kosa kumuonea huruma huyo mwanamke .
Kama ataamua amuache free baada ya kushinda kesi itakuwa bado fundisho halijakaa kisawasawa ni lazima aoneshe kwamba ukija kwa lengo la kujipatia mali pia hiyo sheria unayotumia ninaweza kuitumia na ikawa upande wangu na nikakuadhibu so amefanya kitu sahihi cos Wanaume wengi wametapeliwa na Wanawake kupitia hizi hizi sheria nawakageuka kuwa masikini kama kweli unahuruma na hauna ubinafsi kwanini usiwahuumie na hawa ambao wamevuna hela kwa kutoka na jasho? but kupitia ndoa wamepigwa na kitu kizito na hawa wadada wadangaji.I am sure kupitia Hili sakata litapunguza wadada wadangaji kuingia kwenye ndoa kuna jamaa nae anaitwa Jackson mchezaji maarufu wa NBA (mchezo wa kikapu) amegoma kuoa dakika za mwisho baada ya kutumia maandalizi ya ndoa kwa kiasi Cha 945 million baada ya mwanadada kutosign Prenup (makubaliano yanayoweka kuanisha mali zenu mlizochuma before ya ndoa zisitumike kwenye mgawano ndoa itapovunjika) hapa umejifunza nini suzie barbie?
 
ningekuwa mimi, as long as yeye alikuwa amenitakia mabaya ya kunichuna, ningezichukua izo hela ila ningewapa watoto wangu.
 
ningekuwa mimi, as long as yeye alikuwa amenitakia mabaya ya kunichuna, ningezichukua izo hela ila ningewapa watoto wangu.

Kwani unafikiri atafanyaje!!!

Lengo kumfunza tu,kwamba wewe ni mpuuzi tu.
Kisha atamrudishia kupitia wanaye kisha ataendelea kutoa matumizi.
 
Dah inauuma sana demu alimnyanga mpaka nyumba
 
Huyu kibibi naona aliiga. Yaani Hakimi aliandaliwa hilo kesi na kibibi ili ikijitoe maana kiligundua huyu msela lazima ataanza kulamba vitoto
 
Huyu kibibi naona aliiga. Yaani Hakimi aliandaliwa hilo kesi na kibibi ili ikijitoe maana kiligundua huyu msela lazima ataanza kulamba vitoto
jack wa mengi naye tusimsahau sana, yeye kidogo sijui alimfanyaje mzee hadi ikawa vile...ila wachaga sio wajinga, wanamnyoosha. gold diggers wamejaa hata hapa bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…