Wakili wa Ashraf Hakimi: Hiba atapaswa kulipia gharama za kesi na kugawana 50/50 ya mali anazomiliki

Wakili wa Ashraf Hakimi: Hiba atapaswa kulipia gharama za kesi na kugawana 50/50 ya mali anazomiliki

Hakimi anatoa fundisho hata wewe ulitakiwa uunge mkono kwa mazingira ya ulaya sheria umempa nguvu kubwa Sana mwanamke hasa kwenye masuala ya divorce na mgawanyo wa mali na bahati mbaya wanawake wengi wa uko wanatumia mianya hiyo kufanya utapeli wa ndoa na Wanaume wengi wameathirika Sana na hizo sheria wapo maarufu na ambao sio maarufu mfano Ebouer yeye alifilisiwa lila kituvna demu wa kizungu kupitia hizo hizo sheria bila ubinadamu kutumika mwanasiasa alichukua mpaka nyumba walikuwa wanaishi pamoja. So Hamiki katoa fundisho na litawasaidia watu wengi kukomesha wadada matapeli wanaongia kwenye ndoa kwa lengo la kuvuna mali
DeepPond
Dr. Mariposa
Numbisa
To yeye
mzabzab
Nuzulati
binti kiziwi
Ni kweli mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Acheni kumpa mungu mambo ya ajabu kusaidia.
Huyo mwanamke ni li mbwa kabisa she got wat she dserves.

Ila dah hakimi katusaidia saa hii demu akikupiga kibomu unamwambia subiri nimuombe mama akatie hela kwenye account [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hayo matusi unayo poromoshewa hadi raha
Sawa.Jipigieni makofi sasa
 
Hakimi anatoa fundisho hata wewe ulitakiwa uunge mkono kwa mazingira ya ulaya sheria umempa nguvu kubwa Sana mwanamke hasa kwenye masuala ya divorce na mgawanyo wa mali na bahati mbaya wanawake wengi wa uko wanatumia mianya hiyo kufanya utapeli wa ndoa na Wanaume wengi wameathirika Sana na hizo sheria wapo maarufu na ambao sio maarufu mfano Ebouer yeye alifilisiwa lila kitu na demu wa kizungu kupitia hizo hizo sheria bila ubinadamu kutumika mwanadada alichukua mpaka nyumba waliokuwa wanaishi pamoja. So Hakimi katoa fundisho na litawasaidia watu wengi kukomesha wadada matapeli wanaongia kwenye ndoa kwa lengo la kuvuna mali
DeepPond
Dr. Mariposa
Numbisa
To yeye
mzabzab
Nuzulati
binti kiziwi
Sijakataa ila sidhani kama ni kosa kumuonea huruma huyo mwanamke .
 
Achraf hakimi joined jamiiforum using his mother's link
29C9A11C-83EB-49D0-9F1A-F829927E07EA.jpeg

🤣🤣🤣🤣
 
Sijakataa ila sidhani kama ni kosa kumuonea huruma huyo mwanamke .
Kama ataamua amuache free baada ya kushinda kesi itakuwa bado fundisho halijakaa kisawasawa ni lazima aoneshe kwamba ukija kwa lengo la kujipatia mali pia hiyo sheria unayotumia ninaweza kuitumia na ikawa upande wangu na nikakuadhibu so amefanya kitu sahihi cos Wanaume wengi wametapeliwa na Wanawake kupitia hizi hizi sheria nawakageuka kuwa masikini kama kweli unahuruma na hauna ubinafsi kwanini usiwahuumie na hawa ambao wamevuna hela kwa kutoka na jasho? but kupitia ndoa wamepigwa na kitu kizito na hawa wadada wadangaji.I am sure kupitia Hili sakata litapunguza wadada wadangaji kuingia kwenye ndoa kuna jamaa nae anaitwa Jackson mchezaji maarufu wa NBA (mchezo wa kikapu) amegoma kuoa dakika za mwisho baada ya kutumia maandalizi ya ndoa kwa kiasi Cha 945 million baada ya mwanadada kutosign Prenup (makubaliano yanayoweka kuanisha mali zenu mlizochuma before ya ndoa zisitumike kwenye mgawano ndoa itapovunjika) hapa umejifunza nini suzie barbie?
 
ningekuwa mimi, as long as yeye alikuwa amenitakia mabaya ya kunichuna, ningezichukua izo hela ila ningewapa watoto wangu.
 
ningekuwa mimi, as long as yeye alikuwa amenitakia mabaya ya kunichuna, ningezichukua izo hela ila ningewapa watoto wangu.

Kwani unafikiri atafanyaje!!!

Lengo kumfunza tu,kwamba wewe ni mpuuzi tu.
Kisha atamrudishia kupitia wanaye kisha ataendelea kutoa matumizi.
 
Hakimi anatoa fundisho hata wewe ulitakiwa uunge mkono kwa mazingira ya ulaya sheria umempa nguvu kubwa Sana mwanamke hasa kwenye masuala ya divorce na mgawanyo wa mali na bahati mbaya wanawake wengi wa uko wanatumia mianya hiyo kufanya utapeli wa ndoa na Wanaume wengi wameathirika Sana na hizo sheria wapo maarufu na ambao sio maarufu mfano Ebouer yeye alifilisiwa lila kitu na demu wa kizungu kupitia hizo hizo sheria bila ubinadamu kutumika mwanadada alichukua mpaka nyumba waliokuwa wanaishi pamoja. So Hakimi katoa fundisho na litawasaidia watu wengi kukomesha wadada matapeli wanaongia kwenye ndoa kwa lengo la kuvuna mali
DeepPond
Dr. Mariposa
Numbisa
To yeye
mzabzab
Nuzulati
binti kiziwi
Dah inauuma sana demu alimnyanga mpaka nyumba
 
Wakili wa Hakimi kwenye kesi ya talaka na mkewe Hiba Abouk anayejulikana Kwa jina la Barry Roux kupitia official account yake ya Twitter amesema:

"Hakimi kwa sasa hana mali yoyote kwa jina lake, mkewe Hiba Abouk ambaye ni muigizaji atapaswa kutoa mgao wake. Kisheria Hiba ni tajiri kuliko Hakimi, hivyo atapaswa kulipa gharama za kesi na pia kugawana 50/50 ya mali zake zote anazomiliki."

Pia gazeti la intelregion limeripoti kwamba, "Ashraf Hakimi anajipanga kupata mgao wa mali baada ya kutalikiana na aliyekuwa mkewe Hiba Abouk."

Source: Twitter, gazeti la intelregionView attachment 2591400View attachment 2591401
Huyu kibibi naona aliiga. Yaani Hakimi aliandaliwa hilo kesi na kibibi ili ikijitoe maana kiligundua huyu msela lazima ataanza kulamba vitoto
 
Huyu kibibi naona aliiga. Yaani Hakimi aliandaliwa hilo kesi na kibibi ili ikijitoe maana kiligundua huyu msela lazima ataanza kulamba vitoto
jack wa mengi naye tusimsahau sana, yeye kidogo sijui alimfanyaje mzee hadi ikawa vile...ila wachaga sio wajinga, wanamnyoosha. gold diggers wamejaa hata hapa bongo.
 
Back
Top Bottom