Wakili wa Clinton Nyundo na wenzake hajaridhishwa na hukumu

Kuna uzi nimetoka kusema ile kesi hukumu watatoka hata kama High Court itagoma ila CAT lazima watatoboa tu maana CAT haitakubali kutengeneza precedence ya hovyo itakayoonea wengine,,,
daah jamaa unaonesha una uchungu na hasira vp kuna ndugu yako kati yao.. tena unjiapiza kabisa eti lazima watoboe rufaa na ulivyo mweupe kisheria video ya kujirekodi unaita eti video ya kudowload hivi unaijua sheria ya ushahidi ww isitoshe hio kesi imesikilizwa chemba tena faragha hatujui ushahidi gani na vielelezo gani vimetolewa na hadi mahakama kutoa hukumu hii sio ww unabwabwaja tu kwa hasira na uchungu kwa kesi iliyosikilizwa sirini wala hauna hoja
 
Kuna uzi nimetoka kusema ile kesi hukumu watatoka hata kama High Court itagoma ila CAT lazima watatoboa tu maana CAT haitakubali kutengeneza precedence ya hovyo itakayoonea wengine.

Watu wanaweza wakashangilia.haya maamuzi lakini watu hawa hawa wanapaswa kufahamu kuwa endapo High Court itabariki maamuzi haya basi hata wao wanaweza wakashtakiwa kwa video au picha zaku download na wakakutwa na hatia bila kujali uhalali wa video na picha hizo.

Watu wanabidi wajifunze sana mifumo yetu ya sheria, haya sio yakuchekelea hata kidogo.
Ukitoa ile technology ya CGI (green screen ) ambayo kina nyundo hata wangetumikia jwtz mpaka wastaafu plus pension ya mabeyo na cdf wa sasa hawawezi kui afford . hapa Duniani hakuna technology yoyote inaweza kuedit video vile
 
Mnajua jamaa leo walijua wanatoka lakini ukweli wakili wao alijua kila kitu awatoboii

Nilikuwa nikimfwatilia akihojiwa wakati wanaanza kufikishwa aliongea kwa confidence mpaka nkawaza hawa jamaa wanaweza tobo.

Dah leo anahojiwa kama sio yule mpole mpaka raha

Hivi washenzi kama hawa unanzaje kwenda kuwatetea jaman

Embu mkaguane jiridhishen hizi kesi zinaleta baraka na kwa familia zenu ama laana

Kuna kesi unawezazitetea na ukaona mmetoboaa malipoyake yanagonga mmoja mmoja kwa familia

Mungu atupe mwisho mwema wote
 
Sijasoma sheria ila kozi niliyosoma ilikua ina Public Administration na Natural Justice

Kwanza, "You are innocent until proven guilty"

Pili, "Kila anayeshtakiwa ana haki ya kuwakilishwa na mwanasheria"

Tunaamini Mungu anaona kila kitu, na alimuona Adam akila tunda lakini alivyoshuka hakuanza na adhabu alianza na kuuliza. Hivyo anayehisiwa kakosewa inabidi aulizwe tujue ikiwa alikua na haja ya kufanya alichofanya.
 
Sheria ifuatwe sio mihemko ya umma. Unawezaje kumfunga mtu kwa video ya kudownload na bado kusiwe na kosa la kusambaza picha chafu au hata mtu aliyeshitakiwa kwa kusambaza hizo video. Hujiulizi umma ulizipataje hizo video? Si ni kosa sasa mbona hakuna watuhumiwa?

Ina maana kifaa kilichotumika hakipo. Hapo ndio mzozo ulipo zaidi
Mbona kulikuwa na vielelezo 12, na mashahidi 18.....
Hadi imetoka hukumu ushahidi ulikuwa wa kutosha kutoa hukumu hiyo. Hadi vielelezo vya daktari aliyempima binti. Naona umekazania kwenye video tu.
 
Ukitoa ile technology ya CGI (green screen ) ambayo kina nyundo hata wangetumikia jwtz mpaka wastaafu plus pension ya mabeyo na cdf wa sasa hawawezi kui afford . hapa Duniani hakuna technology yoyote inaweza kuedit video vile
Huyu jamaa sijui mshikaji wao, ameshindwa hata kumsikikiza mwendesha mashitaka wa serikali, amesema kulikuwa na vielelezo 12, yeye amekomalia video tu.
 
daah jamaa unaonesha una uchungu na hasira vp kuna ndugu yako kati yao.. tena unjiapiza kabisa eti lazima watoboe rufaa na ulivyo mweupe kisheria video ya kujirekodi unaita eti video ya kudowload hivi unaijua sheria ya ushahidi ww isitoshe hio kesi imesikilizwa chemba tena faragha hatujui ushahidi gani na vielelezo gani vimetolewa na hadi mahakama kutoa hukumu hii sio ww unabwabwaja tu kwa hasira na uchungu kwa kesi iliyosikilizwa sirini wala hauna hoja
Watanzania wengi ishu ya sheria hata hao wanasheria wengi ni kama hawajasoma kitu ndio maana sishangai makampuni ya nje kila siku yanalipwa kwa maelezo yao ukitasoma hapa unashangaa..
 
jamaa walitambua kuwa hawa madogo lazima wanyee debe

sema jamaa walikuwa wanatafuta ridhiki zao tu
Nduguu ogopa sana hawa watu hatakama n mwanao anakwambia tu ashinda na hela anakupiga hukumu ikitoka anabagqin upya kamasioyeye
 
nina uncle wangu huwa ananiambia mimim naweza tambua hii kesi uyu anatoboa aua hatobboi

kwakuwa mtu anakuwa ana hofu so jamaa anaendelea kumkamua pesa

hii kazi ni kama lazima uwe na roho ngumu una mchuna mtu ambaye unajua kabisa hatoboi
 
Godfrey Wasonga ambaye ni miongoni mwa Mawakili waliokuwa wakiwatetea kina Nyundo na wenzake ambao wamehukumiwa kifungo cha maisha Gerezani kutokana na kesi ya kumbaka na kumlawiti Binti wa Yombo, amesema wao kama Mawakili siku zote huwa wanaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hawajaridhika na hukumu iliyotolewa.

Akiongea na Waandishi wa Habari nje ya Mahakama Jijini Dodoma amesema kuna mambo mbalimbali na kwamba hawakuona kama Washtakiwa hao walikuwa na kesi ya kujibu “tuliona hakuna kesi ya kujibu, huwezi kuja kuleta video za mtandao.................. kwa mfano kosa la pili hata anayeingiliwa naye alitakiwa ashtakiwe, kwanini aliruhusu wakati anasema yeye alienda kule aka-enjoy akafurahi, ilitakiwa na yeye ashtakiwe?”

PIA SOMA
- Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela

- Kina Nyundo wakutwa na Kesi ya Kujibu (Sakata la Binti wa Yombo)
Huyu ni wakili kweli?
 
Kuna uzi nimetoka kusema ile kesi hukumu watatoka hata kama High Court itagoma ila CAT lazima watatoboa tu maana CAT haitakubali kutengeneza precedence ya hovyo itakayoonea wengine.

Watu wanaweza wakashangilia.haya maamuzi lakini watu hawa hawa wanapaswa kufahamu kuwa endapo High Court itabariki maamuzi haya basi hata wao wanaweza wakashtakiwa kwa video au picha zaku download na wakakutwa na hatia bila kujali uhalali wa video na picha hizo.

Watu wanabidi wajifunze sana mifumo yetu ya sheria, haya sio yakuchekelea hata kidogo.
Kwanza tayari wameshapoteza ajira, pili wameshadhalilika mtaani, hiyo tu ni hukumu tosha. Kwa vyovyote watajutia walilofanya.
 
Kuna uzi nimetoka kusema ile kesi hukumu watatoka hata kama High Court itagoma ila CAT lazima watatoboa tu maana CAT haitakubali kutengeneza precedence ya hovyo itakayoonea wengine.

Watu wanaweza wakashangilia.haya maamuzi lakini watu hawa hawa wanapaswa kufahamu kuwa endapo High Court itabariki maamuzi haya basi hata wao wanaweza wakashtakiwa kwa video au picha zaku download na wakakutwa na hatia bila kujali uhalali wa video na picha hizo.

Watu wanabidi wajifunze sana mifumo yetu ya sheria, haya sio yakuchekelea hata kidogo.
Kuna tukio la zamani kidogo la jamaa anaitwa Rodney King, alipigwa mno na polisi na mahakamani kilichoprove kilichotokea ni video iliyochukuliwa na mtu aliyekua nyumbani kwake muda huo.

Wale maaskari ili kushinda hiyo kesi ilibidi wapinge uhalali kwa kusema video ina shida gani?
 
Africa tu huku east africa utakutana na hizi sarakasi sijui wataachiwa ingekua south africa,namibia ,botswana,lesotho am telling you usingesikia hiz sarakasi na asingetoka mtu
 
Akiongea na Waandishi wa Habari nje ya Mahakama Jijini Dodoma amesema kuna mambo mbalimbali na kwamba hawakuona kama Washtakiwa hao walikuwa na kesi ya kujibu “tuliona hakuna kesi ya kujibu, huwezi kuja kuleta video za mtandao.................. kwa mfano kosa la pili hata anayeingiliwa naye alitakiwa ashtakiwe, kwanini aliruhusu wakati anasema yeye alienda kule aka-enjoy akafurahi, ilitakiwa na yeye ashtakiwe?”
Huyu wakili hana tofauti na yule profesa wa vinyesi
 
Kuna uzi nimetoka kusema ile kesi hukumu watatoka hata kama High Court itagoma ila CAT lazima watatoboa tu maana CAT haitakubali kutengeneza precedence ya hovyo itakayoonea wengine.

Watu wanaweza wakashangilia.haya maamuzi lakini watu hawa hawa wanapaswa kufahamu kuwa endapo High Court itabariki maamuzi haya basi hata wao wanaweza wakashtakiwa kwa video au picha zaku download na wakakutwa na hatia bila kujali uhalali wa video na picha hizo.

Watu wanabidi wajifunze sana mifumo yetu ya sheria, haya sio yakuchekelea hata kidogo.
Acha upumbavu ndugu!...fikiria angekuwa mwanao...unajua huyu binti anapitia nini?...
 
Back
Top Bottom