Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiachana na mambo ya hukumu, hivi hao vijana walidhamiria nini kuzini huku wakijirekodi na kujidhihirisha sura zao!
Godfrey Wasonga ambaye ni miongoni mwa Mawakili waliokuwa wakiwatetea kina Nyundo na wenzake ambao wamehukumiwa kifungo cha maisha Gerezani kutokana na kesi ya kumbaka na kumlawiti Binti wa Yombo, amesema wao kama Mawakili siku zote huwa wanaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hawajaridhika na hukumu iliyotolewa.
Akiongea na Waandishi wa Habari nje ya Mahakama Jijini Dodoma amesema kuna mambo mbalimbali na kwamba hawakuona kama Washtakiwa hao walikuwa na kesi ya kujibu “tuliona hakuna kesi ya kujibu, huwezi kuja kuleta video za mtandao.................. kwa mfano kosa la pili hata anayeingiliwa naye alitakiwa ashtakiwe, kwanini aliruhusu wakati anasema yeye alienda kule aka-enjoy akafurahi, ilitakiwa na yeye ashtakiwe?”
PIA SOMA
- Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
- Kina Nyundo wakutwa na Kesi ya Kujibu (Sakata la Binti wa Yombo)
Achaa ujanja wakutaka kushinda kesi kwa sababu ya technicalities, thibitisha kama kweli wameonewa!!??Kuna uzi nimetoka kusema ile kesi hukumu watatoka hata kama High Court itagoma ila CAT lazima watatoboa tu maana CAT haitakubali kutengeneza precedence ya hovyo itakayoonea wengine.
Watu wanaweza wakashangilia.haya maamuzi lakini watu hawa hawa wanapaswa kufahamu kuwa endapo High Court itabariki maamuzi haya basi hata wao wanaweza wakashtakiwa kwa video au picha zaku download na wakakutwa na hatia bila kujali uhalali wa video na picha hizo.
Watu wanabidi wajifunze sana mifumo yetu ya sheria, haya sio yakuchekelea hata kidogo.
Kama kuna vielelezo vingine 11 ukiacha video hapo sawaHuyu jamaa sijui mshikaji wao, ameshindwa hata kumsikikiza mwendesha mashitaka wa serikali, amesema kulikuwa na vielelezo 12, yeye amekomalia video tu.
Chiz.i wewe...!, angefanyiwa mwanao vile ungesema huo utumbo hapa...Kuna uzi nimetoka kusema ile kesi hukumu watatoka hata kama High Court itagoma ila CAT lazima watatoboa tu maana CAT haitakubali kutengeneza precedence ya hovyo itakayoonea wengine.
Watu wanaweza wakashangilia.haya maamuzi lakini watu hawa hawa wanapaswa kufahamu kuwa endapo High Court itabariki maamuzi haya basi hata wao wanaweza wakashtakiwa kwa video au picha zaku download na wakakutwa na hatia bila kujali uhalali wa video na picha hizo.
Watu wanabidi wajifunze sana mifumo yetu ya sheria, haya sio yakuchekelea hata kidogo.
Huyu wakili wa wapi? Consent kwenye kesi za ubakaji ni kitu muhimu Sana. Ni kwamba at all time consent must be there ili kumuondoa mtuhumiwa katika kukutwa na hatia ya kubaka. Mwanamke anapokubali mkagongane halafu mkafika room hata akiwa tayari umeingiza mshedede then akikataa unapaswa kuchomoa . Kitendo cha yeye kukubali yawezekana haikuwa anajua kuna masela wengine au alijua lakini alipofika room aliona hataweweza wote so consent iliposimama ndipo ubakaji ulipoanza kuhesabiwa. Wakili anatetea ujinga wake wala sio makosa ya hao vijana.
Godfrey Wasonga ambaye ni miongoni mwa Mawakili waliokuwa wakiwatetea kina Nyundo na wenzake ambao wamehukumiwa kifungo cha maisha Gerezani kutokana na kesi ya kumbaka na kumlawiti Binti wa Yombo, amesema wao kama Mawakili siku zote huwa wanaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hawajaridhika na hukumu iliyotolewa.
Akiongea na Waandishi wa Habari nje ya Mahakama Jijini Dodoma amesema kuna mambo mbalimbali na kwamba hawakuona kama Washtakiwa hao walikuwa na kesi ya kujibu “tuliona hakuna kesi ya kujibu, huwezi kuja kuleta video za mtandao.................. kwa mfano kosa la pili hata anayeingiliwa naye alitakiwa ashtakiwe, kwanini aliruhusu wakati anasema yeye alienda kule aka-enjoy akafurahi, ilitakiwa na yeye ashtakiwe?”
PIA SOMA
- Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
- Kina Nyundo wakutwa na Kesi ya Kujibu (Sakata la Binti wa Yombo)
Ushauri mahiri kabisa. Jamaa anapiga lopolopo balaaUngeenda mahakamani,umshauri wakili wao,Bado hujachelewa nenda na dondoo hizo zitumike kwenye rufaa!Huenda ukawakoa Wala tunda kimasihara.
Kafanye kwa maslahi ya haki nchini. Hadi upewe instructions na kina nyundo? Tafuta mtu yeyote akupe instructions kufungua kesi.Wakinipa instruction utanikuta HC nikiwapambania Mkuu.
Ukibakwa na kundi unaweza hata kufa. Au hujawahi kusikia watu wanabakwa Hadi wanaokufa?Una uhakika kuwa wanaobakwa huwa hawaenjoy?
Hao kina fupi nyundo wana technology gani ya kutengeneza video feki, usituone sisi wadwanzi kutupa mifano ya blockbuster movies zenye bajeti ya mamia milioni ya dola kuprove kuwa video zinatengenezwa. Bongo muvi wenyewe hawawezi kutengeneza kitu kama hicho sembuse kina fupi nyundo. Hiyo video ya ubakaji ni ya kweli na halisi na wanastahili adhabu kali duniani na mbinguniKama kuna vielelezo vingine 11 ukiacha video hapo sawa
Maana yake kama film kama The Titanic iliweza kuchezwa kwenye swimming pool isiyozidi square meter 200
Ishindikane kwenye clip ya Bint Yombo ?
Either walitaka wakamuoneshe Boss ushahidi au, waendelee kum-humiliate na kumblackmail huyo dada for years (wanawake wengi waliopigwa picha za uchi wamefanyiwa hivi). Unakuwa mtumwa wao wa ngono kila wakikuhitaji wanakuita, ukikataa wanakutishia kusambaza, Karma ilivyo kali imewageuka wao. Huyo dada asingepata kichaa angeishia kujiua siku moja na watu wasijue sababu.Tukiachana na mambo ya hukumu, hivi hao vijana walidhamiria nini kuzini huku wakijirekodi na kujidhihirisha sura zao!
Au ilikuwa ni mbinu ya kuendelea kumnyanyasa huyo mwanamke?
Kila nikiwaza siioni mantiki ya kufanya jambo kama hilo.
Umeona kwa usahihi kabisa, Kuna vitu haviteteeki ni vile tu kila mtu ana haki ya kupata wakili.Huyu wakili wa wapi? Consent kwenye kesi za ubakaji ni kitu muhimu Sana. Ni kwamba at all time consent must be there ili kumuondoa mtuhumiwa katika kukutwa na hatia ya kubaka. Mwanamke anapokubali mkagongane halafu mkafika room hata akiwa tayari umeingiza mshedede then akikataa unapaswa kuchomoa . Kitendo cha yeye kukubali yawezekana haikuwa anajua kuna masela wengine au alijua lakini alipofika room aliona hataweweza wote so consent iliposimama ndipo ubakaji ulipoanza kuhesabiwa. Wakili anatetea ujinga wake wala sio makosa ya hao vijana.
Wajinga sana hao jamaa,haijalishi sheria imepelea upande gani hawa wanastahili hukumu kali.Wamefanya ujinga sana hao Madogo
Na watetezi wenyewe hawakuwa na kielelezo chochote according to wakili wao.Mbona kulikuwa na vielelezo 12, na mashahidi 18.....
Hadi imetoka hukumu ushahidi ulikuwa wa kutosha kutoa hukumu hiyo. Hadi vielelezo vya daktari aliyempima binti. Naona umekazania kwenye video tu.
Walikuwa na vielelezo zaidi ya 10 na mashahidi 18Kama kuna vielelezo vingine 11 ukiacha video hapo sawa
Maana yake kama film kama The Titanic iliweza kuchezwa kwenye swimming pool isiyozidi square meter 200
Ishindikane kwenye clip ya Bint Yombo ?
Pia fikiria nyundo ndo angekuwa mwanao unajua anafikiria nini.Acha upumbavu ndugu!...fikiria angekuwa mwanao...unajua huyu binti anapitia nini?...
Ukiachia pressure ya kesi.Walikuwa na vielelezo zaidi ya 10 na mashahidi 18
ni sawa lakini bongo hatuna teknolojia hiyo tunaziona kwenye filam za Hollywood tu..Kama kuna vielelezo vingine 11 ukiacha video hapo sawa
Maana yake kama film kama The Titanic iliweza kuchezwa kwenye swimming pool isiyozidi square meter 200
Ishindikane kwenye clip ya Bint Yombo ?