Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Sema mie nasema siku zote sheria inamlinda mtuhumiwa.Either walitaka wakamuoneshe Boss ushahidi au, waendelee kum-humiliate na kumblackmail huyo dada for years (wanawake wengi waliopigwa picha za uchi wamefanyiwa hivi). Unakuwa mtumwa wao wa ngono kila wakikuhitaji wanakuita, ukikataa wanakutishia kusambaza, Karma ilivyo kali imewageuka wao. Huyo dada asingepata kichaa angeishia kujiua siku moja na watu wasijue sababu.
Mimi ndio maana nikiona mtu anatetea watu wa aina hii damu inanisisimka! Ni haki yao kupata wakili, kinyume na hapo nje ya mahakama hakuna anayepaswa kuwatetea hao kenge waliokonda kwa bange.
Hawajamaa kwa mwenendo na utaratibu wa namna shauri lilivyoendeshwa wanaweza kata rufaa na wakaachiwa kwa baadhi ya taratibu za uendeshwaji kukiukwa tuu.
Sasa hapo ndipo haki jinai inaanza kijitafunaaa maana nao watu wa haki jinai wanataka taratibu zote zifuatweee.