peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kibali cha kuuza na kusafirisha tembo kimetoka. Bwana yule wa arusha atamsaidia sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguani kumbe bado uko hai hukuondoka na punguani mwenzio march 22?Mbona Mbowe ni katili na muuaji na bado alichangiwa. Najua wachaga wote mmeungana kumshughulikia Sabaya ila hakika atawashinda.
Punguani mwingine upooooo?Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.
Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.
Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.
#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Hata siku alizokaa tu ndani zinatosha kumtia adabu.Wewe matako KITURILO,Mahakama ya Rufaa ilitengua sio kwa kuona hakutenda kosa isipokuwa kulikuwa na mistake kidogo tu upande wa waendesha Mashtaka ndio maana akachomoka,lakini kama ni kosa alifanya maana alikuwa ni Jambazi kama Majambazi mengine tu,nakukumbusha Hukumu ya tarehe 10 lazima ligongwe miaka 30 Jela wakati Kesi ya Moshi ndio kwanza inaanza,kwa akili zako za matakoni unamuita Sabaya Mzalendo unafahamu maana ya uzalendo matako wewe??masela wa Gereza la Karanga nao wanamtekenya mkundu ule baada ya masela wa Gereza la Kisongo kumaliza kazi,hahaha
Kuhoji hakuhitaji mamlaka yo yote bali ni haki yako kikatiba!John Mrema ana mamlaka gani kuhoji ama kulazimisha kunyanyapaa haki ya mtuhumiwa?
Hawa ndiyo wanaodai Katiba mpya wakati hata ya sasa hawaijui na kuifuata
Marafiki maslahi kama hao ni vizuri kuwatambua mapemarafiki zake akina makonda, le mutuz, mrisho gambo, jerry muro, mnyeti, Jokate wako wapi wamsaidie?
Sabaya nasikia akitoka Jela atajiunga na Chadema!Punguani mwingine upooooo?
Chadema ina mahakama?
Sukuma gang siyo wasukuma tu tena siyo watu wepesi wepesi kama unavyo dhani wewe toilet paper ya ccm.Sukuma gang wanamuacha mjumbe wao anateketea hivi
angalau clouds fm wangejitokeza wamsaidie maana 360 walikuwa wanampigia debe sanaKila mbuzi anatakiwa kula kwa urefu wa kamba yake.
Si mpaka atokeSabaya nasikia akitoka Jela atajiunga na Chadema!
Fursa dada hana kipato anajua kuna wajinga wengi ccm watatoa pesaHali ya kifedha ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Sabaya ni tete! Hii inatokana na Wakili wa Sabaya kuomba michango kutoka kwa wasamaria wema ili kuendesha na kumaliza kesi zote zinazomkabili.
Sabaya anastahili adhabu ya kifo hakuna kingineJamani nashauri tumchangie najua ameumiza watu wengi kwa wale wanaopenda haki na utawala wa sheria si jambo baya tunataka akifungwa yeye na wapiga debe wake wasiseme nimefungwa kwa kukosa uwezo wa. Kuajili wanasheria
Changeni majangili wenzakeTumeshamchangia nyingi tu
CCM! Hakuna watu wanaotakiana ubaya nchi hii kama CCM!Fursa dada hana kipato anajua kuna wajinga wengi ccm watatoa pesa