Wakili wa Sabaya aomba michango kwa ajili ya kuendesha kesi

Wakili wa Sabaya aomba michango kwa ajili ya kuendesha kesi

Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.

Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA

Naona mnaiga chadema. Na bado.
 
Sabaya hawezi kuwa mzalendo kuwe serious nyie

Tangu lini jambazi akawa mzalendo

Mnalichukulia neno mzalendo kiuwepesi sana achana ujinga
 
Achangiwe tu mbona Mbowe alichangiwa?
Michango huchangwa siyo kwa ajili ya jina bali kwa ajili ya haki.
Wezi na vibaka hupigwa au kuchomwa moto siyo kwa sababu ya majina yao bali matendo yao maovu dhidi ya wengine.
Jamii hujua haki ilipo kuliko hata mahakama zinazofuata sheria.
 
Atakayemchangia jambazi Sabaya, lazima aandamwe na umaskini katika maisha yake.

Kumchangia Sabaya ni kufuru, ni dhihaka dhidi ya utu wa mwanadamu, utu tuliopewa na Muumba wetu. Sabaya aliyewatesa watu kwa kuwakata masikio, kuwapigilia misumari, kuwapora pesa, leo umchangie!!! Lazima nawe utakuwa umeshiriki uovu wake. Sabaya anaonja anachostahili.
Mbowe tumemchangia sana kupitia Chadema akaongeza mke wapili Joyce Mkya,acha roho mbaya na Sabaya achangiwe hakuna aliyekuwa mwema hapa duniani.
 
Kesi za mbowe Hadi wale Kijani walichanga,ila hapa Kijani wengi wamesha mpuuza mtoa wito CHADEMA ndo kabisaaaaa
 
Mbowe tumemchangia sana kupitia Chadema akaongeza mke wapili Joyce Mkya,acha roho mbaya na Sabaya achangiwe hakuna aliyekuwa mwema hapa duniani.
Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hicho! Inawezekana ulimchangia baba yako kugharimia mchepuko wake!
 
Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hicho! Inawezekana ulimchangia baba yako kugharimia mchepuko wake!
Ukiona mtu anakimbilia matusi jua huyo ni empty kichwani, kwani mbowe ni mmeo mbona unamtetea sana au wewe ndio Mkya?
 
Mbowe mbona alimuua Wangwe, akasema ni ajali wanasiasa wote ni wauaji labda usiingilie maslahi yao
Alipelekwa mahakamani akahukumiwa? Au ni story za kusadikika?
Simtetei kama kweli kaua apelekwe mahakamani zaid ya hapo hakuna litalo fanyika
 
Mpaka leo zimeshachangwa zaidi ya millioni 15, asanteni sana watanzania
 
Duuh huyu Jamaa sahv watu Maisha Magumu tena utoe hela umchangie mtu aliyetumia pesa zake kutombea Kumaa za kina Nandi hiyo hamna Bora tumuombee Maombi ila sio Pesa .
 
Duuh huyu Jamaa sahv watu Maisha Magumu tena utoe hela umchangie mtu aliyetumia pesa zake kutombea Kumaa za kina Nandi hiyo hamna Bora tumuombee Maombi ila sio Pesa .
Tumeshamchangia nyingi tu
 
Back
Top Bottom