Wateja wa aina gani ndio issue. Sijui kiasi gani hali imebadilika lakini Kwa muda mrefu tigo imekuwa ikiitwa mtandao wa wanafunzi, kwa ujumla cheap and cheerful. Na ndio soko letu lilivyo kwa kiasi kulani hawatofautiani sana. Sio soko linaloelewa na kuthamini data protection kivile.But still bado ni brand kubwa.. maana ndo namba mbili baada ya Vodacom kwenye market share..meaning bado ana ushawishi na brand yake ni kubwa
YahhHatuangalii utaratibu tunaangalia sheria
Kuna mtu kaandika humu wanavyotudharau wateja. Sitashangaa wakikaa kimya.Hadi sasa hivi TiGO hawajatoa kauli yoyote kwa umma kuepusha kuendelea kuharibiwa kwa taswira yao kwa wateja?
Hapa wazazi walipoteza rasilimali zaoKwa maana hiyo chadema walitaka hata mtu mwovu akitumia mtandao ALINDWE TU NA UOVU kwa kuwa sheria ya usiri na faragha inamlinda.
#Hata ulaya hakuna kitu ya namna hii.
Nani kakudanganya.Tena kwa kiwango gani.Yaani mjinga mmoja anawapoteza wateja maelfu kwa kuwa nyie tigo ni wavujaji wa siri za mteja na kampuni.Wapi security ya mteja.Tigo bye bye.Kapata baraka za mwajiri. Hivi ile ishu ya kususia mtandao wa voda iliishia wapi wanachadema? Maana naona hadi kwenye michango ya chama huwa mnatumia MPESA.
Kuna mtu kaandika humu wanavyotudharau wateja. Sitashangaa wakikaa kimya.
Hawa ni wale wanaingiaga kazini kwa mgongo wa wakubwa sasa sema tu hii kesi imemkuta kwenye nafasi mbaya na imempwaya tayari.Amewatia aibu sana wanasheria, sikutegemea kama mwanasheria anaweza kuwa haelewi umuhimu wa privancy ya mteja
Nimekuelewa vyema sana.Kwao kulinda haki na siri za mteja ni takwa la kikatiba wala sio maamuzi ya kampuni. Sisi Tanzania ambako ndio Tigo Tz wamesajiliwa ni takwa la kikatiba kampuni kutoa siri za mtuhumiwa.
Hawawezi kuliongelea hilo kamwe, si unajua anachopitia karikari nowNgoja tuone tigo watavyojitetea kwa ujuha huo
Tigo haiwezi kumwajibisha yule kamwe, anaeweza kumwajibisha yule ni mteja anaetumia tigo aliyekerwa na kile kitendo, ikiwa familia ya mbowe wenyewe utakuta hadi sasa bado wanatumia tigo vipi kwa raia wa kawaida huko horohoro tanga?Ngoja tuone kama atapona.. ingekuwa management inajua wangetumia diplomasia kama nilivosema..